- Thread starter
- #61
Mifumo inabidi iisaidie nchi.Mimi nilipomsikia kwa mara ya kwanza nikajiona sijamuelewa huyu dada,lakini nilidhan sijamuelewa kwakuwa elimu yangu ni ndogo!kama na wewe hujamuelewa basi inahuzunisha sana!
TANZANIA UKIWA UNAONGEA SANAAAA BASI UNAFAA KUWA KIONGOZI,NCHI HAITAKI MADOMO ZEGE WATENDAJI!
Waliopewa dhamana, watendee haki nafasi zao.
Tunatia aibu sana kwa aina hii ya viongozi