Majirani na 'misplaced priorities': Hiki ni kituo cha polisi Muhange, maeneo ya Kigoma

Naona unajificha kisha una anza kujitafuta wewe mwenyewe! halafu ukijipata unajipongeza!
Najua sasa hivi unajiuliza, nitawaambia watu nini? Ila ningekushauri uwe positive na kauli kama, all is well! Turudi kwenye mada, tafadhali.
 
Watumie akili yani hela zote zile wanazopata wanazipeleka wapi badala ya kurekebisha vituo vyao
Una point, jukumu la kujiboresha sio kwa serikali pekee yake ama polisi. Sio lazima watu waketi kitako wakiingoja serikali. Hebu ona huu mradi wa wakazi wa Kilimani, Nairobi. Mradi ambao waliibuka nao wao wenyewe, wa kuwajengea polisi mtaani kwao kituo cha kisasa.
 
Duh!!nimecheka sana walai...yani bongo heri wabane uhuru wa habari hvo hvo...manake tutajionee mengi...
Wasiishie tu kwenye kubana, wawamalize tu hao wanahabari bila kusita. Maanake hata kwenye shughuli zao za kawaida za kusifia kuna mengi sana ya aibu kwao ambayo yatapenyeza na kuanikwa hadharani.
 
Kwanini usipost nyumba za udongo na mabati zilizochakaa ambazo polisi wenu wanaishi?
Una point, jukumu la kujiboresha sio kwa serikali pekee yake ama polisi. Sio lazima watu waketi kitako wakiingoja serikali. Hebu ona huu mradi wa wakazi wa Kilimani, Nairobi. Mradi ambao waliibuka nao wao wenyewe, wa kuwajengea polisi mtaani kwao kituo cha kisasa.
 
Umesema kweli aisee
Wasiishie tu kwenye kubana, wawamalize tu hao wanahabari bila kusita. Maanake hata kwenye shughuli zao za kawaida za kusifia kuna mengi sana ya aibu kwao ambayo yatapenyeza na kuanikwa hadharani.
Hapo Jiwe kasikia kuna kituo kimetangaza madudu ya serikali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
tapatalk_1568202025318.jpeg
 
Sijaona sababu ya wewe kuicheka Tz na ilhali hata kwenu uafadhari haupo.
Tulia.
 
Mtaruka ruka, mshuke, mkimbie, mfumbe macho yenu, mlaumu majirani zenu na muishie kwenye hizi shughuli zenu za kawaida.
61354a182695c25cb82bafa60bbfca58.jpg
Ila mwisho wa siku uhalisia wa taswira kama hizi utabaki pale pale.
AFANDE+KITUONI.jpg
Kituo cha polisi Muhange, Kakonko District, Kigoma Tz.
hichi kituo watuhumiwa wakijiunga pamoja na kukojolea ukuta unadondoka wanatoroka.

na muda huo mataga wako airport wanakata viuno wanasherekea ununuzi wa madege.
 
Naona akili yako pia ni fupi kama ya mleta mada,
Alete source iliyokamilika sio kuokota okota picha sijui za karne ipi.
hichi kituo watuhumiwa wakijiunga na kukojolea kuta unadondoka wanatoroka.

na muda huo mataga wako airport wanakata viuno wanasherekea ununuzi wa madege.
 
Naona akili yako pia ni fupi kama ya mleta mada,
Alete source iliyokamilika sio kuokota okota picha sijui za karne ipi.
usipanic.
picha inaonyesha kabisa askari wa tanzania mbele ya kituo cha matope alafu wewe unajitekenya na kujichekesha mwenyewe.
 
Yaonyesha hicho kituo anakifahamu..ndio manake kasema hyo pich asi ya karne hii...
Si ajabu ccm imeshatekeleza mradi hko kukajengwa kituo kingine bomba...

Muulize vizuri...huenda ukafaidika kuiona hyo pich ya karne ya sasa ya hicho kituo

alete picha ya karne hii tuone hicho kituo bomba chenye jina hilo.

mataga wanapenda kutaga popote tu bila kujizuiya.
 
Back
Top Bottom