- Thread starter
- #101
Yuko wapi huyu askari siku hizi? Kusema kweli kuna watu wanastahili kuandikiwa vitabu, sababu ya utumishi wao. General Ngwilizi(RIP), ni miongoni mwao.
..ni mstaafu, Azam TV walimfuata nyumbani kwake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko wapi huyu askari siku hizi? Kusema kweli kuna watu wanastahili kuandikiwa vitabu, sababu ya utumishi wao. General Ngwilizi(RIP), ni miongoni mwao.
Askari wa jwtz akifanya kosa la jinai je, askari polisi hana mamlaka kisheria kumkamata? Naomba nipe maarifa mkuuu
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Namsifu kwa uwezo wa kujieleza freely. Askari wengi huwa wana uso wa chuma kueleza mambo ambayo yanasaidia sana kujua tulitoka wapi, tuko wapi na pengine tutaenda wapi..ni mstaafu, Azam TV walimfuata nyumbani kwake.
..mimi naamini jwtz walikwenda Seychelles na Comorro ili kulinda usalama wetu haswa ukanda wa bahari ya hindi.
..ukifuatilia taarifa za Zanu Pf utakutana na habari kwamba kulikuwa na meli za Tz zinazosafisha wapiganaji toka Mozambique kuja Tanzania kwa mafunzo.
..pia kuna tukio la makomando wa Afrika Kusini kufika Dsm kwa kupitia majini. Nadhani walitega mabomu.
.
Yaani usalama wetu uko kwenye visiwa na si mipakani ??
Iddi Amin aliingiaje Kagera ?? tanzanite na madini nyengine zinakwendaje Kenya au ndio hofu yetu ni visiwani ??
Wacha majungu wewe kama jeshi katika hali ya hatari linaweza ku-intervene air communication na kuamuru ndege ifanye diversion! Sasa kwa kesi ya Seyschelles at the time kulikuwa na pande mbili zinakinzana za Rais Albert René na aliyepinduliwa James Mancham na wote walikuwa na wafuasi ndani na nche ya serikali ikiwemo taasisi! Mpango kama huu lazma ulikuwa na insiders hata airport!Magufuli aliagiza Shimbo arudishwe na next flight from Peaking ubalozini kwa kashfa ya kupiga hela za jeshi akiwa mnadhimu.
Akiwa Seychelles pia akaleta ukurya wa wanajeshi wetu kwa kutishia kutungua ndege ya abiria ya Air India. Rubani akamwambia wewe nani unanambia nisitue, Shimbo akamjibu "mimi mamlaka." Rubani akamwambia kama ni mamlaka unajua kufuata utaratibu sahihi wa mawasiliano ya kuiambia ndege isitue.
Shimbo akahamaki akapanga mawe na magari kwenye run way, akasema "ngoja tumuone atatua vipi." Very unprofessional, very ruthless and puerile, hajali chembe kuhatarisha maisha ya innocent civilians wa kimataifa. Ana bahati Magufuli hakumfunga walipopiga hela na Lugumi.
Umenikumbusha kuhusu Mike Hoare.Mwaka 1981 Seychelles ikavamiwa na askari wa kukodiwa waliolenga kupindua Serikali ya nchi hiyo.
Rwanda wana jeshi la kuhuni tu..Rwanda kiboko yao ni Lt.Gen.Mwakibolwa.