pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaonaje, umeitizama ukaona ni edited?Umethibitisha kwanza kua hicho ni kituo cha Polisi kweli au ni Edited? Nauliza tu.
Nimekuuliza swali jibu swali sio unaleta game la hide and seek.Wewe unaonaje, umeitizama ukaona ni edited?
Polepole ni kaka yako eti. .Nimekuuliza swali jibu swali sio unaleta game la hide and seek.
Thibitisha madai yako kwanza, kwamba ni picha edited. Muda sio mrefu hayo mengine ya ziada yataeleweka.Nimekuuliza swali jibu swali sio unaleta game la hide and seek.
Majirani zetu kutoka 'dona kantri', mnahitajika hapa kwa dharula. Hii nayo imepitiliza, ukizingatia zile mbwembwe za 'tunajenga kwa hela zetu'. Sijui tutaiitaje hii, hali mbovu ya mazingira ya kazi na huduma msingi kwa wananchi au ni utepetevu na ujeuri tu wa viongozi? Mbaya zaidi ni kwamba hawa ni watumishi wa umma ambao wapo karibu sana na chama tawala. Nimezoea kuona 'barracks' mbovu za polisi kutoka kwa nchi mbali mbali za Afrika. Ama 'police posts' ambazo huwa ni temporary wakati wa vurugu na ukosefu wa usalama. Ila kituo cha polisi, kama hiki, ambacho ndio sura ya serikali ni aibu kubwa. Sio kwa nchi ya Tz pekee yake, bali kwa ukanda huu na bara hili la Afrika kwa ujumla. Huu wimbo hapa, Run away- Gentleman una ujumbe kuntu sana, kwenu nyinyi wanakwaya kwenye jukwaa hili. How long you a go run away, from yourself.![]()
Polisi Kenya hawalazimishwi kuishi kwenye 'barracks' ama police lines. Alafu wote wanapata house allowance, k.m polisi kwenye level za chini, kama police constables, wanapata house allowance ya KES 19,500 kila mwezi. Hiyo ni house allowance tu, sio mshahara.Thibitisha kuwa hicho ni kituo cha polisi,
Sio kuokota okota picha,
Meanwhile nyumba za polisi kenya [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1213236View attachment 1213237View attachment 1213238
Jibu swali uliloulizwa kwa kuthibisha kuwa hicho ni kituo cha polisi [emoji23][emoji23][emoji23]Polisi Kenya hawalazimishwi kuishi kwenye 'barracks' ama police lines. Alafu wote wanapata house allowance, k.m polisi kwenye level za chini, kama police constable, wanapata house allowance ya KES 19,500 kila mwezi.![]()
Police officers to start living in rental houses next month : The Standard
Boinett has directed police officers who have not found accommodation in government police lines to find alternative housing next month.www.standardmedia.co.ke
Je kama kweli hiko kituo yeye akifanya kosa akakamatwa akapelekwa hapo awekwe mpaka siku ya pili atalala hapo kituoni ?.Sijawahi kuona kituo cha polisi HAKINA MLANGO
Wololo yaye. Hii umasikini ya Watanzania inatisha.
Jaribu kua unasoma comment na kuzielewa kwanza kabla hujaamua kureply,hakuna sehemu yeyote niliyosema kua hiyo picha ni edited,mimi nimekuuliza wewe kua umethibitisha kua hiyo picha sio edited? au lugha ya Kiswahili kwako ni tatizo?Thibitisha madai yako kwanza, kwamba ni picha edited. Muda sio mrefu hayo mengine ya ziada yataeleweka.
Mtaruka ruka, mshuke, mkimbie, mfumbe macho yenu, mlaumu majirani zenu na muishie kwenye hizi shughuli zenu za kawaida.Ila mwisho wa siku uhalisia wa taswira kama hizi utabaki pale pale.![]()
![]()
Jaribu kua unasoma comment na kuzielewa kwanza kabla hujaamua kureply,hakuna sehemu yeyote niliyosema kua hiyo picha ni edited,mimi nimekuuliza wewe kua umethibitisha kua hiyo picha sio edited? au lugha ya Kiswahili kwako ni tatizo?
Jaribu kua unasoma comment na kuzielewa kwanza kabla hujaamua kureply,hakuna sehemu yeyote niliyosema kua hiyo picha ni edited,mimi nimekuuliza wewe kua umethibitisha kua hiyo picha sio edited? au lugha ya Kiswahili kwako ni tatizo?
Kama lengo lake ni hilo basi ilibidi akili kwanza kua hafahamu kua hiyo picha ni OG au edited,lakini badala ya kujibu swali nae anauliza swali! hiki ni kichekesho na ni tafsiri ya mtu asiyejiamini.Ndio ukaulizwa wewe unaonaje...je ni edited kulingana na fikra zako...