Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
- Thread starter
-
- #101
kuna zezeta litahamasika likabeti nalo lipate pesa likifukiri nayo ni kazitUnataizo la afya ya akili
Unatatizo la afya ya akilikuna zezeta litahamasika likabeti nalo lipate pesa likifukiri nayo ni kazi
Unatatizo la afya ya akiliTangazo lako limekaa kijanja sana
Unatatizo la afya ya akiliDa nimejaribu kutafuta wingi wa chai nikaforce mpaka nikqpata vyai
Majirani "wamejionea" , wivu wao ndio umewafikisha hapo. Sisi Waswahili tunapenda sana kufuatilia mambo ya watu, yasiyotuhusu. Mtu anapiga zake mishe kimya kimya, ana win, nyie majirani kimbelembele mnasema ni freemason, jambazi, mwizi ama mchawi. Wamlipe tu hi faini waliyopangiwa na mahakama!Mrejesho wakuu nilileta hapa Uzi ambao majirani wawili huku mtaani kwetu walikua wanamhisi jamaa anafanya dili haramu wakaenda kumripoti polisi na hatimae polisi walimuweka ndani na katika kumchunguza jamaa ikagundulika jamaa kazi yake ni kubeti na akaonesha mikeka yake aliyowin na ilikua ni watu ambao wanaweka pesa nyingi sana amabapo Kuna mikeka mingine kastake mpaka 10M Sasa jamaa alienda kushtaki mahakamani Kwa kumdhalilisha na kumchafua mtaani majirani zake hao wawili jamaa Jana kashinda kesi mahakama imeamuru majirani wamlipe jamaa ndani ya wiki 2 hiyo pesa nimeona nilete mrejesho hapa Leo je mahakama umetenda haki au imewaonea Hawa majirani wadau
Aisee tumekushika uongo jamaaUnatatizo la afya ya akili
Unatatizo la afya ya akiliAisee tumekushika uongo jamaa
Haha hili jamaa ongo kweli sema nitrick ya Tangazo 🤣 mwambie ataje hiyo mahakama Kama atataja tufuatilieAisee tumekushika uongo jamaa
Unatatizo la afya ya akiliHaha hili jamaa ongo kweli sema nitrick ya Tangazo 🤣 mwambie ataje hiyo mahakama Kama atataja tufuatilie
Naona umeamua kuwa muungwana kwa kuleta chapati ziliwe na ile CHAI.Mrejesho wakuu nilileta hapa Uzi ambao majirani wawili huku mtaani kwetu walikua wanamhisi jamaa anafanya dili haramu wakaenda kumripoti polisi na hatimae polisi walimuweka ndani na katika kumchunguza jamaa ikagundulika jamaa kazi yake ni kubeti na akaonesha mikeka yake aliyowin na ilikua ni watu ambao wanaweka pesa nyingi sana amabapo Kuna mikeka mingine kastake mpaka 10M Sasa jamaa alienda kushtaki mahakamani Kwa kumdhalilisha na kumchafua mtaani majirani zake hao wawili jamaa Jana kashinda kesi mahakama imeamuru majirani wamlipe jamaa ndani ya wiki 2 hiyo pesa nimeona nilete mrejesho hapa Leo je mahakama umetenda haki au imewaonea Hawa majirani wadau
Hahhaha Asante mweshimiwa mbunge wa viti maalumu ila madai haya hayana ukweli wowote na nisehemu tu ya upotoshaji wa mambo katika jamii
Tafuta helaHahhaha Asante mweshimiwa mbunge wa viti maalumu ila madai haya hayana ukweli wowote na nisehemu tu ya upotoshaji wa mambo katika jamii
vilevile mheshimiwa ningependa kuihasa jamii kuto kukurupuka na kusema ni chai, tufanye utafiti je ni kweli mtu anaweza kustake millioni 10 paap ameitoa wapi?
kuhitimisha mheshimiwa mada hii ni tata labda tumpate mganga wa ndugu wa bao la mkono tuchonge ramli chonganishi
Walimripoti kawakosea niniHuu ni uongo wa waziwazi!!!
Kwanza hao jamaa hawana kesi; kwani walimshika wakampeleka kituoni, adeal na waliomshika
Usitishie watu ili waache kureport wahalifu!
Tsh 500 hata Mimi nitawalipiaMrejesho wakuu nilileta hapa uzi ambao majirani wawili huku mtaani kwetu walikua wanamhisi jamaa anafanya dili haramu wakaenda kumripoti polisi na hatimae polisi walimuweka ndani na katika kumchunguza jamaa ikagundulika jamaa kazi yake ni kubeti na akaonesha mikeka yake aliyowin na ilikua ni watu ambao wanaweka pesa nyingi sana amabapo Kuna mikeka mingine kastake mpaka Tsh. Milioni 10.
Sasa jamaa alienda kushtaki mahakamani kwa kumdhalilisha na kumchafua mtaani majirani zake hao wawili, jamaa jana kashinda kesi mahakama imeamuru majirani wamlipe jamaa ndani ya wiki 2 hiyo pesa nimeona nilete mrejesho hapa leo.
Je, mahakama umetenda haki au imewaonea hawa majirani wadau.
Pia soma>> Majirani wamemripoti jamaa kituo cha polisi kisa kazi yake haijulikani! Sasa anadai Milioni 500 kwa kuletewa usumbufu
Hii story imeanza kunipa mashaka kama ya kweli mahakama haiwezi kutoa faini kwa watu wawili walipe millioni 500 kwa kosa la ku report kuwa mtu hawamuelewi yaani kws kifupi hawana kosa kabisa wenye kazi ya kudhibitisha kuwa jamaa anafanya kazi halali au haramu ni polisiMrejesho wakuu nilileta hapa uzi ambao majirani wawili huku mtaani kwetu walikua wanamhisi jamaa anafanya dili haramu wakaenda kumripoti polisi na hatimae polisi walimuweka ndani na katika kumchunguza jamaa ikagundulika jamaa kazi yake ni kubeti na akaonesha mikeka yake aliyowin na ilikua ni watu ambao wanaweka pesa nyingi sana amabapo Kuna mikeka mingine kastake mpaka Tsh. Milioni 10.
Sasa jamaa alienda kushtaki mahakamani kwa kumdhalilisha na kumchafua mtaani majirani zake hao wawili, jamaa jana kashinda kesi mahakama imeamuru majirani wamlipe jamaa ndani ya wiki 2 hiyo pesa nimeona nilete mrejesho hapa leo.
Je, mahakama umetenda haki au imewaonea hawa majirani wadau.
Pia soma>> Majirani wamemripoti jamaa kituo cha polisi kisa kazi yake haijulikani! Sasa anadai Milioni 500 kwa kuletewa usumbufu
Mahakamani ukishatakiwa ukashindwa kesi hata uwe mmoja utalipa hata billion 10 na kuendeleaHii story imeanza kunipa mashaka kama ya kweli mahakama haiwezi kutoa faini kwa watu wawili walipe millioni 500 kwa kosa la ku report kuwa mtu hawamuelewi yaani kws kifupi hawana kosa kabisa wenye kazi ya kudhibitisha kuwa jamaa anafanya kazi halali au haramu ni polisi