Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

Too bad wanadiscourage Ruge kuchangiwa hela ya matibabu ndio hao hao walikuwa wanatukana Bunge na Jiwe kuhusu kuzuia wabunge wa ccm kumchangia Mh Tundu Lissu.
Acheni unafiki na mawazo ya kimaskini kwamba mwenye uwezo hawezi hitaji msaada.
 
Uchawi siyo mpaka upige manyanga, Chuki mlizonazo ni uchawi tosha.
Basi tufanye hajatumia hata senti yake, umeridhika?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa hawana chuki na mgonjwa au ruge Bali hawa jamaa wana hoja msingi sana kuwa kwanini mtu unajiita tajir afu ukiumwa unarud kwetu sisi Masikin walala hoi kuja kutembeza bakuli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni hear say my dear... Lini alikwambia hizo ni mali Zake?? Lini? Una ushahidi?? Mbona Jaydee tuliambiwa Efm ni yake na sio ya Majizzo??? Kuna tofauti kuwa na ubia na kuwa mmiliki! Truth be told, huyu Ruge hajawahi jisifia kuwa na mali, hajawahi. Na kuitwa boss kulitokana na wale alowasaidia kuona anastahili kuitwa boss. Ni kama we unavomuita muajiri wako boss.

"Thank you God"
 
maelezo mazuri.....
 
TANESCO ndio ugonjwa gani mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…