Siku hizi hiyo system ya cctv inapatikana kwa urahisi hapahapa MjiniKufanya hivyo pia lazima beberu asiyependwa ashiriki,ama kwa tekinologia, ama vinginevyo.
Hasa kwenye mbuga yetu pendwa ya BurigiNilifikiri ungehamasisha tubebe wake zetu na watoto tukatalii kukuza utalii wa ndani.
MasaburiSijajua umetumia nini kufikiri
Wanipe ndugai nimtumikishe aiseHao wanyama kila mtu agawiwe anaowataka awaweke zizini mwake
NCAA walishaanza kurusha live hifadhi ya Ngorongoro kwenye mitandao ya kijamii labda sasa waifanye commercial:TANAPA wafunge kamera nyingi kwenye mbuga watu wawe wana Subscribe wanaingia online wanapata picha live za vijinyama vya pori usiku na mchana na wakati huohuo kipato kinaingia wa
Ni jambo zuri sasa na hizo hifadhi nyingine wazitiemo halafu kuanza kuwachajiNCAA walishaanza kurusha hifadhi ya Ngorongoro kwenye mitandao ya kijamii labda sasa waifanye commercial:
https://www.facebook.com/
Dunia inatuangazia Sana,yawezakuwa bado tutakuwa na safari ndefu Sana,kufikia new normal.AFTER COVID_19 THAT COULD BE THE NEW NORMAL!!
Ni katika kuwazua tu mkuuMlizoea vya dini na vya bure...Sasa tumebana pote
Aaaaah!! Kwani na Hii ni sehemu ya wao kuvutika kuja kufanya utalii siyo?pia kuja kula dada zetu maana wanasema ni wamoto balaaa
Mkuu, ni lini bhana akili yangu haikukaa Sawa?Leo naona akili yako imekaa vizuri mkuu. hongera
Hela ya kutalii na familia ipo wapi wakati tunapambana kupata kodi na dona bamia.Nilifikiri ungehamasisha tubebe wake zetu na watoto tukatalii kukuza utalii wa ndani.