Majirani wanapiga kelele usiku usiku

Majirani wanapiga kelele usiku usiku

Kama ni wastaarabu unaweza waambia na wakaelewa,lakini kama sio wastaarabu achana nao maana watakuaribia siku kwa maneno,.mtaa ninaoishi wakati nafika ilikua ni balaa,nimezungukwa na nyumba 3,saa 12 asubuhi wanafungua mziki mkubwa alafu ni Jmosi mtu unahitaji kupumzika,...kuna siku ulipigwa mziki 12 mpk 7 mchana yaani huwez kaa ndani maana tumepakana ukuta,...nikamtuma dogo awaambie wapunguze sauti,tangu siku hiyo hakuwahi fungulia sauti ya juu,...nafikiri alifikisha ujumbe kwa majirani wengine kwamba huyu mwenzetu Sauti kubwa inamkera,...kwa sasa tunaishi vizuri hakuna makelele ya radio ya kukela.
 
Back
Top Bottom