..meremeta haikuwa kashfa ya utawala wa Mkapa?
..Shimbo aliteuliwa kuwa CoS wakati wa Kikwete.
Yani hiyo ni aibu kuu kwa jwtz angetakiwa kuuliwa sio kustaafishwa kama amekutwa na hatia..mpaka mnadhimu mkuu anatafuna pesa za wanajeshi, waziri wa ulinzi, katibu mkuu wizara, mkuu wa majeshi, watakuwa wapi?
So utumishe wake unatiamashakaHistoria ya Shimbo na Kikwete ilianzia shule ya Jeshi Monduli Wakazi Lt. General Sayore akiwa mkuu wa Chuo!! Kikwete akiwa pale kama political commissar alileta fitina dhidi ya mkuu wa Chuo Sayore na alipotaka kuchukuliwa hatua za kijeshi ilibidi atoroke kwa miguu kutoka kambini na mtu aliyemsaidia kutoroka kuepuka makali ya Sayore alikua Shimbo!!!
Ndio maana mara baada ya Kikwete kuingia madarakani Lt. General Sayore aliamua kustaafu akiwa na cheo cha Chief of Staff!! Ni wakati wa utawala wa Kikwete ndio shimbo alipandishwa vyeo haraka haraka hata Kuwa Balozi huko China ambako alikua dalali wa mkwere kupiga madili ya ununuzi wa ndege za Jeshi!!!
So utumishe wake unatiamashaka
yah atlist nmepata mwanga mkuuxng hua ,
How the SADF plotted to kill Thabo Mbeki
This is one of dozens of startling revelations in a new book giving details of previously classified operations of a clandestine South African Defence Force unit in the '70s and '80s.
Although the attack on the ANC leadership at a bush lodge in Tanzania had to be aborted, dozens of other missions proved successful, including an attack on an oil refinery in Luanda and the bombing and sinking of seven ships.
The book also tells how two South African undercover commandos found themselves eavesdropping on Thabo Mbeki in a restaurant in Dar es Salaam. At the time, Mbeki was an elusive and central figure in the liberation struggle.
The book, Iron Fist from the Sea: South Africa's Seaborne Raiders 1978-1988, was published last month in the UK. It was co-authored by two SADF officers, Lieutenant-Colonel Douw Steyn and Rear-Admiral Arnè Söderlund. It lifts the lid on one of the most feared SADF special force units, 4 Reconnaissance Regiment - "4 Recce" - a seaborne unit that worked with the navy to hit targets as far away as Cabinda in Angola near the mouth of the Congo River.
How the SADF plotted to kill Thabo Mbeki
A new book by former officers discloses details of a failed operation to assassinate ANC leaders in exile. A secret operation in apartheid's dying days to blow up the entire ANC national executive with booby-trapped paintings was called off when a plane carrying special force soldiers turned...www.timeslive.co.za
Wanogopa hao [emoji81][emoji81][emoji81] we mpaka kupiga picha kwenye panton haturuhusiwi kisa eti kambi ya jeshi[emoji81][emoji81][emoji81]yah atlist nmepata mwanga mkuu
wakina nani wanaongopa?Wanogopa hao [emoji81][emoji81][emoji81] we mpaka kupiga picha kwenye panton haturuhusiwi kisa eti kambi ya jeshi[emoji81][emoji81][emoji81]
Serikaliwakina nani wanaongopa?
Wewe unaamini story za kutunga za JK kutoroka Monduli akisaidiwa na Shimbo? Fuatilia uzi huu toka mwanzo Joka kuu kaelezea vizuri sana! Pia story za Shimbo kuchukua mshahara hazina tarehe 5 na kuzungusha kwenye mabenki kwa riba ni story za vijiweni tu maana haiwezekani serikali kuweka mishahara ya wanajeshi wote kwenye akaunti ya mtu mmoja binafsi. Tukirudi nyuma ni kweli Shimbo anaweza kuwa na tuhuma za ufisadi lakin ukifuatilia story nyingi ni za kutunga na ukizipima kwa mzani wa ukweli hazina mashiko. Ni bahati mbaya kwamba watz wengi ni watu wa kuamini every tom and jerry na pia wamejaa husda, chuki na wivu hivyo kumchukia kila mwenye mafanikio kwa kumuita mwizi, fisadi n.kSo utumishe wake unatiamashaka
Sio kweli! Ninaweza kusema tatizo letu ni kutopenda kuweka mambo yetu katika maandishi na pia watu wetu hawapendi kusoma. Pia kwa asili watz sio watu wawazi na huwa tunapenda kudanganya ili kuwafurahisha walio juu. Ndio maana mpaka leo hii hakuna mtu aliyejitokeza waziwazi serikalin kuelezea mambo tunayopotoshwa kuhusu namna uhuru wetu ulivyopatikana au ushiriki wa John Okello katika mapinduzi ya ZanzibarSerikali
Wapi nimesema nimeamini mimi nimehoji we bwana vp.Wewe unaamini story za kutunga za JK kutoroka Monduli akisaidiwa na Shimbo? Fuatilia uzi huu toka mwanzo Joka kuu kaelezea vizuri sana! Pia story za Shimbo kuchukua mshahara hazina tarehe 5 na kuzungusha kwenye mabenki kwa riba ni story za vijiweni tu maana haiwezekani serikali kuweka mishahara ya wanajeshi wote kwenye akaunti ya mtu mmoja binafsi. Tukirudi nyuma ni kweli Shimbo anaweza kuwa na tuhuma za ufisadi lakin ukifuatilia story nyingi ni za kutunga na ukizipima kwa mzani wa ukweli hazina mashiko. Ni bahati mbaya kwamba watz wengi ni watu wa kuamini every tom and jerry na pia wamejaa husda, chuki na wivu hivyo kumchukia kila mwenye mafanikio kwa kumuita mwizi, fisadi n.k
Alitupiga Cash Ndefu SanaJizi hilo
Ukiulizwa alipigaje utajibu nini? Hebu tujifunze kuwa watu wa kufanya verification kabla ya kuanza kurusha tuhuma. Ni kweli Shimbo anaweza kuwa aliwahi kufanya ufisadi lakini tuwe tunatoa tuhuma zenye mashiko na sio habari za kusikia kwenye gahawaAlitupiga Cash Ndefu Sana
Majizi Yapo
Kutokana na hilo Historia ya mapinduzi ya Zanzibar imebaki kwa mtu '' aliye na microphone kubwa au kalamu inayomwaga wino mwingi'' na si ukweli ulivyoNdio maana mpaka leo hii hakuna mtu aliyejitokeza waziwazi serikalin kuelezea mambo tunayopotoshwa kuhusu namna uhuru wetu ulivyopatikana au ushiriki wa John Okello katika mapinduzi ya Zanzibar
Askari wa jwtz akifanya kosa la jinai je, askari polisi hana mamlaka kisheria kumkamata? Naomba nipe maarifa mkuuu..ni uzushi kudai huyu bwana alikamatwa na Interpol.
..kabla ya huo ukamataji ni lazima awepo anayemtafuta.
..sasa unajiuliza ni jeshi gani la Polisi lilikuwa linamtafuta?
..pia huyu bwana ni askari wa Jwtz, hivyo wenye mamlaka ya kumkamata ni military police / mp wa Jwtz.
..hata tukidai alikamatwa nje ya nchi, maofisa wa ngazi za juu kama huyu bwana kusafiri kwa kutumia pasi za kidiplomasia / diplomatic passport. Sheria za kimataifa zinazuia ukamataji wa wasafiri wenye diplomatic passport
..tunapotoa madai tujitahidi kutoa taarifa zenye mantiki, na zenye ukweli ndani yake.
..VIJANA wa Kitanzania mnachosha sana kuwaelimisha. Yaani mnadanganyika kwa mambo mepesi mnooo.
..Kama mtu unaweza kufika hapa JF unatakiwa uwe unajua mambo mepesi kabisa niliyokueleza halo juu.
NB:
..inawezekana huyu bwana alimung'unya mapesa ya umma, lakini sio kwa namna ilivyowasilishwa hapa JF. Na kama alihusika basi itakuwa alishirikiana na watu wa juu yake, na chini yake.
Cc MALCOM LUMUMBA, Nguruvi3
Yuko wapi huyu askari siku hizi? Kusema kweli kuna watu wanastahili kuandikiwa vitabu, sababu ya utumishi wao. General Ngwilizi(RIP), ni miongoni mwao.Anaitwa Abdulrahman Amiri Shimbo.
Alikuwa katika kikosi cha JWTZ kilichotumwa Seychelles kufundisha Jeshi la visiwa hivyo.
Major Abdulrahman Shimbo alikwenda Seychelles mwaka 1978 kuwa katika kikosi cha JWTZ kilichoongozwa na Lt.Col.Hassan Ngwilizi.
Hassan Ngwilizi alikuwa mwalimu wa Abdulrahman Shimbo chuo cha maofisa wa jeshi MonduliJ
Mwaka 1980 Lt.Col. Ngwilizi alirudi Tanzania, hivyo Major Shimbo akawa mkuu wa kikosi kilichokuwa Seychelles.
Mwaka 1981 Seychelles ikavamiwa na askari wa kukodiwa waliolenga kupindua Serikali ya nchi hiyo.
Jaribio hilo lilizimwa na kikosi cha JWTZ na kupelekea mamluki hao kuteka ndege na kutoroka kwenda Afrika ya Kusini.
Abdulrahman Shimbo alipanda ngazi za utumishi JWTZ mpaka kufikia kuwa Mnadhimu Mkuu, na alistaafu akiwa na cheo cha Luteni Jenerali.
Sikiliza mahojiano aliyofanya na Azam TV kipindi cha Zumari kujua historia yake, na kilichotokea Seychelles mwaka 1981.