Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
- Thread starter
-
- #101
Walikua polisi kituoni kabisa. Polisi waliwataja jamaa akiwa ndaniHapo mi kama jirani nawakataa polisi mchana kweupe kabisa labda niwe nimesaini maelezo kwa dole gumba ila bila hivyo nawakataa kweupe
Anaowashitaki wanauwezo wa kulipa afu tatu😅Wakuu Kuna jamaa hapa mtaani alikua anahisiwa anafanya shuguli haramu sababu anamaisha mazuri ila kazi yake haijulikani
Sasa Kuna majirani wawili wamemripoti polisi akaja kukamatwa. Sasa akiwa huko polisi akasema yeye kazi yake ni kubeti na analipa Kodi Kwa serikali kupitia mikeka yake anayoshinda na kweli kaonyesha mikeka anakula mamilioni ya pesa ni aina ya watu wanaoweka pesa nyingi sana kwenye mechi.
Sasa kingine kaenda mahakamani anawashitaki majirani zake hao wawili Kwa kosa la kumdhalilisha na kumpotezea mda wa kufanya mambo yake ya msingi na anadai fidia million 500 na ana mawakili wake kabisa wa 3
Hivi hii kesi anaweza kushinda huyu jamaa ishu ipo serious sana
Sawa ngoja tuoneHakuna kosa, wao wameeipoti wasiwasi wao isije kuwa wanaishi na jambazi sugu mtaani, uchunguzi umefanywa na polisi na hao jamaa hawakumtuhumu moja kwa moja..... Wakihukumiwa wananchi hawatakuwa tena na uhuru wa kuripoti pale wanapokuwa na maqhaka na watu ama kikundi cha watu
Kweli aiseeKuishi uswahili ni kazi kama kazi nyingine.yan kabisa jamaa wameungana na kwenda kureport kisa hawa muelewi mshkaji.?
Hao jamaa wanatakiwa kuhangaishwa hivyo hivyo mahakamani mpaka akili ziwakae sawa.
Wewe hujui walisema nini kule polisi. Kwa ninavyojua, ukienda kutoka taarifa za kumshuku mtu, asingekuja kukamatwa km mwizi. Kuna wengine wanaenda mbali na kusema ni mwizi sababu tukiacha vijiko havionekani n.k. Hiyo tayari inaweza kufanya polisi wakukamate. Hata km ni Mimi, Tangu nizaliwe sijawahi kwenda police, alafu Kwa sababu tu za wivu unanipeleka kule, aisee....Hawezi kushinda hiyo kesi, ni jukumu la mwananchi kutoa taarifa polisi kwa mtu asiyemuelewa, raia hawajamfungulia mashitaka bali wametoa taarifa polisi, wafanye kazi yao.
Duuh hatari sanaWewe hujui walisema nini kule polisi. Kwa ninavyojua, ukienda kutoka taarifa za kumshuku mtu, asingekuja kukamatwa km mwizi. Kuna wengine wanaenda mbali na kusema ni mwizi sababu tukiacha vijiko havionekani n.k. Hiyo tayari inaweza kufanya polisi wakukamate. Hata km ni Mimi, Tangu nizaliwe sijawahi kwenda police, alafu Kwa sababu tu za wivu unanipeleka kule, aisee....
Sawayangu ni haya hili ni tangazo na lengo la tangazo kubet i
SawaStori za kutiana hamasa wazee wa kubeti
Sawabila faili la polisi hapa ni chai
SawaSource ya taarifa "trust me bro "
Hatari sana mkuuJamaa alisubiri wajae kwenye mfumo... na wamejaa
Anashinda mchana kweupee(Defamation).Wakuu Kuna jamaa hapa mtaani alikua anahisiwa anafanya shuguli haramu sababu anamaisha mazuri ila kazi yake haijulikani
Sasa Kuna majirani wawili wamemripoti polisi akaja kukamatwa. Sasa akiwa huko polisi akasema yeye kazi yake ni kubeti na analipa Kodi Kwa serikali kupitia mikeka yake anayoshinda na kweli kaonyesha mikeka anakula mamilioni ya pesa ni aina ya watu wanaoweka pesa nyingi sana kwenye mechi.
Sasa kingine kaenda mahakamani anawashitaki majirani zake hao wawili Kwa kosa la kumdhalilisha na kumpotezea mda wa kufanya mambo yake ya msingi na anadai fidia million 500 na ana mawakili wake kabisa wa 3
Hivi hii kesi anaweza kushinda huyu jamaa ishu ipo serious sana
Jamaa yuko serious Kwako na kwa Wenzako mliofanyia hilo, hivyo nakuomba anza sasa Kuuza viti vyako ili umlipe Fidia.Wakuu Kuna jamaa hapa mtaani alikua anahisiwa anafanya shuguli haramu sababu anamaisha mazuri ila kazi yake haijulikani
Sasa Kuna majirani wawili wamemripoti polisi akaja kukamatwa. Sasa akiwa huko polisi akasema yeye kazi yake ni kubeti na analipa Kodi Kwa serikali kupitia mikeka yake anayoshinda na kweli kaonyesha mikeka anakula mamilioni ya pesa ni aina ya watu wanaoweka pesa nyingi sana kwenye mechi.
Sasa kingine kaenda mahakamani anawashitaki majirani zake hao wawili Kwa kosa la kumdhalilisha na kumpotezea mda wa kufanya mambo yake ya msingi na anadai fidia million 500 na ana mawakili wake kabisa wa 3
Hivi hii kesi anaweza kushinda huyu jamaa ishu ipo serious sana
Sio wewe kweli?Wakuu Kuna jamaa hapa mtaani alikua anahisiwa anafanya shuguli haramu sababu anamaisha mazuri ila kazi yake haijulikani
Sasa Kuna majirani wawili wamemripoti polisi akaja kukamatwa. Sasa akiwa huko polisi akasema yeye kazi yake ni kubeti na analipa Kodi Kwa serikali kupitia mikeka yake anayoshinda na kweli kaonyesha mikeka anakula mamilioni ya pesa ni aina ya watu wanaoweka pesa nyingi sana kwenye mechi.
Sasa kingine kaenda mahakamani anawashitaki majirani zake hao wawili Kwa kosa la kumdhalilisha na kumpotezea mda wa kufanya mambo yake ya msingi na anadai fidia million 500 na ana mawakili wake kabisa wa 3
Hivi hii kesi anaweza kushinda huyu jamaa ishu ipo serious sana
Hapana sio Mimi mkuuSio wewe kweli?