Majirani wameamriwa na Mahakama wamlipe jamaa Tsh. 500

Mrejesho wakuu nilileta hapa Uzi ambao majirani wawili huku mtaani kwetu walikua wanamhisi jamaa anafanya dili haramu wakaenda kumripoti polisi na hatimae polisi walimuweka ndani na katika kumchunguza jamaa ikagundulika jamaa kazi yake ni kubeti na akaonesha mikeka yake aliyowin na ilikua ni watu ambao wanaweka pesa nyingi sana amabapo Kuna mikeka mingine kastake mpaka 10M Sasa jamaa alienda kushtaki mahakamani Kwa kumdhalilisha na kumchafua mtaani majirani zake hao wawili jamaa Jana kashinda kesi mahakama imeamuru majirani wamlipe jamaa ndani ya wiki 2 hiyo pesa nimeona nilete mrejesho hapa Leo je mahakama umetenda haki au imewaonea Hawa majirani wadau
Majirani "wamejionea" , wivu wao ndio umewafikisha hapo. Sisi Waswahili tunapenda sana kufuatilia mambo ya watu, yasiyotuhusu. Mtu anapiga zake mishe kimya kimya, ana win, nyie majirani kimbelembele mnasema ni freemason, jambazi, mwizi ama mchawi. Wamlipe tu hi faini waliyopangiwa na mahakama!
 
Mrejesho wakuu nilileta hapa Uzi ambao majirani wawili huku mtaani kwetu walikua wanamhisi jamaa anafanya dili haramu wakaenda kumripoti polisi na hatimae polisi walimuweka ndani na katika kumchunguza jamaa ikagundulika jamaa kazi yake ni kubeti na akaonesha mikeka yake aliyowin na ilikua ni watu ambao wanaweka pesa nyingi sana amabapo Kuna mikeka mingine kastake mpaka 10M Sasa jamaa alienda kushtaki mahakamani Kwa kumdhalilisha na kumchafua mtaani majirani zake hao wawili jamaa Jana kashinda kesi mahakama imeamuru majirani wamlipe jamaa ndani ya wiki 2 hiyo pesa nimeona nilete mrejesho hapa Leo je mahakama umetenda haki au imewaonea Hawa majirani wadau
Naona umeamua kuwa muungwana kwa kuleta chapati ziliwe na ile CHAI.
 
Hahhaha Asante mweshimiwa mbunge wa viti maalumu ila madai haya hayana ukweli wowote na nisehemu tu ya upotoshaji wa mambo katika jamii

vilevile mheshimiwa ningependa kuihasa jamii kuto kukurupuka na kusema ni chai, tufanye utafiti je ni kweli mtu anaweza kustake millioni 10 paap ameitoa wapi?

kuhitimisha mheshimiwa mada hii ni tata labda tumpate mganga wa ndugu wa bao la mkono tuchonge ramli chonganishi
 
Tafuta hela
 
Huu ni uongo wa waziwazi!!!
Kwanza hao jamaa hawana kesi; kwani walimshika wakampeleka kituoni, adeal na waliomshika
Usitishie watu ili waache kureport wahalifu!
Walimripoti kawakosea nini
 
Mrejesho wakuu nilileta hapa uzi ambao majirani wawili huku mtaani kwetu walikua wanamhisi jamaa anafanya dili haramu wakaenda kumripoti polisi na hatimae polisi walimuweka ndani na katika kumchunguza jamaa ikagundulika jamaa kazi yake ni kubeti na akaonesha mikeka yake aliyowin na ilikua ni watu ambao wanaweka pesa nyingi sana amabapo Kuna mikeka mingine kastake mpaka Tsh. Milioni 10.

Sasa jamaa alienda kushtaki mahakamani kwa kumdhalilisha na kumchafua mtaani majirani zake hao wawili, jamaa jana kashinda kesi mahakama imeamuru majirani wamlipe jamaa ndani ya wiki 2 hiyo pesa nimeona nilete mrejesho hapa leo.

Je, mahakama umetenda haki au imewaonea hawa majirani wadau.

Pia soma>> Majirani wamemripoti jamaa kituo cha polisi kisa kazi yake haijulikani! Sasa anadai Milioni 500 kwa kuletewa usumbufu
Tsh 500 hata Mimi nitawalipia
 
It seems like huyo jamaa ni wewe,
Hao majirani wamejichanganya kuingia kwenye 18 za gambler😅,
Sasa mkuu si ungewasamehe tu yaishe hao ni watz wenzako sio wahindi😂,
Au ndo unataka uniambie washakuharibia kwa street utashindwa ku live u'r life cause wamejua source yako ya income🤣,
Kwamba kushine kote kule kumbe kamalia😲,
Wape jibu rahisi tu kama rahisi wafanye na wao😎 Alafu pita ivi🕺🏿.
Kama vipi achana nao focus na pesa💵 zako za digital then enjoy u'r life achana na wabongo watakuroga wana makasiriko mtaani hakuna pesa we unatengeneza pesa umelala 🥺
 
Mrejesho wakuu nilileta hapa uzi ambao majirani wawili huku mtaani kwetu walikua wanamhisi jamaa anafanya dili haramu wakaenda kumripoti polisi na hatimae polisi walimuweka ndani na katika kumchunguza jamaa ikagundulika jamaa kazi yake ni kubeti na akaonesha mikeka yake aliyowin na ilikua ni watu ambao wanaweka pesa nyingi sana amabapo Kuna mikeka mingine kastake mpaka Tsh. Milioni 10.

Sasa jamaa alienda kushtaki mahakamani kwa kumdhalilisha na kumchafua mtaani majirani zake hao wawili, jamaa jana kashinda kesi mahakama imeamuru majirani wamlipe jamaa ndani ya wiki 2 hiyo pesa nimeona nilete mrejesho hapa leo.

Je, mahakama umetenda haki au imewaonea hawa majirani wadau.

Pia soma>> Majirani wamemripoti jamaa kituo cha polisi kisa kazi yake haijulikani! Sasa anadai Milioni 500 kwa kuletewa usumbufu
Hii story imeanza kunipa mashaka kama ya kweli mahakama haiwezi kutoa faini kwa watu wawili walipe millioni 500 kwa kosa la ku report kuwa mtu hawamuelewi yaani kws kifupi hawana kosa kabisa wenye kazi ya kudhibitisha kuwa jamaa anafanya kazi halali au haramu ni polisi
 
Mahakamani ukishatakiwa ukashindwa kesi hata uwe mmoja utalipa hata billion 10 na kuendelea
 
Back
Top Bottom