Majirani na 'misplaced priorities': Hiki ni kituo cha polisi Muhange, maeneo ya Kigoma

Siwez pisha ujinga ujinga mm...km umeshindwa tulia..manake we mwenyewe ukiambiwa ulete za sai utakimbia..

Always in denial
Ndugu yako kasema hapo juu hizo pic ni za juzi [emoji23][emoji23][emoji23]
Nasubiri aseme zii nimletee hadi tarehe ambayo hizo picha zilipakiwa Mtandaoni na pia hadi sehemu alikotoa hizo picha yeye akazileta humu, wewe kaa kando tupishe kwanza.
 
Muite huyo mwenzako mje muangalie hizi picha msome tarehe za hizi picha[emoji23][emoji23][emoji23]
Angalia hapo April 2015 na nyingine 3 years ago na zilipigwa kipindi cha JK,
Kingine hizi picha mleta uzi alizitoa naira land kule,
Tena hizi picha zilianza kusambaa kabla ya 2015.
Siwez pisha ujinga ujinga mm...km umeshindwa tulia..manake we mwenyewe ukiambiwa ulete za sai utakimbia..

Always in denial
April 2015
IMG_20190923_123503_819.JPG
 
Lete hata za 2019 basi...

Kenya si mna post picha mpka za miaka ya nyuma...lkn huaga haityumi sisi...
ukwel ni kwamba..unapinga tu lkn hujui lolote
Muite huyo mwenzako mje muangalie hizi picha msome tarehe za hizi picha[emoji23][emoji23][emoji23]
Angalia hapo April 2015 na nyingine 3 years ago na zilipigwa kipindi cha JK,
Kingine hizi picha mleta uzi alizitoa naira land kule,
Tena hizi picha zilianza kusambaa kabla ya 2015.
April 2015 View attachment 1214146

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yako alisema hizo picha ni za juzi zilipigwa [emoji23][emoji23][emoji23] ukadai nilete ushahidi kuwa hazikupigwa juzi nimekuletea ushahidi hapo,
Sasa hivi naona unachange gear ili kuficha aibu, wewe una uwezo mdogo wa kufikiri.
3 years ago ndio si karne hii...ni sawa pia km kitakua kimekarabatiwa..na km pia unapinga na hujui lolote kuhusu hicho kituo km kipo hali gani kw sasa..ni bora ukanyamaza tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya kibera ipo hivo hivo miaka yote [emoji23][emoji23][emoji23]
Bado njaa ipo nimeona counties 24 kati ya 47 zinateseka na njaa hivyo hizi sio past news.

Lete hata za 2019 basi...

Kenya si mna post picha mpka za miaka ya nyuma...lkn huaga haityumi sisi...
ukwel ni kwamba..unapinga tu lkn hujui lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sibishani na mjinga..

Back
Top Bottom