Majirani ni maadui sana hata kuliko alivyoelekeza Mwenyezi mungu

Mpaka Mungu anasema mpende jirani yako kama nafsi yako alijua hiki ni kipengele na ni mtihani kwa walio wengi ,ingawa in biblical perspective jirani ni mtu yeyote aliye karibu nawe, lakini jirani wa kupakana nyumba hasa maeneo ya uswahilini ili miishi vizuri ,basi mmoja ajifanye mjinga
 
Wabongo mnapenda sana masalamu mareeeefuuuuu!, ukisha pewa hi inatosha,kama nyumbani kuna wagonjwa wwe ndiyo useme,usisubiri hadi uulizwe, watu wana mambo mengi vichwani mwao siku hizi!!!
 
Huna uwezo huo acha kujitapa.

Maskini mkipata mnaleta dharau na kejeli kwe wengine.

Akuonee wivu wa nini?

Kupata kagari kamoja tu basi unajihisi watu wanakuonea wivu.
Wewe ndiye jirani yake anayemzungumzia hapa?
 
Salam,kuzoeana siyo lazima

Ishikimpango wako

Ova
Ila mkuu mrangi nimekustudy sana humu. Unajua kuishi na watu. Nakumbuka ulicoment humu ulipelekagwa staki shari polisi ukadai hata mtu akikupiga tena ngumi ya taya kwa maksudi hulipizi unapotezea.
 
Labda naye ana priorities zake. Mazoea huzaa dharau(Kuchukuliana poa), dharau huzaa ugomvi.
 
Katika nyumba za kupanga mara nyingi wivu wa wapangaji wenzio unakuwa ktk vitu 2.
-- Kula vizuri
--Kuvaa vizuri

Lakini ktk nyumba zetu wenyewe tunazomiliki kunakuwa na wivu wa maendeleo,
Mfano.
--nyumba ikiwa nzr kuliko ya jirani.
--matengenezo ya mara kwa mara nyumbani kwako.
--umenunuwa gari/umeweka ukuta /unapaka Rangi mara kwa mara.

Jirani anakuwa anachukia,,


Kwangu Mimi nahesabu jirani ndy adui Namba moja .
 
Kwa hiyo jirani yako huyo ndo taswira ya majirani wote?
Usingekuwa unafuatilia mambo yake wala usingekuja kulia lia majukwaani
 
Mtendee wema nendraa zako Utabarikiwa sana,
Amen
 
Mbona unakufuru, kuna anayemzidi Mungu?
 
Hata Mimi nashangaa. Nilifikiri labda akimsalimia haitikii. Kumbe anataka amuulize na mambo ya watoto wameamkaje na mwenza wake pia amuulizie ameamkaje? Au kuna jambo jingine ambalo mhusika hajalitaja?
 
😂🙏

Umelenga mulemule, Bora umenisemea,


Sina chankuongezea ,na huo ndio ukweli,

CHUKi= CHANZO NI WIVU WA KIMAENDELEO,
 
Pole, ni hivi jirani yako ndiyo adui yako namba moja,
 
[emoji419][emoji419]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…