Majirani njooni humu tukubaliane bei, hii ndege yenu ya ATCL tunataka tuinunue haraka iwezekanavyo kabla tarehe yake ya expiry haijawadia

Majirani njooni humu tukubaliane bei, hii ndege yenu ya ATCL tunataka tuinunue haraka iwezekanavyo kabla tarehe yake ya expiry haijawadia

Labda ni ile A.S.K Show ya ukulima, na hiyo nayo inakuwaga ni mwezi wa kumi. Hahaa! 😀 Hawa watani wetu huwa wanabebwa kimaandas sana na hii serikali yao na mashirika yake ya umma. Ingekuwa ni wakenya ndio wanauliza maswali kama haya, alafu eti wajibiwe kimzaha mzaha hivi, bila shaka lazima 'kingenuka'.
Mngeandamana na kuchoma matairi

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Wakenya bana, mnafikiriaje kununua ndege ikiwa mlo tu umewashinda?
Kazi yako ya kukata kiuno iliisha wakati wa mapokezi. Zaidi ya hapo waachie wenzako wakutafunie ili uweze kudigest pole poleee. Hata na wewe pia thisdayes. [emoji1]
 
Pingli kimambi, msee kumbe na wewe ni true believer wa Mange!

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hahaa! 😀 Ndugu yangu, hivi unafahamu kwamba Kenya kwa mujibu wa katiba kuna sheria ambayo inazilazimisha serikali na mashirika ya umma kuwapa raia takwimu, habari na taarifa? Zozote zile ambazo zinawahusu au zinazohusu shughuli zozote zinazoendelea nchini. Wakikatalia ruksa kufungua kesi mahakamani na watumishi wa umma wanaohusika watalazimika kufika mbele ya mahakama kujibu mashtaka. Yaani vitu kama hivyo sio vya kuomba omba kwenye karne hii.
 
Ebu mtuache ase, saivi tumeamua kuwa madalali. Tulianza na koroshow, mahindi na saivi tupo kwenye kudalalia ndege
 
Ebu mtuache ase, saivi tumeamua kuwa madalali. Tulianza na koroshow, mahindi na saivi tupo kwenye kudalalia ndege
Hizo habari za korosho nimeziulizia ulizia ila sijapewa jibu kamili. Kuliendaje, au hata hilo dili pia lilikuwa ni nuksi nyingine?
 
Ndege ATCL zaanza kukodishwa kibiashara

pic+ndege.jpg

By Ephrahim Bahemu, Mwananchiebahemu@mwananchi.co.tz
IN SUMMARY

  • Katika mitandao ya kijamii ziliibu-ka hisia tofauti pengine hali hiyo ni kutokana na ATCL kutozindua safari zake kwenda Nairobi.Hata hivyo, mkurugenzi wa ATCL, Ladislaus Matindi jana alisema shirika hilo linafanya biashara ya usafiri wa ndege hivyo si ajabu kuio-na popote. “Popote unapoona ndege yetu ina abiria au mizigo ujue tuna-fanya biashara,” alisema.
https://mobile.mwananchi.co.tz/Haba...FKWY7kIbEmS1JggMkC_yugSkzu6y6oQhBSM4WKH17wMCA
Dar es Salaam. Ndege aina ya Airbus A220-300 ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) imekodiwa kupeleka watu Nairobi nchini Kenya kisha kuwarudisha na kuendelea na ratiba nyingine kama kawaida.

Juzi ndege hiyo yenye nakshi za rangi ya bluu na nyeupe, mchoro wa twiga kwa nyuma na maandishi yas-omekayo Air Tanzania The Wings of Kilimanjaro ilionekana katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta nchini Kenya.

Flight radar (programu ya kufua-tilia urukaji wa ndege) inaonyesha ndege hiyo iliruka katika Uwanja wa Jomo Kenyatta saa 12:00 jioni kabla ya kurudi nchini.Ukodishaji wa ndege kwa ajili ya kubeba watu au mizigo ni utara-tibu wa kawaida katika mashirika mbalimbali ulimwenguni na huin-giza fedha nyingi.

Katika mitandao ya kijamii ziliibu-ka hisia tofauti pengine hali hiyo ni kutokana na ATCL kutozindua safari zake kwenda Nairobi.Hata hivyo, mkurugenzi wa ATCL, Ladislaus Matindi jana alisema shirika hilo linafanya biashara ya usafiri wa ndege hivyo si ajabu kuio-na popote. “Popote unapoona ndege yetu ina abiria au mizigo ujue tuna-fanya biashara,” alisema.

Hata hivyo chanzo cha kuaminika kililieleza gazeti hili kuwa, ndege hiyo ilikodiwa na watu wa Airbus bila kubainisha kama ilichukuliwa kwa ajili ya maonyesho ya ndege (Airshow) jijini Nairobi au matumizi mengine.

Tanzania inamiliki Airbus A220-300 mbili na ni nchi ya kwanza barani Afrika kuwa na ndege hizo.
 
img_20190329_201147-jpeg.1057522
Geza Ulole, huu uandishi wa hawa wanahabari wenu ni majanga tupu. Hebu tizama vizuri safari ya hiyo ndege hapo kwa flightradar24 uniambie kama hiyo ndege iliruka kutoka Tz na ikarudi tena Tz au iliruka kutoka uwanja wa ndege wa JKIA na ikarudi ikatua tena kwenye uwanja huo huo.
 
Of course kama imekodiwa ina maana iliruka toka Tanzania. Na kwa hiyo flight rada kuna sehemu Bomang'ombe hapo ni KIA!
 
Inasikitisha sana...

Kwa nini tunyimwe vibali? Tatizo ni aina ya ndege au ni nini?

Cc: mahondaw
 
Of course kama imekodiwa ina maana iliruka toka Tanzania. Na kwa hiyo flight rada kuna sehemu Bomang'ombe hapo ni KIA!
Boss haikutua KIA, itisha mjukuu wako miwani kisha fatilia hiyo safari pole pole na kidole chako. Ndege ilitoka JKIA ikazunguka kote huko juu juu kwenye anga ya Tz na ikarudi tena JKIA. Hao walioikodisha labda walidondoshwa na parachute huko huko juu angani.
 
Mtapata taabu saana na huyo Mange wenu ambaye babake aliliwa manyu
 
?? Joke's on you, aluminum na titanium havipati kutu
Kha!shauri yako basi. If you think that your aircrafts won't depreciate coz they're special & extraordinary,well ,,good! A piece of advice though. Don't expose them to oxygen.hiyo yenu ni ya iron ndio maana inakataliwa😆😆😆😆😆
 
Boss haikutua KIA, itisha mjukuu wako miwani kisha fatilia hiyo safari pole pole na kidole chako. Ndege ilitoka JKIA ikazunguka kote huko juu juu kwenye anga ya Tz na ikarudi tena JKIA. Hao walioikodisha labda walidondoshwa na parachute huko huko juu angani.
Ohk na ilikuja vp toka TZ?
 
Ohk na ilikuja vp toka TZ?
Hatuongei kuhusu ilivyofika JKIA, hiyo ni obvious au ilivyorudi/itakavyorudi. Tunaongea kuhusu hiyo safari ya JKIA-JKIA kupitia anga ya Tz bila kutua. Explanation ni 1. Labda ilikuwa ni test run ya maintainance, ila hamna maintainance ya airbus JKIA. 2. Inspection/testing ya mitambo yake, iwe ni kwa madhumuni ya kuiuza au sababu zingine. 3. Rubani alishindwa kutua KIA ila itakuwa vigumu kwasababu haingembidi arudi hadi JKIA ili atue. 4. Rubani alikuwa mwendawazimu. 😀
 
img_20190329_201147-jpeg.1057522
Alafu sijui ATCL wataibuka na hadithi gani kwasababu safari ya ndege yenyewe kutoka uwanjani na hadi ilipotua tena JKIA, Nairobi imenaswa vizuri sana na mtandao wa flightradar24. Nambari za usajili, 5H-TCH Air Tanzania.
Hii lazima ilikua ni test drive kuhakikisha engine na mitambo yote inafanya kazi vizuri
 
Ndege ATCL zaanza kukodishwa kibiashara

pic+ndege.jpg

By Ephrahim Bahemu, Mwananchiebahemu@mwananchi.co.tz
IN SUMMARY

  • Katika mitandao ya kijamii ziliibu-ka hisia tofauti pengine hali hiyo ni kutokana na ATCL kutozindua safari zake kwenda Nairobi.Hata hivyo, mkurugenzi wa ATCL, Ladislaus Matindi jana alisema shirika hilo linafanya biashara ya usafiri wa ndege hivyo si ajabu kuio-na popote. “Popote unapoona ndege yetu ina abiria au mizigo ujue tuna-fanya biashara,” alisema.
https://mobile.mwananchi.co.tz/Haba...FKWY7kIbEmS1JggMkC_yugSkzu6y6oQhBSM4WKH17wMCA
Dar es Salaam. Ndege aina ya Airbus A220-300 ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) imekodiwa kupeleka watu Nairobi nchini Kenya kisha kuwarudisha na kuendelea na ratiba nyingine kama kawaida.

Juzi ndege hiyo yenye nakshi za rangi ya bluu na nyeupe, mchoro wa twiga kwa nyuma na maandishi yas-omekayo Air Tanzania The Wings of Kilimanjaro ilionekana katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta nchini Kenya.

Flight radar (programu ya kufua-tilia urukaji wa ndege) inaonyesha ndege hiyo iliruka katika Uwanja wa Jomo Kenyatta saa 12:00 jioni kabla ya kurudi nchini.Ukodishaji wa ndege kwa ajili ya kubeba watu au mizigo ni utara-tibu wa kawaida katika mashirika mbalimbali ulimwenguni na huin-giza fedha nyingi.

Katika mitandao ya kijamii ziliibu-ka hisia tofauti pengine hali hiyo ni kutokana na ATCL kutozindua safari zake kwenda Nairobi.Hata hivyo, mkurugenzi wa ATCL, Ladislaus Matindi jana alisema shirika hilo linafanya biashara ya usafiri wa ndege hivyo si ajabu kuio-na popote. “Popote unapoona ndege yetu ina abiria au mizigo ujue tuna-fanya biashara,” alisema.

Hata hivyo chanzo cha kuaminika kililieleza gazeti hili kuwa, ndege hiyo ilikodiwa na watu wa Airbus bila kubainisha kama ilichukuliwa kwa ajili ya maonyesho ya ndege (Airshow) jijini Nairobi au matumizi mengine.

Tanzania inamiliki Airbus A220-300 mbili na ni nchi ya kwanza barani Afrika kuwa na ndege hizo.
Hapo nime highlight , hilo si jibu, huyo mkurugenzi wa ATCL amejibu hypothetically kwamba ndege ya ATCL inaeza kuonekana popote duniani na itakua inafanya biashara... Hii inamaanisha either hajui ilikua inafanya nini huku Nairobi au alikua hataki kujibu akatoa vague statement kwamba kila iendako lazima itakua inafnya biashara........ Hajajibu ilikua inafanya nini Nairobi haswa! manake mbali na alichosema kuna sababu nyingi za ndege kusafiri eneo ambalo hua kawaida haisafiri...

Ni kama vile mimi nishikwe na polisi na waniambie pickup yangu imetumika kwa wizi.... kitu cha kwanza bila kujua kama ni ukweli au uongo, nitajibu kwa kusema gari yangu hutumika na watu wengi kibiashara kwahivyo lazima ilikua imekodishwa kibiashara kwahivyo wasini husishe na wizi wa aina yoyote.... hapo nitakua nimejibu hypothetically kwasababu sijui kinachoendelea na nataka kujiondolea lawama, ama najua kinachoendelea lakini sitaki polisi wanishike kwahivyo najifanya sijui..... huyo mkurugenzi wa ATCL amejitetea ki hivyo
 
Back
Top Bottom