Mpaka Mungu anasema mpende jirani yako kama nafsi yako alijua hiki ni kipengele na ni mtihani kwa walio wengi ,ingawa in biblical perspective jirani ni mtu yeyote aliye karibu nawe, lakini jirani wa kupakana nyumba hasa maeneo ya uswahilini ili miishi vizuri ,basi mmoja ajifanye mjinga