Majira yamebadilika sana, badala ya kusubiri watalii waje, tubebe wanyama wetu tukawatembeze hukohuko na pengine kuwauzia kabisa

Majira yamebadilika sana, badala ya kusubiri watalii waje, tubebe wanyama wetu tukawatembeze hukohuko na pengine kuwauzia kabisa

Kufanya hivyo pia lazima beberu asiyependwa ashiriki,ama kwa tekinologia, ama vinginevyo.
Siku hizi hiyo system ya cctv inapatikana kwa urahisi hapahapa Mjini
Sema hao watalii ndio haohao mara nyingine wanaitwa Mabeberu
 
Mbona tuliambiwa nchi yetu ni tajiri sana ,why unapanic mtoa hoja au ndio side effects za 5mingine!,pls think out of box ngoja nikupe mfano mmoja mdogo tu,Kruger Nation Park ni sehemu ndogo sana ukilinganisha na Serengeti Nationa Park BUT watalii wanotembelea Kruger Park ni mara mbili ya wanaotembelea Serengeti,hapa hakuna uchawi ni sayansi tu na tujiulize nini wao wamepatia?
 
Je, unafikiri Botswana ina wanyama wengi kuliko nchi yetu?fanya utafiti kupata jibu na jiulize why Botswana wapo mbele mno kiuchumi kuliko sisi.
 
TANAPA wafunge kamera nyingi kwenye mbuga watu wawe wana Subscribe wanaingia online wanapata picha live za vijinyama vya pori usiku na mchana na wakati huohuo kipato kinaingia wa
NCAA walishaanza kurusha live hifadhi ya Ngorongoro kwenye mitandao ya kijamii labda sasa waifanye commercial:
 
AFTER COVID_19 THAT COULD BE THE NEW NORMAL!!
 
Mlizoea vya dini na vya bure...Sasa tumebana pote
 
Back
Top Bottom