Majirani wamemripoti jamaa kituo cha polisi kisa kazi yake haijulikani! Sasa anadai Milioni 500 kwa kuletewa usumbufu

unahisi jamaa mpuuz kwenda mahakamba bila kuwepo vitendo au lugha mbofu kwake ? watz tunapenda kuishia shallow in thinking
Kumbe tunaongelea hisia hapa ? Kama ni hisia basi tunaweza kusema lolote tunalotaka hapa nimejibu accordingly na mada ilivyoletwa hayo mengine ni ya ziada na ndio yatajulikana huko na hapo atashitaki vitendo vya lugha mbovu kwake na sio kuwashitaki wadau kutoa taarifa polisi
mtu ashitaki kisa kuhojiwa tu ? kwamba hajui kuwa ni wajibu wa polisi kujuwa chanzo cha mapato cha mkazi wao
Hivi mkuu unajua kusoma kilichoandikwa au una uwezo wa kuongezea yako ya kwenye mawazo yako hata kama hayajaandikwa ? Kwamba ni ajabu kwa watu kupeleka kesi ambazo hazina mashiko na mwisho wa siku kutupiliwa mbali ?
NB ; Majiran kuna namna walifanya kabla na hata walipomfikisha polisi
Na hii taarifa umeitoa wapi kwa mleta uzi au kichwani mwako ?
 
Je? kifungu gani cha Sheria kina ruhusu hilo? Sheria ni msumeno...!
 
Kweli kabisa aisee
 
Unaanzaje kwenda polisi kutoa taarifa kuwa kuna jamaa mtaani ana hela ila hatujui anafanya kazi gani? na unaanzaje ku conclude kuwa ana dili za kihalifu bila ya kupata link yoyote?
Hii nchi sio ya mchezo mchezo kabisa, vichwa vya watu vina hali mbaya sna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…