Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali kuwa mhunzi kuliko kuchoronga mawe[emoji125][emoji125]View attachment 1058276Ila Mange Kimambi naye sio mtu mzuri. Eti ndege ilipowasili alikatika kweli kweli hadi akateguka kiuno! Hahaha! [emoji1][emoji1][emoji1] My ribs!![]()
Kwan ww unasemaje kwamba mumenunua hio ndege au?????πππππ yani munakodisha ndege na bado midomo juuuππSource sio Mange Kimambi tu. Hiyo taarifa ya tamko kutoka kwa serikali yenu ambayo hata ichoboy01 ameileta humu inatumia hiyo image ya flightradar24 hapo juu ikidai kwamba ndege ilikodishwa ikasafirisha wateja hadi JKIA na ikarudi ikatua Tz. Hebu tizama hiyo image ya safari ya airbus yenu hapo juu uniambie ni wapi ilitua Tz. Ndege iliruka kutoka JKIA ikazunguka hadi anga ya Tz na ikarudi JKIA bila kutua sehemu yeyote Tz. Hivi nyinyi watu huwa mmerogwa au? Hata kuwa makini na vitu simpo kama hivyo ni kibarua kigumu? Hadi mnachosha aisee. Sasa ni nani anajiabisha kati ya mimi na wewe?![]()
Hahaha endelea kuwaelimisha. joto la jiwe anajifanya hajaona hii mada.Baadhi ya hawa watani wetu ni ma'slow poke' hadi wanatisha. Mara airbus yao ilikuwa imekuja maonyesho ya ndege, maonyesho ambayo hata wakenya nao hawayajui. Mara ilikuwa imekodishwa na airbus, mara ilikuwa imekodishwa kusafirisha watu. Wakati kwenye image ya flightradar24 ya safari ya ndege yenyewe hamna sehemu yeyote ambayo ilitua Tz. Dah! Dunia ina mambo.
Munashugulikia ndege za air tanzania munaacha mambo ya msingi kama hayaππππππBaadhi ya hawa watani wetu ni ma'slow poke' hadi wanatisha. Mara airbus yao ilikuwa imekuja maonyesho ya ndege, maonyesho ambayo hata wakenya nao hawayajui. Mara ilikuwa imekodishwa na airbus, mara ilikuwa imekodishwa kusafirisha watu. Wakati kwenye image ya flightradar24 ya safari ya ndege yenyewe hamna sehemu yeyote ambayo ilitua Tz. Dah! Dunia ina mambo.
Tuambie kua mumenunua hio ndege leo nichekeπππππHahaha endelea kuwaelimisha. joto la jiwe anajifanya hajaona hii mada.
ichoboy01 atcl wameshindwa na kazi. Waende wakavune korosho
ππ
πππππππππ ndege za air tanzania zinawatoa roho munasahau hayaHahaha endelea kuwaelimisha. joto la jiwe anajifanya hajaona hii mada.
ichoboy01 atcl wameshindwa na kazi. Waende wakavune korosho
ππ
kanunua ndege,wakati route zishauzwa! Kutenda kabla ya kufikiri nao ni ugonjwa,una kinga ila hauna tiba ndo ugonjwa wetu,tulikataa kupata kingaIla Mange Kimambi naye sio mtu mzuri. Eti ndege ilipowasili alikatika kweli kweli hadi akateguka kiuno! Hahaha! [emoji1][emoji1][emoji1] My ribs!![]()
πππππππππ ndege za air tanzania zinawatoa roho munasahau haya
Ongezea hapo kuwa think tank ni mtu ambae ni zaidi ya GENIUS kwa akili na uwezo wa kufikiria[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndege za air tanzania zinawatoa roho munasahau haya
Baadhi ya hawa watani wetu wamenichosha kabisa. Yaani hata kujiongeza tu ni shida. Hakuna yeyote aliyetizama hiyo image ya flightradar24 akajiuliza maswali. Iweje ndege yao ikapaa kutoka JKIA, ikazunguka hadi Tz bila kutua na ikarudi tena JKIA? Yaani ni test run live, wakati JKIA hamna maintainance ya Airbus. Wao wanameza tu pumba kichwaless mzima mzima, eti ni tamko kutoka kwa serikali yao. Ila nadhani mimi pia nimewachokonoa vilivyo na hicho kichwa cha uzi huu. Siunajua wakiona jina la Kenya akili zao huwa zinaenda likizo. Psychology 101! πππ Alafu huyo sindano ya makada wa chama, Mange Kimambi pia naona huwa inawaingia sawasawa. This is mind boggling fun! πHahaha endelea kuwaelimisha. joto la jiwe anajifanya hajaona hii mada.
ichoboy01 atcl wameshindwa na kazi. Waende wakavune korosho
ππ
kanunua ndege,wakati route zishauzwa! Kutenda kabla ya kufikiri nao ni ugonjwa,una kinga ila hauna tiba ndo ugonjwa wetu,tulikataa kupata kinga
[emoji1][emoji1][emoji1] Jombaa, nakuonea 18! Sitokubali unichonganishe na my nigga, Mr. John Stone. Never! [emoji125][emoj?125][emoj125]Afadhali kuwa mhunzi kuliko kuchoronga mawe[emoji125][emoji125]View attachment 1058276View attachment 1058277
Jr[emoji769]
But Kenya is a capitalist country like US, and China is a socialist country like Tanzania, imekuaje tena huko kwenye ubepari mnaanza kucharurana?US are just jealous that they have been overtaken by China in terms of infrastructural projects in Kenya. We will not look back my friend...
Mkuu labda unieleze wewe, kwasababu humu huwa sioni uchambuzi wowote 'level headed' wa maana zaidi ya ushabiki maandaz wa kuiponda KQ na kuisifia ATCL.
huna habari! Fatilia nchi yako allooRoute zimeuzwaje? Hivi kwa nini huwa mnajifanya kujua mambo yaliyo nje ya uwezo wenu?
Kq isifiwe na nn??? Loss auπππMkuu labda unieleze wewe, kwasababu humu huwa sioni uchambuzi wowote 'level headed' wa maana zaidi ya ushabiki maandaz wa kuiponda KQ na kuisifia ATCL.
Hii habari ya A220 Kuja kenya bado unaihoji kwa nguvu hivi?πππ Hadi mishipa inakutoka πππBaadhi ya hawa watani wetu wamenichosha kabisa. Yaani hata kujiongeza tu ni shida. Hakuna yeyote aliyetizama hiyo image ya flightradar24 akajiuliza maswali. Iweje ndege yao ikapaa kutoka JKIA, ikazunguka hadi Tz bila kutua na ikarudi tena JKIA? Yaani ni test run live, wakati JKIA hamna maintainance ya Airbus. Wao wanameza tu pumba kichwaless mzima mzima, eti ni tamko kutoka kwa serikali yao. Ila nadhani mimi pia nimewachokonoa vilivyo na hicho kichwa cha uzi huu. Siunajua wakiona jina la Kenya akili zao huwa zinaenda likizo. Psychology 101! πππ Alafu huyo sindano ya makada wa chama, Mange Kimambi pia naona huwa inawaingia sawasawa. This is mind boggling fun! π
Mkuu labda unieleze wewe, kwasababu humu huwa sioni uchambuzi wowote 'level headed' wa maana zaidi ya ushabiki maandaz wa kuiponda KQ na kuisifia ATCL.
Hiyo rada Mbona haijaonyesha wakati ndege inaingia Nairobi Kenya kwa Mara ya kwanza ilitokea wapi? Au siku zote huwa ipo jkia Nairobi?,maana rada imeonyesha ikitoka Nairobi kuja kuzunguka Kilimanjaro then kurudi Nairobi,au rada zilikuwa off wakati inaingia Kenya kwa Mara ya kwanza? Au ni uhuni tu kuwachanganya watu? Tunataka full route since day one inapokuja uko Kama Hakuna basi ni uhuni tu huo.Kwan ww unasemaje kwamba mumenunua hio ndege au?????[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] yani munakodisha ndege na bado midomo juuu[emoji23][emoji23]