Majirani vioja vyenu vinasababisha EAC tuonekane mabogus na shithole kabisa

Masikini wanapewa umeme uwasaidie kupata habari na kufanya small scale processing industries, welding and metal fabrications wewe unawacheka?

Hapo atapata energy kwa ajili ya mobile devices n.k. Hiyo ni kuwa empower watu maskini.

Hao wanaijeria wana fikra za kimaskini kama wewe ulivyoona hilo tukio ni ushamba au ujinga.

Nyumba ya nyasi ni risk lakini tunaona mijini na kwenye hotel za kitalii wanajenga huts za nyasi au makuti na kuweka umeme , so hapo kipi ni cha ajabu?
Au hatari ya umeme kwenye nyasi ni kijijini tu kwa masikini na sio kwa watalii au hizi Bar za mijini?
 
Sasa kukata utepe kwenye nyumba ya matope kisa imewekewa umeme....
Watu wanatukana kwenye comments dunia yote





Usitulaumumkuu unajua tu aongozwa na shithole mmoja na sisi yumelala tu mpaka hapo jiwe litakapopasuliwa na kuwa kokoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzinduzi wa lift ya kwanza Mbeya, alafu wao wanapaita Mbeya City. Hahahahaa [emoji1]
 
Kwaherini ndugu zetu, wenzenu tumeabiri lifti tunaenda zetu. Tuonane kesho, byeeeee! [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…