Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa ni hatari anabet Hadi million 10 mechi 1 tuHuyu ndio ana invest kwenye kubet sasa sio sisi wazee wa mikeka team 20
Kutoa taarifa unaweza kutoa taarifa wakati wowote mahali popote ukiona kuna viashiria vya uhalifu... haijalishi kama una uhakika au hapana..., kazi ya upelelezi sio yako ni ya polisi na sio kila taarifa lazima waifuate bali wataichunguza, pia wanashauri sana raia kutoa taarifa pindi wakiona mambo ndivyo sivyo...Na ndio maana kuna Mabalozi wa mitaa, walitakiwa walifikishe kwa balozi kisha baloz ndo alifuatilie kwa hekima likimshinda ndio alipeleke polisi.
Ndio inavotakiwa mkuu... Alikuwa anatumia Kampuni gani inayo allow stake kubwa hivo?Jamaa ni hatari anabet Hadi million 10 mechi 1 tu
1xbetNdio inavotakiwa mkuu... Alikuwa anatumia Kampuni gani inayo allow stake kubwa hivo?
Okay hyo sina experience nayo sana, alikuwa anacheza option ya ushindi wa kawaida cyo?1xbet
😂😂😂😂😂😂😂wabongo wanapenda kilamtu ahangaike🤣🤣🤣
ukila kilaini wanakushtaki maaamaeeee
Ndio na double chanceOkay hyo sina experience nayo sana, alikuwa anacheza option ya ushindi wa kawaida cyo?
Si lazima, lakini kuna namna ukiona huelewi elewi unatoa taarifa..kwahiyo sasa tunatakiwa turipoti source zetu za vipata kwa majirani?
Kama wameenda kumshitaki kama mwizi, hilo ni kosa sasa.Wewe hujui walisema nini kule polisi. Kwa ninavyojua, ukienda kutoka taarifa za kumshuku mtu, asingekuja kukamatwa km mwizi. Kuna wengine wanaenda mbali na kusema ni mwizi sababu tukiacha vijiko havionekani n.k. Hiyo tayari inaweza kufanya polisi wakukamate. Hata km ni Mimi, Tangu nizaliwe sijawahi kwenda police, alafu Kwa sababu tu za wivu unanipeleka kule, aisee....
Kwa maoni yangu naona ni sawa....hawajavunja Sheria yoyote kumtilia shakakwahiyo mtu anpokuwa na maisha mazuri ni bila ya kuona harakati zake ni wakutiliwa shaka?
Basi usikute hao waliokwenda kumshitaki mahakamani ni kina Juma kisa tu kwa sababu wao hawana kazi.Wakuu Kuna jamaa hapa mtaani alikua anahisiwa anafanya shuguli haramu sababu anamaisha mazuri ila kazi yake haijulikani anashindwa ndani akitoka jioni
Sasa Kuna majirani wawili wamemripoti polisi akaja kukamatwa. Sasa akiwa huko polisi akasema yeye kazi yake ni kubeti na analipa Kodi Kwa serikali kupitia mikeka yake anayoshinda na kweli kaonyesha mikeka anakula mamilioni ya pesa ni aina ya watu wanaoweka pesa nyingi sana kwenye mechi.
Sasa kingine kaenda mahakamani anawashitaki majirani zake hao wawili Kwa kosa la kumdhalilisha na kumpotezea mda wa kufanya mambo yake ya msingi na anadai fidia million 500 na ana mawakili wake kabisa wa 3
Hivi hii kesi anaweza kushinda huyu jamaa ishu ipo serious sana
Walichoenda kukiripoti polisi ni kipi hasa? Unayo ripoti yao neno kwa neno?
Kwa maoni yangu naona ni sawa....hawajavunja Sheria yoyote kumtilia shaka
Si lazima, lakini kuna namna ukiona huelewi elewi unatoa taarifa..
Ngoja nkuache , we endelea kutimzama jamaa kama mwehu kwa kuwashitak hao majiran kwa udhalilishajKumbe tunaongelea hisia hapa ? Kama ni hisia basi tunaweza kusema lolote tunalotaka hapa nimejibu accordingly na mada ilivyoletwa hayo mengine ni ya ziada na ndio yatajulikana huko na hapo atashitaki vitendo vya lugha mbovu kwake na sio kuwashitaki wadau kutoa taarifa polisi
Hivi mkuu unajua kusoma kilichoandikwa au una uwezo wa kuongezea yako ya kwenye mawazo yako hata kama hayajaandikwa ? Kwamba ni ajabu kwa watu kupeleka kesi ambazo hazina mashiko na mwisho wa siku kutupiliwa mbali ?
Na hii taarifa umeitoa wapi kwa mleta uzi au kichwani mwako ?
Anatakiwa kulipwaAkifungua kesi ya udhalilishaji mlalamikaji ajipange kumlipa fidia