Truth Teller
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 1,623
- 2,892
ule ulikuwa uzinduzi wa Awamu ya Pili katika mkoa wa Kigoma (REA).Hapa tunazungumza kuhusu kukata utepe kwa nyumba iliyoezekwa nyasi, umeme sehemu kama hiyo ni kuwatoa kafara hiyo familia.
Ujue ungepeleleza na kuuliza KWANZA.Jombaa, wazo la kuwaunganisha umeme wanaoishi kwenye nyumba za matope ni wazo nzuri. Yaani umeme kwa kila mwananchi, kama haki yao. Ila nyinyi wauza sura na wabeba mkasi mmezidi. Mnakata utepe na kuzindua kutoka kwa transfoma, kwa nyanya hadi mnakata utepe kwenye nyumba ya mtu, utadhani ndio alizaliwa jana. Hahaha! 😀
Standard media is a mainstream mediaUcheshi wa wakenya mitandaoni. Nothing like this happened.
mkuu hiyo Ni nyumba ya Nini?Kwa nyumba ya nyasi? Mnawatoa kafara watu mkidhani mnawasaidia.
Mkuu Hilo paa la hapo juu Ni la Nini?Wewe utakua hujaamka, hiyo nyumba ni kuta za matope ila juu ni mabati, kwa kifupi kuipa umeme sio kosa na inaonyesha tunavyowajali watu wa kipato cha chini.
Nyie paa la nyasi mnatia nyaya za umeme halafu mnazindua kwa kukata utepe kwa mkasi na mapicha.
Naona huyo alijengewa au unaonaje?Wenye nyumba za nyasi hawastahili kwa sababu mnahatarisha maisha yao. Wajengeeni nyumba kwanza halafu muwawekee umeme
unaposema eti paa la Nyasi unakosea sana.Wewe utakua hujaamka, hiyo nyumba ni kuta za matope ila juu ni mabati, kwa kifupi kuipa umeme sio kosa na inaonyesha tunavyowajali watu wa kipato cha chini.
Nyie paa la nyasi mnatia nyaya za umeme halafu mnazindua kwa kukata utepe kwa mkasi na mapicha.
Ucheshi wa wakenya mitandaoni. Nothing like this happened.
nyangau huwa wanajitoaga ufahamuunaposema eti paa la Nyasi unakosea sana.
Maeneo ya beach au kwenye bar kubwa huwa wanaweka zile paa za Nyasi na makuti.
na ndani umeme unakuwepo,Hapo napo vipi imekaaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
nyang'au hawajielewi kaka
Ucheshi wa wakenya mitandaoni. Nothing like this happened.
mkuu hiyo Ni nyumba ya Nini?
Hope mjadala Sasa umeisha!
swala la uzinduzi tumeona ruto Hadi Kenyatta akizindua
swala la Nyumba za Tembe,tumeona hadi kwenu zimewekwa
swala la Nyasi NAONA hiyo picha inajieleza..
OGOPA SANA TECHNOLOGYView attachment 1065523
Sent using Jamii Forums mobile app
HADHARANI kabisa🤣🤣🤣🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums