Major Abdulrahman Shimbo: Kamanda wa Kikosi cha JWTZ kilichozima jaribio la mapinduzi Seychelles

.Shimbo aliteuliwa kuwa CoS wakati wa Kikwete.

Historia ya Shimbo na Kikwete ilianzia shule ya Jeshi Monduli Wakazi Lt. General Sayore akiwa mkuu wa Chuo!! Kikwete akiwa pale kama political commissar alileta fitina dhidi ya mkuu wa Chuo Sayore na alipotaka kuchukuliwa hatua za kijeshi ilibidi atoroke kwa miguu kutoka kambini na mtu aliyemsaidia kutoroka kuepuka makali ya Sayore alikua Shimbo!!!

Ndio maana mara baada ya Kikwete kuingia madarakani Lt. General Sayore aliamua kustaafu akiwa na cheo cha Chief of Staff!! Ni wakati wa utawala wa Kikwete ndio shimbo alipandishwa vyeo haraka haraka hata Kuwa Balozi huko China ambako alikua dalali wa mkwere kupiga madili ya ununuzi wa ndege za Jeshi!!!
 

..naomba kutofautiana na wewe kidogo tu.

..lt.gen.sayore alistaafu pamoja gen.robert Mboma mwaka 2001.

..baada yao Mkapa akamteua Cdf gen.marwa waitara na Cos lt.gen.Idi Gahhu.

..kwa hiyo Kikwete alipoingia ilikuwa ni miaka kadhaa tangu lt.gen.Sayore astaafu.

..lt.gen.shimbo ameeleza walikutana vipi na JK. Ungefuatilia kwenye video ili umsikie shimbo akielezea.

..Sintofahamu iliyotokea Monduli baina ya JK na mabosi wake imeelezewa vizuri na Bernard Membe.

..JK aliokolewa na Membe, ambaye alitumwa na Ikulu kufuatilia kilichotokea Monduli, baada ya timu iliyotumwa mwanzoni kutoa ripoti ambayo ilitakiwa wasiwasi.

..Hii habari ya JK kutoroka mimi siwezi kuamini. Utoro ni kosa kubwa sana kwa afisa wa jeshi.
 
.Hii habari ya JK kutoroka mimi siwezi kuamini. Utoro ni kosa kubwa sana kwa afisa wa jeshi

Source ya hii taarifa ya utoro sina wasi wasi nayo ni kweli ilikuwa hivyo!!!
 
Chai
 
Ikulu gani itume incomplete kama membe?
 

BM is overrated
 
Umeelezea vyema katika mchango wako wa mada hii,wote tunahitaji kujua UKWELI sio kuombiwa UONGO,na hakuna tabia mbaya kama UONGO,na ni vema sisi wenyewe tukawa wakweli na always ukweli utatuweka huru;
Kwa kweli hapa nashindwa kusapoti wapi. Wazungu ni waongo tu! Hakuna sehemu hata moja, hasa kwenye historia huku Africa wamesema ukweli. Kila kitu walichoandika na kukisema kuhusu Africa ni uongo tu.

Ila na sisi pia tumekuwa waongo sana. Tunakubali kupotosha historia yetu wenyewe Kwa manufaa ya kiutawala na ya muda mfupi. Historia ambayo bado tunafundishwa kuhusu kupigania uhuru, baba wataifa, maendeleao ya nchi, viongozi wetu hodari n.k, zote zimejaa uongo mtupu.

Uongo umekuwa mwingi sana siku hizi.
 
za ukweli ni zipi?
 
Jeshi si lelemama, kulinda nchi siyo jambo jepesi na ndiyo maana amani za nchi nyingi zimefurugika
 
naskia waltaka kulipua ikulu na walkamatwa
skuwahi kuiskia hii story had magu alvomwambia yule bosi wa barrick "Kaka yako altaka kulipua ikulu na angefia hapa "
mkuu unaeza kutupa 1 2 ilkuaaje na ilkua wakati upi? koti la babu halkosi chawa...@Joka kuu
 
Kwamba JW waliwatoa manundu mercenaries?
 
Kwamba JW waliwatoa manundu mercenaries?
true story waliwapiga ngumi kishenzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

shimbo alkua na askari wachache sana baada ya kuzima mapinduzi askari wengi waliondoka. wiki hiohio askari waliondoka(walibaki wachache kwa ajili ya kulifundisha jesh)shimbo anasema alianza kuona viashiria kama watalii kuongezeka sana na fununu za mercenary

just imagine walkua wanafundisha jeshi la shelisheli na kufanya ulinzi(doria) hawa walkua mazombi eti
 
Aisee. Vijana wa JW kumbe vizuri zama na zama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…