Annie X6
JF-Expert Member
- Mar 16, 2023
- 704
- 1,331
Nije kwenye mada.
Nemeona kabisa mubashara jirani ana wivu wa kijinga sana.
Cha kushangaza nde mwenye uwezo kifedha kuliko mimi ila anaonesha tamaa za ajabu.
Ana magari manne mm nina moja tu. Nina moja kwa sababu nina priority zangu. Ningekuwa na magari hata 7 ningetaka.
Kwa kifupi mungu ametutaka tupendane na ujirani uwe zaidi. Lakini naona ujirani una uadui mkubwa sana.
Jamani tukumbuke hapa duniani tunapita tu. Nilitegemea jirani anichangamkie lkn kumbe anachuki anatoa salamu robo robo hata kuongeza maneno ya kujuliana hali zaidi.watoto, mnaendeleaje mambo mbalimbali ya ujirani