Wee siku hizi unakaelewa hako kademu kweli?Hahaahaa
Sasa bwanake ana hela huyo halafu unamuhisi kafulia jamani
Anafuliaje mfano
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa zamaradi unashida sana ... naona upo kwenye depression na Trauma nzito sana Angalia tu usije ukajinyonga hahaa .... kwahiyo unadhani sisi wote tuna tegemea michango ili tuweze kupata life health support kama ilivyo kwa baba watoto wako !?Masikini hajifichi, nanusa harufu ya ufukara kwenye maandishi yako.
Hakuna tajiri wa kushinda mitandaoni akihoji na kuchunguza maisha binafsi ya watu waliopiga hatua. Umejawa chuki, roho mbaya na husda na hiyo ndiyo tabia kuu ya Maskini.
Nna uhakika 100% hapo ulipo hujui utakula nini mchana wa leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Lissu alichangiwa na bado anaendelea kuchangiwa mpaka leo. Huo ni utamaduni wetu waafrika kushirikiana wakati wa matatizo. Haimaanishi kuwa Ruge na watu wake wa karibu wameshindwa kumudu gharama za matibabu. Kumbuka ameshatumia zaidi ya 600M, mpaka hapo inatosha kukupa picha kuwa huyo mtu siyo level yako wala ya ukoo wako.Hahaaa. Ndio wawe wana weka Akiba ya maneno basii kwa maana siku huwa hazigandi " Inastaajabisha kuona kwamba Tajiri anataka kuchangiwa mpaka na kina siye pangu pakavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa ngoja niachane nae aise nisimpe kick Maybe anatafuta jina Jf kupitia mgongo wangu .... ili iweze kuwa rahisi kwake kuweza Kudanga humuHaaaahaaaa uwiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]....huwaga mambo mengine hajuagi kupotezea bi shost!
Utawajibu wangapi sasa waongea shombo, kuwa kama hamisa bana dyadya
Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu hajawahi kujinasibu kuwa yeye ni Tajiri .... sijui unalijua hilo kwanza Au akili yako imechacha !? Uneshawahi kuona wapi tajiri akiomba msaada wa matibabu ...tuanzie hapo kwanza !!!Hata Lissu alichangiwa na bado anaendelea kuchangiwa mpaka leo. Huo ni utamaduni wetu waafrika kushirikiana wakati wa matatizo. Haimaanishi kuwa Ruge na watu wake wa karibu wameshindwa kumudu gharama za matibabu. Kumbuka ameshatumia zaidi ya 600M, mpaka hapo inatosha kukupa picha kuwa huyo mtu siyo level yako wala ya ukoo wako.
Masikini tuache chuki, KUMCHUKIA TAJIRI HAKUKUFANYI UFANIKIWE WALA HAKUMSHUSHI TAJIRI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuta tunawasingizia tu,kumbe co. ni za wahindi tu wabongo tunaishia kupigwa sound eti za wabongo,hahah.Sinilisikia kuwa ana HISA 3 mzuka ... ina maana mihela yote ile wanayo jifanya kugawa gawa kwa washindi " Ameshindwa kuchukua hata Faida ya walichokuwa wanakiingiza kwaajili ya kumpatia matibabu kweli !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lini Ruge kakuomba mchango wako!!!???Hahaa zamaradi unashida sana ... naona upo kwenye depression na Trauma nzito sana Angalia tu usije ukajinyonga hahaa .... kwahiyo unadhani sisi wote tuna tegemea michango ili tuweze kupata life health support kama ilivyo kwa baba watoto wako !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaomba mchango kwa wananchi wa JMT---, Mimi nipo katika kundi hilo pia ... Au mimi mburundi
Lini Ruge alijinasibu yeye Tajiri!?Lissu hajawahi kujinasibu kuwa yeye ni Tajiri .... sijui unalijua hilo kwanza Au akili yako imechacha !? Uneshawahi kuona wapi tajiri akiomba msaada wa matibabu ...tuanzie hapo kwanza !!!
Hahaa my foot yaani hawajashindwa kumudu mahitaji then wakubali kuomba omba ...hii nimpya masikioni mwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
We ukiugua unaanza kuuza mali zako, mashamba na majumba kabla hujawahusisha ndugu, jamaa na marafiki wanaoweza kuku support??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa kama ndio hivyo basi wao ndio huwa wanajikaanga kwa mafuta yao wenyewe mkuu ... kwanini wadanganye halafu yanapokuwa maji ya shingo wanarudi kwetuUnaweza kuta tunawasingizia tu,kumbe co. ni za wahindi tu wabongo tunaishia kupigwa sound eti za wabongo,hahah.
Kwa mwendo huu utakuta hata ya Clouds sio ya Kusaga labda inamilikiwa hata yule mbunge aligonga punda hahah.
Hayo majumba,mashamba yenyewe ya kuuza yako wapi?We ukiugua unaanza kuuza mali zako, mashamba na majumba kabla hujawahusisha ndugu, jamaa na marafiki wanaoweza kuku support??
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili yako Huwa inapata twasira ipi pindi mtu anayefahamika mjini kwa kujita au kuitwa boss fulani ... anapogeuka kuwa Matonya !?Lini Ruge alijinasibu yeye Tajiri!?
KUMCHUKIA TAJIRI HAKUPUNGUZI UMASIKINI WAKO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah alipelekwa mahamani na yule Mobetto nadhani khs Child Support akaanza kulia lia hana mpunga.Kama Domo anakwambia ana 14b [emoji1787][emoji1787][emoji1787]...lkn kutunza mtoto wake hapa dar ishuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo atakuwa Mchomvu.Hahaa ..wewe umejuaje kuwa ananizidi uwezo wa kiuchumi Au umekuwa mpiga ramli .... Naona ume panic bila shaka itakuwa ni zamaradi wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaaHahah alipelekwa mahamani na yule Mobetto nadhani khs Child Support akaanza kulia lia hana mpunga.
Ewaaaa, kaenda mahakamani kavurugwa mpaka kavaa sendozi inayotaka kukatika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahah alipelekwa mahamani na yule Mobetto nadhani khs Child Support akaanza kulia lia hana mpunga.
Hahaha nilicheka that day ...tajiri akaagiza kwenda kushonewa sendozi ...Ewaaaa, kaenda mahakamani kavurugwa mpaka kavaa sendozi inayotaka kukatika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app