Majirani njooni humu tukubaliane bei, hii ndege yenu ya ATCL tunataka tuinunue haraka iwezekanavyo kabla tarehe yake ya expiry haijawadia

Kwan ww unasemaje kwamba mumenunua hio ndege au?????πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† yani munakodisha ndege na bado midomo juuuπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha endelea kuwaelimisha. joto la jiwe anajifanya hajaona hii mada.
ichoboy01 atcl wameshindwa na kazi. Waende wakavune korosho
πŸ˜€πŸ˜€
 
Munashugulikia ndege za air tanzania munaacha mambo ya msingi kama hayaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Ila Mange Kimambi naye sio mtu mzuri. Eti ndege ilipowasili alikatika kweli kweli hadi akateguka kiuno! Hahaha! [emoji1][emoji1][emoji1] My ribs!
kanunua ndege,wakati route zishauzwa! Kutenda kabla ya kufikiri nao ni ugonjwa,una kinga ila hauna tiba ndo ugonjwa wetu,tulikataa kupata kinga
 
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndege za air tanzania zinawatoa roho munasahau haya

US are just jealous that they have been overtaken by China in terms of infrastructural projects in Kenya. We will not look back my friend...
 
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndege za air tanzania zinawatoa roho munasahau haya

Ongezea hapo kuwa think tank ni mtu ambae ni zaidi ya GENIUS kwa akili na uwezo wa kufikiria

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Hahaha endelea kuwaelimisha. joto la jiwe anajifanya hajaona hii mada.
ichoboy01 atcl wameshindwa na kazi. Waende wakavune korosho
πŸ˜€πŸ˜€
Baadhi ya hawa watani wetu wamenichosha kabisa. Yaani hata kujiongeza tu ni shida. Hakuna yeyote aliyetizama hiyo image ya flightradar24 akajiuliza maswali. Iweje ndege yao ikapaa kutoka JKIA, ikazunguka hadi Tz bila kutua na ikarudi tena JKIA? Yaani ni test run live, wakati JKIA hamna maintainance ya Airbus. Wao wanameza tu pumba kichwaless mzima mzima, eti ni tamko kutoka kwa serikali yao. Ila nadhani mimi pia nimewachokonoa vilivyo na hicho kichwa cha uzi huu. Siunajua wakiona jina la Kenya akili zao huwa zinaenda likizo. Psychology 101! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Alafu huyo sindano ya makada wa chama, Mange Kimambi pia naona huwa inawaingia sawasawa. This is mind boggling fun! 😎
 
kanunua ndege,wakati route zishauzwa! Kutenda kabla ya kufikiri nao ni ugonjwa,una kinga ila hauna tiba ndo ugonjwa wetu,tulikataa kupata kinga

Route zimeuzwaje? Hivi kwa nini huwa mnajifanya kujua mambo yaliyo nje ya uwezo wenu?
 
Hatukulijua hilo wakati tunanunua hizo ndege?

Iweje sasa tuzione chungu?

Cc: mahondaw
Mkuu labda unieleze wewe, kwasababu humu huwa sioni uchambuzi wowote 'level headed' wa maana zaidi ya ushabiki maandaz wa kuiponda KQ na kuisifia ATCL.
 
Mkuu labda unieleze wewe, kwasababu humu huwa sioni uchambuzi wowote 'level headed' wa maana zaidi ya ushabiki maandaz wa kuiponda KQ na kuisifia ATCL.
Kq isifiwe na nn??? Loss auπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Hii habari ya A220 Kuja kenya bado unaihoji kwa nguvu hivi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hadi mishipa inakutoka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Haya kesho Jiwe anatuma Dirimulaina Nairobi, imwage kitengo cha wanabiashara maarufu wanajulika na kama omba omba angalau hifadhi ya nchi iendelee kunonaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Haya yote tutafanya usiku, uwe rada na Flight24 jombaa, wala usilale..tafuta miraa ung'ang'ane usipitwe na uhondo huuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu labda unieleze wewe, kwasababu humu huwa sioni uchambuzi wowote 'level headed' wa maana zaidi ya ushabiki maandaz wa kuiponda KQ na kuisifia ATCL.

Kwa maana hiyo we have poor administration, which doesn't advice the nation properly...

Kuna watu hawajafanya majukumu yao vyema...


Cc: mahondaw
 
Kwan ww unasemaje kwamba mumenunua hio ndege au?????[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] yani munakodisha ndege na bado midomo juuu[emoji23][emoji23]
Hiyo rada Mbona haijaonyesha wakati ndege inaingia Nairobi Kenya kwa Mara ya kwanza ilitokea wapi? Au siku zote huwa ipo jkia Nairobi?,maana rada imeonyesha ikitoka Nairobi kuja kuzunguka Kilimanjaro then kurudi Nairobi,au rada zilikuwa off wakati inaingia Kenya kwa Mara ya kwanza? Au ni uhuni tu kuwachanganya watu? Tunataka full route since day one inapokuja uko Kama Hakuna basi ni uhuni tu huo.

The Future is in Our Brain's Tongue's and Hand's.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…