Majirani na 'misplaced priorities': Hiki ni kituo cha polisi Muhange, maeneo ya Kigoma

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
Majirani zetu kutoka 'dona kantri', mnahitajika hapa kwa dharula. Hii nayo imepitiliza, ukizingatia zile mbwembwe zenu za 'tunajenga kwa hela zetu'. Sijui tutaiitaje hii, hali mbovu ya mazingira ya kazi na huduma msingi kwa wananchi au ni utepetevu na ujeuri tu wa viongozi? Mbaya zaidi ni kwamba hawa ni watumishi wa umma ambao wapo karibu sana na chama tawala. Nimezoea kuona 'barracks' mbovu za polisi kutoka kwa nchi mbali mbali za Afrika. Ama 'police posts' ambazo huwa ni temporary wakati wa vurugu na ukosefu wa usalama. Ila kituo cha polisi, kama hiki, ambacho ndio sura ya serikali ni aibu kubwa. Sio kwa nchi ya Tz pekee yake, bali ni kwa ukanda huu wote na bara hili la Afrika kwa ujumla. Huu wimbo hapa, Run away- Gentleman, una ujumbe kuntu sana, kwenu nyinyi wanakwaya kwenye jukwaa hili. How long you a go run away, from yourself.
 
Wololo yaye. Hii umasikini ya Watanzania inatisha.
 
Thibitisha kuwa hicho ni kituo cha polisi,
Sio kuokota okota picha,
Meanwhile nyumba za polisi kenya [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1213236View attachment 1213237View attachment 1213238
Polisi Kenya hawalazimishwi kuishi kwenye 'barracks' ama police lines. Alafu wote wanapata house allowance, k.m polisi kwenye level za chini, kama police constables, wanapata house allowance ya KES 19,500 kila mwezi. Hiyo ni house allowance tu, sio mshahara.
 
Jibu swali uliloulizwa kwa kuthibisha kuwa hicho ni kituo cha polisi [emoji23][emoji23][emoji23]

Unaleta pumba za nini hapa?
 
Mtaruka ruka, mshuke, mkimbie, mfumbe macho yenu, mlaumu majirani zenu na muishie kwenye hizi shughuli zenu za kawaida. Ila mwisho wa siku uhalisia wa taswira kama hizi utabaki pale pale. Kituo cha polisi Muhange, Kakonko District, Kigoma Tz.
 
Thibitisha madai yako kwanza, kwamba ni picha edited. Muda sio mrefu hayo mengine ya ziada yataeleweka.
Jaribu kua unasoma comment na kuzielewa kwanza kabla hujaamua kureply,hakuna sehemu yeyote niliyosema kua hiyo picha ni edited,mimi nimekuuliza wewe kua umethibitisha kua hiyo picha sio edited? au lugha ya Kiswahili kwako ni tatizo?
 
Duh!!nimecheka sana walai...yani bongo heri wabane uhuru wa habari hvo hvo...manake tutajionee mengi...
Mtaruka ruka, mshuke, mkimbie, mfumbe macho yenu, mlaumu majirani zenu na muishie kwenye hizi shughuli zenu za kawaida. Ila mwisho wa siku uhalisia wa taswira kama hizi utabaki pale pale.
 
Nimemwambia athibitishe anaruka ruka tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Jaribu kua unasoma comment na kuzielewa kwanza kabla hujaamua kureply,hakuna sehemu yeyote niliyosema kua hiyo picha ni edited,mimi nimekuuliza wewe kua umethibitisha kua hiyo picha sio edited? au lugha ya Kiswahili kwako ni tatizo?
 
Ndio ukaulizwa wewe unaonaje...je ni edited kulingana na fikra zako...

Kama lengo lake ni hilo basi ilibidi akili kwanza kua hafahamu kua hiyo picha ni OG au edited,lakini badala ya kujibu swali nae anauliza swali! hiki ni kichekesho na ni tafsiri ya mtu asiyejiamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…