Nimekuelewa mkuu let's discuss kwa FACTS kuhusu issues za wazungu na sisi weusi,je tunakubaliana kuwa sisi wenyewe ndio tumesababisha yote haya?nipe just one country hapa Africa ambayo ame achieve malengo yao bila ya kutegemea wazungu yaani maisha ya raia wake ni bora na wanajitegemea kwa budget yao bila msaada wa wazungu,why nchi za Scandinavian zimepiga hatua kubwa ya kimaisha wakati miaka ya 60s tulikua msitari mmoja?issue ya ushelisheli ni UONGO hasa kwa tunayoambiwa,askari wa Tanzania waliingia pale airport wakati mercenaries wameshaondoka baada ya kuiteka nyara ndege ya india,ndio maana hakuna battle iliyotokea kati ya our soldiers na maaskari wale.TujadiliKwa kweli hapa nashindwa kusapoti wapi. Wazungu ni waongo tu! Hakuna sehemu hata moja, hasa kwenye historia huku Africa wamesema ukweli. Kila kitu walichoandika na kukisema kuhusu Africa ni uongo tu.
Ila na sisi pia tumekuwa waongo sana. Tunakubali kupotosha historia yetu wenyewe Kwa manufaa ya kiutawala na ya muda mfupi. Historia ambayo bado tunafundishwa kuhusu kupigania uhuru, baba wataifa, maendeleao ya nchi, viongozi wetu hodari n.k, zote zimejaa uongo mtupu.
Uongo umekuwa mwingi sana siku hizi.