Majirani mjifunze umuhimu wa kushirikiana na upinzani kwenye maendeleo ya nchi, Joho na Uhuru yaani Mombasa panawaka

Majirani mjifunze umuhimu wa kushirikiana na upinzani kwenye maendeleo ya nchi, Joho na Uhuru yaani Mombasa panawaka

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Rais Uhuru yuko Mombasa, Pwani kwenye gatuzi inayoshikiliwa na gavana wa mlengo wa upinzani, wamekwenda pamoja bega kwa bega wakizindua miradi ya nguvu yaani hadi raha. Rais Uhuru alikubali kuwapa mkono wa salamu viongozi wa upinzani wakiongozwa na Raila Odinga, tangu hapo wote wameshirikiana pakubwa na nchi inapaa kwa kasi isiyo ya kawaida.
Hii haimaanishi siasa hazipo, tena wanazipiga tu na kutupiana vijembe vya kawaida, ila likija kwenye suala la maendeleo wanaweka tofauti zao pembeni na kukumbatia uzalendo maana maendeleo hayana chama.
Pia tumeona rais Uhuru akitumia diplomasia kuwafikia mataifa majirani, pamoja na kuchokozwa kote kule, hakuruhusu kiburi, ila kawapa mkono wa ushirikiano.

Sasa kwa mataifa yaliyotuzunguka, upinzani huko wanawindwa utadhani sio raia wa huko, Uganda kuna jamaa anaitwa Boby Wine hapumui, kila uchao ni mikimbio na mapolisi, mwengine wa huko anayeitwa Besigye sijui naye kafia wapi simuskii, alikua anachezea kibano kila akiongea.
Tanzania huko ndio usipime, wanaye kiongozi wao anaitwa Tundu Lissu katolewa huko kwa marisasi, ameshindwa kurudi nyumbani nchi ya baba na mama yake, juzi aliongea na kusema kamwe hayupo tayari kurudi hadi ahakikishwe hatokumbana na hayo marisasi. Tz wanaelekea kwenye uchaguzi ila kwa sasa upande mmoja ndio upo kikampeni kabisa, lakini upande wa pili hawawezi kukusanyika hata watatu.

Rwanda na Burundi japo hatupo nao kwenye mpaka mmoja, ila huko ndio sijui hata kama wana neno 'upinzani' kwenye misamiati yao.
Sudan Kusini na Somalia wao ni mwendo wa kutunishiana, risasi na mabomu yamerindima hadi wamechokana kiasi cha kuruhusu amani, Mhabeshi wa Ethiopia sijawahi kumfuatilia, yeye yupo yupo tu.

Muhimu sana mataifa yote haya yakajifnza kitu kutoka kwa uongozi wa Kenya, weka kiburi na mikwara pembeni, kumbatia ushirikiano na utengamano.
Hatujafika bado, ila tunaenda vizuri....
 
Sisi bado tunaomba msamaha kwa kuchagua upinzani amasivyo maendeleo tutayaona kwenye luninga Chato

Hehehe! Poleni, niliona mkizomewa sana wakazi wa majimbo yanayoshikiliwa na upinzani, nahisi mtakua mumetia adabu ikifika 2020 inapaswa majimbo yote yawe kijani kibichi ili maendeleo yawafikie wote, msirudie kosa.
 
Sisi bado tunaomba msamaha kwa kuchagua upinzani amasivyo maendeleo tutayaona kwenye luninga Chato
Kwani kwenye majimbo ya upinzani hakuna maendeleo?
ndiyo maana makamanda kila siku wanajiunga na CCM,
Upinzani na wapinzani wa Tanzania, bado hawaelewi wanataka nini.
Wewe haushangai, eti tangia Serikali ya awamu ya tano iingie madarakani, wapinzani wanasema serikali hiyo haijafanya kitu.
Watoto wanapata elimu bure, hapo ni kila jimbo, haijalishi linaongozwa na mpinzani au na mtu wa ccm.
Na mengine mengi tunayashuhudia katika nchi yetu yakifanywa na raisi kipenzi chetu.
Kwenye mazuri tusifie wakuu, hata kama mabaya yapo, ila mazuri pia yapo.
 
Si ndiyo maana baada ya kumuweka mbunge wenu wa vitu maalum wasiojulikana kule Singida Mashariki mkampa pesa za mradi wa maji lakini Lissu hamkumpa ushirikiano
 
Rais Uhuru yuko Mombasa, Pwani kwenye gatuzi inayoshikiliwa na gavana wa mlengo wa upinzani, wamekwenda pamoja bega kwa bega wakizindua miradi ya nguvu yaani hadi raha. Rais Uhuru alikubali kuwapa mkono wa salamu viongozi wa upinzani wakiongozwa na Raila Odinga, tangu hapo wote wameshirikiana pakubwa na nchi inapaa kwa kasi isiyo ya kawaida.
Hii haimaanishi siasa hazipo, tena wanazipiga tu na kutupiana vijembe vya kawaida, ila likija kwenye suala la maendeleo wanaweka tofauti zao pembeni na kukumbatia uzalendo maana maendeleo hayana chama.
Pia tumeona rais Uhuru akitumia diplomasia kuwafikia mataifa majirani, pamoja na kuchokozwa kote kule, hakuruhusu kiburi, ila kawapa mkono wa ushirikiano.

Sasa kwa mataifa yaliyotuzunguka, upinzani huko wanawindwa utadhani sio raia wa huko, Uganda kuna jamaa anaitwa Boby Wine hapumui, kila uchao ni mikimbio na mapolisi, mwengine wa huko anayeitwa Besigye sijui naye kafia wapi simuskii, alikua anachezea kibano kila akiongea.
Tanzania huko ndio usipime, wanaye kiongozi wao anaitwa Tundu Lissu katolewa huko kwa marisasi, ameshindwa kurudi nyumbani nchi ya baba na mama yake, juzi aliongea na kusema kamwe hayupo tayari kurudi hadi ahakikishwe hatokumbana na hayo marisasi. Tz wanaelekea kwenye uchaguzi ila kwa sasa upande mmoja ndio upo kikampeni kabisa, lakini upande wa pili hawawezi kukusanyika hata watatu.

Rwanda na Burundi japo hatupo nao kwenye mpaka mmoja, ila huko ndio sijui hata kama wana neno 'upinzani' kwenye misamiati yao.
Sudan Kusini na Somalia wao ni mwendo wa kutunishiana, risasi na mabomu yamerindima hadi wamechokana kiasi cha kuruhusu amani, Mhabeshi wa Ethiopia sijawahi kumfuatilia, yeye yupo yupo tu.

Muhimu sana mataifa yote haya yakajifnza kitu kutoka kwa uongozi wa Kenya, weka kiburi na mikwara pembeni, kumbatia ushirikiano na utengamano.
Hatujafika bado, ila tunaenda vizuri....

Wewe punguani mmesahau mlivyokuwa mnauana sisi ndiyo tukaja kuwasuluhisha na kuwapa somo?
 
Joho-Uhuru.jpg
Kiongozi kunyenyekea mbele ya wapinzani wake sio udhaifu. Infact, ni jambo la busara na ndio hekima ya kiongozi anayeongoza kwa vitendo sio maneno. Sio eti namsifia sana rais U.K., ana mapungufu yake ila kwa hili namuelewa sana. Hizi chuki za kisiasa ndio huwa zinaleta vurugu na fujo kila wakati wa uchaguzi. Akiendelea kwa mwendo huo itasuluhusha kabisa kero hiyo ya kila baada ya miaka tano.
 
karibuni pwani hukuuu.....kumenogaaa mazee!😀😛kenyatta na gavana wa mombasaa
72741043_2550395145018816_8635234647158030336_n.jpg
72782318_2551725958219068_4914166520541609984_n.jpg
 
Kwani kwenye majimbo ya upinzani hakuna maendeleo?
ndiyo maana makamanda kila siku wanajiunga na CCM,
Upinzani na wapinzani wa Tanzania, bado hawaelewi wanataka nini.
Wewe haushangai, eti tangia Serikali ya awamu ya tano iingie madarakani, wapinzani wanasema serikali hiyo haijafanya kitu.
Watoto wanapata elimu bure, hapo ni kila jimbo, haijalishi linaongozwa na mpinzani au na mtu wa ccm.
Na mengine mengi tunayashuhudia katika nchi yetu yakifanywa na raisi kipenzi chetu.
Kwenye mazuri tusifie wakuu, hata kama mabaya yapo, ila mazuri pia yapo.
Kama mazuri yanasifiwa, MABAYA uliyoyakiri tuyafanyeJe ?!.
 
Please use the sharing tools found via the share button at the top or side of articles. Copying articles to share with others is a breach of FT.com T&Cs and Copyright Policy. Email licensing@ft.com to buy additional rights. Subscribers may share up to 10 or 20 articles per month using the gift article service. More information can be found here.
Subscribe to read | Financial Times

Kenya death toll rises in post-election violence Rights groups say 24 dead after opposition leader calls poll result a ‘sham’ © EPA Share on Twitter (opens new window) Share on Facebook (opens new window) Share on LinkedIn (opens new window) Save John Aglionby in Nairobi AUGUST 13 2017Print this page5 The death toll from violence in Kenya triggered by the result of this week’s presidential election that saw President Uhuru Kenyatta returned to power has risen to two dozen, including children, according to human rights and community groups. Most of the clashes have occurred in the slums of Nairobi. These are predominantly strongholds of opposition leader Raila Odinga, who has rejected the election as a sham and accused the electoral commission of falsifying the results, albeit without producing any evidence. The Kenya National Commission on Human Rights, said 17 of the killings occurred in, Nairobi, with most of the rest in western Kenya, another Odinga heartland. Data from community groups working in the Nairobi slums put the death toll at about a dozen with scores injured. The Associated Press quoted an official at the capital’s main mortuary as saying nine bodies had been brought in from the Mathare slum in east Nairobi. Mr Odinga’s National Super Alliance (Nasa) coalition said on Saturday that more than 100 people had been killed in the unrest and that the government was engaging in “state terrorism” by dumping the bodies in secret locations. Again it gave no evidence to corroborate its claim. Kenya, one of Africa's most vibrant democracies, has a history of election-related violence. Mr Odinga believes he was robbed of victory in both the 2007 and 2013 elections through manipulation during the tallying process. Unrest after the 2007 vote resulted in 1,200 deaths. Violence began this week on Wednesday, the day after voting, when the electoral commission’s provisional results indicated Mr Kenyatta was heading for victory. It intensified moments after Mr Kenyatta was officially declared the winner on Friday evening. He won 54.3 per cent of the vote compared with Mr Odinga’s 44.7. Police patrol the streets in Kawangware, Nairobi. © EPA On Saturday Elog, an independent local election monitoring group, said the result of its parallel vote tally conducted at 1,692 of the 40,833 polling stations came up with broadly the same results as the electoral commission. “From our findings we didn’t find anything that was deliberately manipulated,” said Josephine Mong-ane, an Elog executive. Fred Matiang’i, the acting interior minister, said the vast majority of the country was peaceful and there had been no deaths in political demonstrations. He blamed the violence on “criminal elements [who] have attempted to take advantage of the situation to loot and destroy property”. “Those people are not demonstrators, they’re criminals and the police should deal with them as they deal with criminals.” Mathare was calm but tense on Saturday afternoon. Some people picked among the ashes of freshly razed kiosks; burnt tyres, rocks and other debris lay strewn across roads and hundreds of visibly angry people had gathered on the streets. “The police started the trouble here,” said one man, Solomon. “They came in this morning and started shooting aimlessly — bullets and tear gas. We were in peace.” Among the casualties, people said, was Stephanie Moraa, aged 8, who was shot dead at 10.30am while playing on a third-floor balcony, according to her uncle, Dennis Onjolo. “They shot her from about 100m away,” he said. “She was hit once in the chest but they fired many shots. What did she do wrong?” Many people said they would not protest until Mr Odinga told them what to do. “Why doesn’t he speak? Why doesn’t he tell us what to do?” said Collins Dhiambo. International observers and Nairobi-based diplomats have urged Mr Odinga and Nasa to address their grievances through legal channels. On Saturday, James Orengo, a senior Nasa official, said filing a legal challenge was “out of the agenda”. He declined to say what the coalition would do but said it had a “cocktail” of constitutional alternatives, without giving details.
 
Back
Top Bottom