Kiminyio 01
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 1,389
- 2,025
Hakuna swali la kijinga,kuna majibu ya kijinga kama lako.An idiot is an idiot and you are one. Hata ukilia hapa ndio uonewe huruma tutakuita idiot. Wacha kuuliza maswali za kijinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna swali la kijinga,kuna majibu ya kijinga kama lako.An idiot is an idiot and you are one. Hata ukilia hapa ndio uonewe huruma tutakuita idiot. Wacha kuuliza maswali za kijinga.
Najua sasa hivi unajiuliza, nitawaambia watu nini? Ila ningekushauri uwe positive na kauli kama, all is well! Turudi kwenye mada, tafadhali.Naona unajificha kisha una anza kujitafuta wewe mwenyewe! halafu ukijipata unajipongeza!
Nimezipiga mimi mwenyewe. Baadaye mida ya machweo wakishaisahau sura yangu nitaingia hadi ndani niripoti kesi feki alafu ntakuleta picha za kituo chenyewe kwa ndani. [emoji38]Hizo picha umeziokota wapi?
Nimezipiga mimi mwenyewe. Baadaye mida ya machweo wakishaisahau sura yangu nitaingia hadi ndani niripoti kesi feki alafu ntakuleta picha za kituo chenyewe kwa ndani. [emoji38]
Una point, jukumu la kujiboresha sio kwa serikali pekee yake ama polisi. Sio lazima watu waketi kitako wakiingoja serikali. Hebu ona huu mradi wa wakazi wa Kilimani, Nairobi. Mradi ambao waliibuka nao wao wenyewe, wa kuwajengea polisi mtaani kwao kituo cha kisasa.Watumie akili yani hela zote zile wanazopata wanazipeleka wapi badala ya kurekebisha vituo vyao
Wasiishie tu kwenye kubana, wawamalize tu hao wanahabari bila kusita. Maanake hata kwenye shughuli zao za kawaida za kusifia kuna mengi sana ya aibu kwao ambayo yatapenyeza na kuanikwa hadharani.Duh!!nimecheka sana walai...yani bongo heri wabane uhuru wa habari hvo hvo...manake tutajionee mengi...
Una point, jukumu la kujiboresha sio kwa serikali pekee yake ama polisi. Sio lazima watu waketi kitako wakiingoja serikali. Hebu ona huu mradi wa wakazi wa Kilimani, Nairobi. Mradi ambao waliibuka nao wao wenyewe, wa kuwajengea polisi mtaani kwao kituo cha kisasa.![]()
Kilimani residents to build ultra-modern police station
Residents of Kilimani area in Nairobi are planning to build an ultra-modern police station that is estimated to cost Sh350millionwww.standardmedia.co.ke
Hapo Jiwe kasikia kuna kituo kimetangaza madudu ya serikali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Wasiishie tu kwenye kubana, wawamalize tu hao wanahabari bila kusita. Maanake hata kwenye shughuli zao za kawaida za kusifia kuna mengi sana ya aibu kwao ambayo yatapenyeza na kuanikwa hadharani.
Tembea uone nenda buhigwe buhigwe huko mitaa ya muyama mpaka kalelema ukitoka nenda Uvinza fika mpaka Kalya.Sijawahi kuona kituo cha polisi HAKINA MLANGO
Umesema kweli aiseeHapo Jiwe kasikia kuna kituo kimetangaza madudu ya serikali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1213452
hichi kituo watuhumiwa wakijiunga pamoja na kukojolea ukuta unadondoka wanatoroka.Mtaruka ruka, mshuke, mkimbie, mfumbe macho yenu, mlaumu majirani zenu na muishie kwenye hizi shughuli zenu za kawaida.Ila mwisho wa siku uhalisia wa taswira kama hizi utabaki pale pale.
Kituo cha polisi Muhange, Kakonko District, Kigoma Tz.![]()
Nasubiri upost video kule [emoji23][emoji23][emoji23]
hichi kituo watuhumiwa wakijiunga na kukojolea kuta unadondoka wanatoroka.
na muda huo mataga wako airport wanakata viuno wanasherekea ununuzi wa madege.
Jana hukuwanga nn?
usipanic.Naona akili yako pia ni fupi kama ya mleta mada,
Alete source iliyokamilika sio kuokota okota picha sijui za karne ipi.
Post video tuone
usipanic.
picha inaonyesha kabisa askari wa tanzania mbele ya kituo cha matope alafu wewe unajitekenya na kujichekesha mwenyewe.
alete picha ya karne hii tuone hicho kituo bomba chenye jina hilo.Yaonyesha hicho kituo anakifahamu..ndio manake kasema hyo pich asi ya karne hii...
Si ajabu ccm imeshatekeleza mradi hko kukajengwa kituo kingine bomba...
Muulize vizuri...huenda ukafaidika kuiona hyo pich ya karne ya sasa ya hicho kituo