Majirani na 'misplaced priorities': Hiki ni kituo cha polisi Muhange, maeneo ya Kigoma

Majirani na 'misplaced priorities': Hiki ni kituo cha polisi Muhange, maeneo ya Kigoma

Hahaha hii thread imenichekesha. Yaani watu pande zote mbili wanapakana tope bila huruma.
 
Jaribu kua unasoma comment na kuzielewa kwanza kabla hujaamua kureply,hakuna sehemu yeyote niliyosema kua hiyo picha ni edited,mimi nimekuuliza wewe kua umethibitisha kua hiyo picha sio edited? au lugha ya Kiswahili kwako ni tatizo?
Soma comment number 13. Jibu lako liko hapo. Amepost picha nzima ya hicho kipolice post. Kina sura mbaya kama makalio ya nyani.
 
N

Naona akili yako ulikua umeshaikoki kubishana toka mwanzo tu! hakuna aliyebisha bali uliulizwa kua umethibitisha picha sio edited? ungejibu toka mwanzo ungepungukiwa na nini? au ulikua huna jibu ndio umelipata sasa hivi baada ya kuhangaika kulitafuta?
Mbona inakuwasha kwamba mapungufu yenu yanawekwa wazi?
 
Nilimwambie alete alipotoa hiyo picha tuone picha ni ya lini, matokeo yake analeta picha bila source yoyote.
usipanic.
picha inaonyesha kabisa askari wa tanzania mbele ya kituo cha matope alafu wewe unajitekenya na kujichekesha mwenyewe.
 
Usizoea kudandia quote za wanaume,
Mwambie mleta uzi alete source kamili kama ni link sawa tuone picha ni ya lini.
Yaonyesha hicho kituo anakifahamu..ndio manake kasema hyo pich asi ya karne hii...
Si ajabu ccm imeshatekeleza mradi hko kukajengwa kituo kingine bomba...

Muulize vizuri...huenda ukafaidika kuiona hyo pich ya karne ya sasa ya hicho kituo
 
Soma comment number 13. Jibu lako liko hapo. Amepost picha nzima ya hicho kipolice post. Kina sura mbaya kama makalio ya nyani.
Unapokua mjinga jaribu kukaa kimya ili kuficha ujinga wako,
Swali langu niliuliza likiwa kwenye comment number 2 halafu wewe unaniambia nisome jibu kwenye post number 13
 
Unajua ufipa mna tabia za kuokota okota picha ovyo mkiulizwa source hamleti mnaleta picha tupu, lete source kama ni link au video tuone hicho kituo iyo pichwa ilipigwa when.
alete picha ya karne hii tuone hicho kituo bomba chenye jina hilo.

mataga wanapenda kutaga popote tu bila kujizuiya.
 
Unapokua mjinga jaribu kukaa kimya ili kuficha ujinga wako,
Swali langu niliuliza likiwa kwenye comment number 2 halafu wewe unaniambia nisome jibu kwenye post number 13
Naona una hasira ni kama unapitia hedhi sasa hivi.
 
Back
Top Bottom