Major General Mbuge Kuwa RC kutoka Mkuu wa JKT Kapanda Cheo au kashuka?

Major General Mbuge Kuwa RC kutoka Mkuu wa JKT Kapanda Cheo au kashuka?

Au Diwani alipotoka DCI hadi Ras Kagera, halafu huu Mkoa ndio mara kwa mara unatumika kwa kazi hiyo sijui kwanini
Faraja kazini.
Yaani toka cheo cha hadhi ya Kitaifa kuwa ngazi ya kimkoa amepanda cheo?
RC Kigoma alivyotoka DG Zimamoto naye alipanda cheo?
 
Kimajukumu kijeshi kashushwa. Huyu alikuwa ni mkuu wa JKT nchi nzima na sasa hivi anaenda kuwa Mkuu wa Mkoa tuu.

Portfolio aliyokuwa nayo akiwa Mkuu wa JKT Tanzania ilikuwa ni kubwa sana kuliko sasa anavyokwenda kuwa Mkuu wa Mkoa.

Kwa kawaida wakiona umezingua jeshini they get rid of you kwa njia kama hii. Kumbuka wakati wa akina General Mirisho Sarakikya, T. Kiwelu n.k

Kwahiyo, Major General Charles Mbuge sasa hivi ameshika tama anasikitika.

Asantea!
Ningekuwa Mimi Ningefanya Kama alivyofanya Maswanya aliekataa Uteuzi Wa DC, Kutoka Kuwa Mkuu Wa JKT Nchi Nzima Kuwa Rc.... Hapana [emoji36][emoji36]
 
Sasha Nadhani anachukizwa na Akina Mdee na Wenzake Kuwepo Bungeni, Sasa Kaona Hana Uwezo Wa Kumwajibisha Ndugai Kahamua Hasira zake Amalizie Kwa Katibu Wa Bunge Kumtoa Pale Na kumpeleka Kuwa Rc Huko
 
Hao uliowataja hawakuwa wakuu wa Jeshi.
Ma brigade commanders.
Huyu Major Gen Mbuge alikuwa mkuu wa Jeshi au kitengo km Mgambo au zimamoto chini ya JW, JKT nalo utasema ni jeshi ukashindane na major General Muhidini Kimario Mkurugenzi wa CDA? au alikuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM?
Huwezi mtoa Major Genral Tumainiel Kiwelu Mkuu wa Mkoa wa Kagera ukamfananisha na Mkuu wa Jeshi la zimamoto au Mgambo
nikirudi kwenye Mada Cheo chochote cha Kijeshi unawezwa ingizwa kwenye siasa na hii ilikuwa na nafasi zake katika Siasa na Bunge (Majeshini walikuwa na nafasi)
 
Kama Mbuge kawa mkuu wa mkoa na mkuu wa mkoa ni mteule wa Rais ,swali je atapigiwa saluti na CDF?
Naomba majibu
 
Cheo cha Mkuu wa JKT ni nafasi ya kiuongozi wa kitafa na huwa moja tu wakati Mkuu wa Mkoa ni cheo cha watu zaidi ya mmoja katika taifa. Kwa mtazamo huu naweza kusema huyu mwamba ameporomoka cheo.
Exactly.
 
Huyu ndio alihujumu ajira za vijana 800 wa JKt na kuwaita waasi, acha karma imtafune akapambane na majangiri mipakani huko.
kwani kafukuzwa kazi[emoji848][emoji848].

unaajiri vipi askari wanaogoma mafunzoni!!!
 
Hao uliowataja hawakuwa wakuu wa Jeshi.
Ma brigade commanders.
Huyu Major Gen Mbuge alikuwa mkuu wa Jeshi au kitengo km Mgambo au zimamoto chini ya JW?
JKT nalo utasema ni jeshi ukashindane na mtu km Major General Muhidini Kimario Mkurugenzi wa CDA? au aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM?
Huwezi mtoa Major General Tumainiel Kiwelu Mkuu wa Mkoa wa Kagera ukamfananisha na Mkuu wa Jeshi la zimamoto au Mgambo
nikirudi kwenye Mada Cheo chochote cha Kijeshi unawezwa ingizwa kwenye siasa na hii ilikuwa na nafasi zake katika Siasa na Bunge (Majeshini walikuwa na nafasi)
 
Humu jf kila siku tunajisema sisi ni magreat thinker but nashangaa tunawaza kama watu wa Facebook na Instagram,,
Nimesoma mwanzo Hadi mwisho sijaona hata mtu alokuja na wazo mbadala la why jamaa katolewa pale kapelekwa kigoma .
Wote mnawaza ukubwa na udogo atakua kashushwa .
Nchi ina mambo mengi wakuu sometimes mtu flani anahitajika sehem flani kwa kazi flani kipindi flani..
So he must go to accomplish the mission it's not about being promoted or demorted..
Nchi kubwa hii na ina mambo mengi wakuu.
Hebu kumbukeni kidg ya bwa.diwani na njia zake alizopita.
 
Habari wanabodi? naomba kupata uelewa kidogo, kwa nafasi kama ya Major General Mbuge kutoka kuwa Mkuu wa JKT na kwenda kuwa RC je hapo kapanda cheo ama kashuka? naomba uelewa wa kina juu ya hili tafadhali.

Hongera kwake kwa uteuzi!!
Watu hawaangalii vyeo mkuu wanaangalia watoto kwenda haja kubwa na shule. Over
 
Humu jf kila siku tunajisema sisi ni magreat thinker but nashangaa tunawaza kama watu wa Facebook na Instagram,,
Nimesoma mwanzo Hadi mwisho sijaona hata mtu alokuja na wazo mbadala la why jamaa katolewa pale kapelekwa kigoma .
Wote mnawaza ukubwa na udogo atakua kashushwa .
Nchi ina mambo mengi wakuu sometimes mtu flani anahitajika sehem flani kwa kazi flani kipindi flani..
So he must go to accomplish the mission it's not about being promoted or demorted..
Nchi kubwa hii na ina mambo mengi wakuu.
Hebu kumbukeni kidg ya bwa.diwani na njia zake alizopita.
mbona hueleweki Mkuu yaani wewe bado unatafuta kazi za kuajiriwa tena hizi za kupigiwa vidole au mtu akae mahali achambue jina lako
Hapa JF ni mahali pa kupotezea muda na kubwabwaja km una hela za bundle
sisi wengine mirija inatiririsha hela kutoka kwenye magenge yetu ya soko au vituo vya mafuta au vijiwe vya kuza vocha, kwa hiyo Siasa ni maisha ya kila siku usiwazuie watu kumjadili Mbuge
Hao vijana wa JKT hawakufanya lolote waliwekwa boya tu hata pima maji hawaijui, waliajiriwa masonry wa kutwa waliokuwa wakija kufanya day worker na wanapunjwa mpaka majengo yanaisha
Bado JKT walikuwa wanafanya kazi za usafi kwenye maofisi ya Serikali huko Mtumba kupangusa meza tu hawawezi, malipo yote yanaenda Serikalini kazi za usafi wanamaliza saa 6 waende wakale kutwa imepita hiyo, bado wanalinda vitengo vingi tu ambapo wameua kazi za watu binafsi walioajiri Watanzania wengine
sijui unataka nini tena wa kuhusu JKTwa kujitolea walivyoua Makampuni ya usafi, ulinzi ya watu binafsi , unaweza mtuma akakununulie vocha???, au akakuletee maziwa fresh akakubali????????
Dah tunadharauliana sana humu JF acha tupite kwa macho na bundle zetu tusilazimishane kuchangia
 
Humu jf kila siku tunajisema sisi ni magreat thinker but nashangaa tunawaza kama watu wa Facebook na Instagram,,
Nimesoma mwanzo Hadi mwisho sijaona hata mtu alokuja na wazo mbadala la why jamaa katolewa pale kapelekwa kigoma .
Wote mnawaza ukubwa na udogo atakua kashushwa .
Nchi ina mambo mengi wakuu sometimes mtu flani anahitajika sehem flani kwa kazi flani kipindi flani..
So he must go to accomplish the mission it's not about being promoted or demorted..
Nchi kubwa hii na ina mambo mengi wakuu.
Hebu kumbukeni kidg ya bwa.diwani na njia zake alizopita.
Mada inasema kashuka au kapanda.
Wewe unataka tujadili kwanini kapelekwa Kigoma.
Anzisha mada yako tutachangia kama unavyotaka
 
Nani anakumbuka upandaji wa vyeo kwa huyu Major General Charles Mbuge!!....Paul Makonda analijua sana hili jambo

Huyu jamaa alizingua sana akiwa Mkuu wa JKT alikuwa anawachukia sana Makamanda waliokwenda shule na alipenda sana kuwaweka vibaraka wake kwenye nafasi mbalimbali JKT, professionalism kwa huyu Kamanda ilikuwa zeero kabisa!!

Kuna jamaa alimchukia sana kisa hakuenda kumpongeza alivyopandishwa cheo na mwendazake. Akaamua kumtupa Kigoma and then wakati wenzake wanapandishwa vyeo mwezi wa 2 kuwa Ma-Major jjna la huyo jamaa akalinyofoa makusudi tu kwa sababu ya chuki zake binafsi . Kwahiyo wenzake wamekuwa Ma-Major yeye bado ni Captain. Huyu jamaa yuko kambi ya Mtabila Kigoma na ni Msomi mzuri tu.

Acha karma imle!!!
Sidhani kama ameenda shule yule jamaa wale ni kizazi Cha wwnajeshi walioingia kupigana tu elimu alisoma baada ya kuwa Major na baada ya hapo hakuna shule tena.

Alikuwa anamsnitch sana CDF kwa mwendazake ana majungu fulani, naona amekomeshwa. Kutoka kupiga deal za ujenzi na madili kibao ya JKT kwenda kukimbizana na budget za Halmashauri Tena kigoma huko
 
tulieni vijana,ukija shangaa anapewa kuongoza jeshi utajiskiaje!!!!
 
Pointless. Kwahiyo mpishi wa ikulu naye kama anawasiliana moja kwa moja na rais ndiyo tuseme yuko juu kuliko wote?
mpishi wa rais anawasiliana na raisi kuhusu chumvi na mafuta kuzidi,si kitu kingine.
 
Back
Top Bottom