Major Abdulrahman Shimbo: Kamanda wa Kikosi cha JWTZ kilichozima jaribio la mapinduzi Seychelles

Nimekuelewa mkuu let's discuss kwa FACTS kuhusu issues za wazungu na sisi weusi,je tunakubaliana kuwa sisi wenyewe ndio tumesababisha yote haya?nipe just one country hapa Africa ambayo ame achieve malengo yao bila ya kutegemea wazungu yaani maisha ya raia wake ni bora na wanajitegemea kwa budget yao bila msaada wa wazungu,why nchi za Scandinavian zimepiga hatua kubwa ya kimaisha wakati miaka ya 60s tulikua msitari mmoja?issue ya ushelisheli ni UONGO hasa kwa tunayoambiwa,askari wa Tanzania waliingia pale airport wakati mercenaries wameshaondoka baada ya kuiteka nyara ndege ya india,ndio maana hakuna battle iliyotokea kati ya our soldiers na maaskari wale.Tujadili
 
Huyu mzee stori zake mbaya mtaani zimefunika mazuri yote aliyoyafanya...
 
Unayajua majukumu ya chief of staff?

..nayajua, na ndio maana nakwambia hawezi kutafuna mabilioni ya jeshi bila wakubwa zake kushughulikia.

..pia CoS hawezi kukamatwa na Interpol kwasababu ya kuwa na fedha ktk account nje ya nchi.

..wanakamatwa na Interpol huwa ni fugitives, yaani wahalifu / watuhumiwa wanaojificha au kutangatanga kukwepa mkono wa dola.

..mpaka hapo utaona kwamba Shimbo hakuwa amejificha au ametoroka wakati wowote mpaka leo hii.

..Jambo lingine ni kwamba CoS ni mtu mzito anayejua mambo mengi ya kijeshi na kiusalama, siyo mtu wa kukamatwa kirahisi-rahisi kama ilivyotuhumiwa.
 
Kitendo cha kwenda kuchukua fedha za mishaara hazira tarehe 5 na kuizungusha kwa riba na hatimaye mwisho wa mwezi watumishi wanalipwa kama kawaida ni kosa kisheria au sio kosa kisheria?
 
Kitendo cha kwenda kuchukua fedha za mishaara hazira tarehe 5 na kuizungusha kwa riba na hatimaye mwisho wa mwezi watumishi wanalipwa kama kawaida ni kosa kisheria au sio kosa kisheria?

. Kwa hiyo mishahara ya jeshi zima alichukua akawekwa kwenye akaunti yake?🤣🤣
 
alitoroka kwenda wapi?

Alitoroka kambini Monduli!!! Alirudi kwenye taasisi iliyompeleka kufundisha siasa jeshini!!! Uzuri wake maafande wake wa wakati huo bado wako hai ingawa ni wastaafu; wewe JOKA KUU una nafasi ya ku cross check ukwell wa habari hii halafu ulete mrejesho!!!
 

..haiwezekani.

..wakati huo kulikuwa na Kamisaa Mkuu wa Siasa Jeshini ambaye alikuwa afisa namba 3, akimfuatia CoS, na CdF.

..kwa hiyo haiingii akilini kudai kwamba labda aliotoroka na kwenda makao makuu ya chama.

..Na askari kuondoka kambinj bila ruhusa ya wakubwa zake ni kosa la kinidhamu, wakikupata unakwenda mahabusu na kwenye court marshal / mahakama ya kijeshi.
 
..ule ulikuwa ni uzushi.

..walidai shimbo amekula billions na amekamatwa na INTERPOL.

..mnadhimu mkuu wa jeshi kukamatwa na Interpol ni jambo ambalo haliwezekani.
Naomba kuuliza mkuu, lutein General shimbo Hawezi kukamatwa na Interpol Kwasababu yupo juu sheria sio? Nipe maarifa mkuu

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Kwasababu yupo juu sheria sio? Nipe maarifa mkuu

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app

..ni uzushi kudai huyu bwana alikamatwa na Interpol.

..kabla ya huo ukamataji ni lazima awepo anayemtafuta.

..sasa unajiuliza ni jeshi gani la Polisi lilikuwa linamtafuta?

..pia huyu bwana ni askari wa Jwtz, hivyo wenye mamlaka ya kumkamata ni military police / mp wa Jwtz.

..hata tukidai alikamatwa nje ya nchi, maofisa wa ngazi za juu kama huyu bwana kusafiri kwa kutumia pasi za kidiplomasia / diplomatic passport. Sheria za kimataifa zinazuia ukamataji wa wasafiri wenye diplomatic passport

..tunapotoa madai tujitahidi kutoa taarifa zenye mantiki, na zenye ukweli ndani yake.

..VIJANA wa Kitanzania mnachosha sana kuwaelimisha. Yaani mnadanganyika kwa mambo mepesi mnooo.

..Kama mtu unaweza kufika hapa JF unatakiwa uwe unajua mambo mepesi kabisa niliyokueleza halo juu.

NB:

..inawezekana huyu bwana alimung'unya mapesa ya umma, lakini sio kwa namna ilivyowasilishwa hapa JF. Na kama alihusika basi itakuwa alishirikiana na watu wa juu yake, na chini yake.

Cc MALCOM LUMUMBA, Nguruvi3
 
Mkuu JokaKuu huyo kijana hana habari na hataki kujifunza
Hivi Interpol wanaweza kumkamata Lt General ambaye pia ni CoS! kwamba mamlaka za nchi hazipo

Katika interview , CoS Shimbo alisema '' CoS ndiye mtendaji mkuu wa jeshi na anajua mipango yote. Yeye hupanga na kumpelekea CDF atakayetoa uamuzi''

Kama watu wanajua kusikiliza kauli hii ina maana kubwa sana, kwamba, CoS ndiye ''Jeshi'' na sijui nani anaweza kuacha CoS na Lt Gen akamatwe bila mamlaka za nchi kujua. Hizi ni hadithi za mitaani kama ulivyosema vijana wetu akipata mistari miwili tweeter basi anaelewa
 
wote tulkua wajamaa at by that time coldwar ilkua imetamalaki lkn pia south ilkua chini ya makaburu
nyerere alkua mbabe bingwa wa kuwadindia weupe
Hii comment nimeipenda sana tu
 
Ujeuri wake haukuwa wa akili, Hadi aibu naona Mimi
 
Hili bandiko lako linahitaji marekebisho kidogo!
 
Lt Gen Sayore alistaafu wakati wa Mhe Mkapa, walistaafu wote na Gen. Mboma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…