Hawa walipewa mikoa wakiwa kazini au baada ya kustaafu?Kazi kwelikweli inaonesha umezaliwa baada ya Vita vya Kagera
mambo ya kuomba hela hata awe Kambini ataomba mpaka na chakula
Hebu jiulize wakina Mayunga, Kimario, Marwa hawa walikuwa na vyeo vikubwa Jeshini lkn walipewa Mikoa
Nyota mbili zinabakia palepale sema siyo tena mkuu wa JKT. Either itamlazimu Rais kumpandisha cheo brigedia general ili ashike nafasi hiyo ama atalazimika kumhamisha meja jenero mwingine ili awe mkuu wa JKT. Kwanza wamelundikwa huko hovyo hovyo tuu na hakuna wanalofanya. Madam chomoa kimeja kimoja kikave pengo!Habari wanabodi? naomba kupata uelewa kidogo, kwa nafasi kama ya Major General Mbuge kutoka kuwa Mkuu wa JKT na kwenda kuwa RC je hapo kapanda cheo ama kashuka? naomba uelewa wa kina juu ya hili tafadhali.
na, hongera kwake kwa uteuzi!!
Major General ni mkubwa kuliko Brigedier General.Hajapanda cheo wala hajashuka cheo ni mabadiliko ya kimajukumu tuu angekuwa amekuwa Brigedier ningesema ameshuka
Major General Mbuge ni kutoka kanda gani ?.
Kulikoni? Nasikia alichukia sana waliosoma maana yeye ni msomi wa mechanicalKimajukumu kijeshi kashushwa. Huyu alikuwa ni mkuu wa JKT nchi nzima na sasa hivi anaenda kuwa Mkuu wa Mkoa tuu.
Portfolio aliyokuwa nayo akiwa Mkuu wa JKT Tanzania ilikuwa ni kubwa sana kuliko sasa anavyokwenda kuwa Mkuu wa Mkoa.
Kwa kawaida wakiona umezingua jeshini they get rid of you kwa njia kama hii. Kumbuka wakati wa akina General Mirisho Sarakikya, T. Kiwelu n.k
Kwahiyo, Major General Charles Mbuge sasa hivi ameshika tama anasikitika.
Asantea!
What happened? Was he delivering? Was he trying to impress just his former boss?Ngongo unataka kutambika?
Mkuu wa JKT huwasiliana na Rais kupitia kwa CDF, wakati mkuu wa mkoa huwasiliana na rais moja kwa moja! Tofauti kubwa kabisa, labda tusema anapunguzuiwa influence jeshini.R C ni cheo cha heshima na majukumu mengi zaidi ya mkuu wab jkt pia RC alipo anamwakilusha Rais direct
Hayo ndio maswali ya kujiuliza.What happened? Was he delivering? Was he trying to impress just his former boss?
Mara
Ngongo unataka kutambika?
Amebadilishwa pia harakaharakaKa
Nilikuwa najaribu kutafakari ni kwanini alipandishwa haraka haraka.
[emoji38][emoji38]Kuna watu jf akili zero, yani RC mfano chalamila awe mkubwa kuliko mkuu wa jeshi la Jkt nchini?
Hajapanda cheo wala hajashuka cheo ni mabadiliko ya kimajukumu tuu angekuwa amekuwa Brigedier ningesema ameshuka
Salit ni salam ya kijeshi. Askari kama kavaa uniform Salut ndiyo salam yake na kama kavaa nguo za kawaida basi unanyooka vizuri unanyanyua visigino ukiwa umekakamaa. Ukiona mtu kapiga salut wala siyo ndiyo kawa mdogo hapanaDuuh, yaani CDF ana salute kwa DC? nlkua sijui hii, kwahyo unataka kusema CDF General Mabeyo sasa ata-salute kwa RC Major General Mbuge? mmh
Kijeshi ni kuwa wewe mdogo unaanza kumsalimu kwa kupiga salute na yeye mkubwa analazimika kupokea salamu yako kwa kupiga salute.Duuh, yaani CDF ana salute kwa DC? nlkua sijui hii, kwahyo unataka kusema CDF General Mabeyo sasa ata-salute kwa RC Major General Mbuge? mmh
Watanzania banaHabari wanabodi? naomba kupata uelewa kidogo, kwa nafasi kama ya Major General Mbuge kutoka kuwa Mkuu wa JKT na kwenda kuwa RC je hapo kapanda cheo ama kashuka? naomba uelewa wa kina juu ya hili tafadhali.
na, hongera kwake kwa uteuzi!!
Jasusi uchwara aka timu ubuyu, upo? Kwisha habari yako, naona unajipendekeza kwa mkuu upate uteuzi lkn ww ni tatu bomba iliyotupwa.Demotion hiyo