Major General Mbuge Kuwa RC kutoka Mkuu wa JKT Kapanda Cheo au kashuka?

Major General Mbuge Kuwa RC kutoka Mkuu wa JKT Kapanda Cheo au kashuka?

simaanishi kuhusu rank yake yake ya kijeshi, baod ni Major General sawa, ila je kutoka kuwa Mkuu wa JKT Tanzania nzima na kwenda kuwa RC je kashuka ama kapanda?
Huyu kamanda huwa anaibuka kujadiliwa mitandaoni kiudaku namna hii ,,sijui ana bahati gani.
 
Kuna mambo raisi anampa direction moja kwa moja mkuu wa JKT ndo maan hata JPM alimkabidhi mbuge project mbalimbali na mbuge alimkabidhi hizo project raisi mwenyew na sio CDF...raisi uweza wasiliana na mtu yyte ambae uyeuI wake umetoka moja kwa moja kwa raisi....ndo maan mkuu wa JKT hateuliwi na CDF Bali na raisi mwenyew....ni sawa tu na RC na DC...DC yupo chini ya RC kimkoa ila raisi akitaka kujua mambo ya wilaya husika huweza wasiliana na mkuu wa wilaya hiyo moja kwa moja
usichanganye mambo mkuu,ishu ya mbuge na rais ilikuwa ujenzi wa majengo ya serikali,hii sio kazi ya msingi ya jwtz,ni kazi ya ziada yena ya jkt.

sasa tukirudi kwenyw mafunzo,vifaa,ajira na hata kambi za jeshi,hakuna namna kwamba mbuge ataenda kwa rais amruke cdf.
 
Inaelekea una chuki sana na Askari........ CNS na RC mbona ni vitu viwili tofaut kabisa.

Wana majukumu tofauti, scope ya kazi tofauti. Ila katiba ya nchi yetu mamlaka yako kwa wanasiasa yaani nchi inaongozwa na wanasiasa na sio kijeshi.

Hivyo basi vyeo vyote vya kijeshi viko chini ya vyeo vya kisiasa. Na ndio maana unakuta CDF anampigia salute Jokate kwasababu hatuongozwi kijeshi.
Ndio maana nimesema wana uelewa mdogo.
 
Pamoja na povu lote, ni kwamba kama hujui organization chart ya serikali ni kuwa mkuu wa JKT yuko chini ya CDF ambaye ndiye anayewasiliana na raisi wakati mwingine kupitia kwa waziri wa ulinzi. Halafu wakuu wa mikoa pamoja na mawaziri wako chini ya rais moja kwa moja.

Ni kukuelewesha tu kuhusu iorganization chart ya serikali. Dr. Lawrence Gama alivyotolewa kutoka ukuu wa JKT na kupewa madaraka mengine hakuwa demoted. Post yako imekaa kikabila na yenye chuki sana lakini haibadilishi ukweli. Kuna wakati Major General Mayunga alikuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjarp, na Majaor General Marwa alikuwa mkuu wa mkoa nadhani Singida (nimeshasahau) ila elewa kuwa hawakuwa demoted wale.
Nenda zako mkorinto wewe
 
usichanganye mambo mkuu,ishu ya mbuge na rais ilikuwa ujenzi wa majengo ya serikali,hii sio kazi ya msingi ya jwtz,ni kazi ya ziada yena ya jkt.

sasa tukirudi kwenyw mafunzo,vifaa,ajira na hata kambi za jeshi,hakuna namna kwamba mbuge ataenda kwa rais amruke cdf.
JKT nitawi la JWTZ lakini linakiongozi wake ambae nae anakuepo miongoni mwa wa kuu wa vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi na pia yupo kwene kamati ya ulinzi wa nchi...sijakataa unachosema ila nachosema raisi anawasiliana na mkuu wa JKT kwa mambo ambayo yanasimamiwa na yy direct na ndo maan anamchagua huyo na CDF Hana uwezo wakutengua uteuzi wa mkuu wa jeshi la JKT...Hawa ni sawa na raisi wa muungano na yule wa Zanzibar wa Zanzibar anasimamia mambo yasiyo ya muungano na haingiliwi na raisi wa muungano wala raisi wa muungano Hana uwezo wa kumuwajibisha raisi wa Zanzibar.....ndivo ilivo kiutendaji kati ya CDF na Mkuu wa JKT
 
That is the best response from you!!
Siku hizi Huna hoja. Ulikuwa member ambaye na respect sana maoni yako. But umekuwa mtu wa ajabu sana since dictator achukue nchi na hata baada ya kwenda zake.
 
sasa tunashangaa nini kama mtu kaingia kwenye commissional ya rais kupangiwa juku lolote na rais!!!kisha tunaita ni demotion!!!!
 
Siku hizi Huna hoja. Ulikuwa member ambaye na respect sana maoni yako. But umekuwa mtu wa ajabu sana since dictator achukue nchi na hata baada ya kwenda zake.
Ujue umeishiwa!!
 
Kuna mambo raisi anampa direction moja kwa moja mkuu wa JKT ndo maan hata JPM alimkabidhi mbuge project mbalimbali na mbuge alimkabidhi hizo project raisi mwenyew na sio CDF...raisi uweza wasiliana na mtu yyte ambae uyeuI wake umetoka moja kwa moja kwa raisi....ndo maan mkuu wa JKT hateuliwi na CDF Bali na raisi mwenyew....ni sawa tu na RC na DC...DC yupo chini ya RC kimkoa ila raisi akitaka kujua mambo ya wilaya husika huweza wasiliana na mkuu wa wilaya hiyo moja kwa moja
Miradi yote ya JKT iko chini ya CDF; na hata wakati magufuli anmpandisha cheo Mbuge pale dodoma, alisema aliongea na CDF kuhusu utendaji kazi wake. Halafu akamtuma CDF kuwa atoe mapendekezo yake kuhusu hao maafisa wengine wa JKT!
 
Huyu mtu alipata umaarufu na kupandishwa cheo ghafla sana na mwendazake. Mpaka ikaanza kutabiriwa kuwa anaandaliwa kumrithi Mabeyo, huenda nyota yake imeondoka na mwendazake..
 
Huyu mtu alipata umaarufu na kupandishwa cheo ghafla sana na mwendazake. Mpaka ikaanza kutabiriwa kuwa anaandaliwa kumrithi Mabeyo, huenda nyota yake imeondoka na mwendazake..
Kwan akiwa RC hawezi kuteuliwa kuwa CDF?
 
Kwan akiwa RC hawezi kuteuliwa kuwa CDF?
Anaweza. Ila Kwa kiasi kikubwa chance zinapungua.

Mara nyingi naona CDF ananyakuliwa direct miongoni mwa Wajeda walioko ndani ya mfumo Wa Kijeshi. Huyu tayari keshaingizwa kwenye mfumo Wa vyeo vya kisiasa..
 
Cheo cha Mkuu wa JKT ni nafasi ya kiuongozi wa kitafa na huwa moja tu wakati Mkuu wa Mkoa ni cheo cha watu zaidi ya mmoja katika taifa. Kwa mtazamo huu naweza kusema huyu mwamba ameporomoka cheo.
Ukisikia Mkuu wa JKT Tanzania nzima unadhani hao JKT ni kama mamilioni hivi? Kumbe hata 5000 hawafiki....hahaha ujinga kipaji. Mkuu wa mkoa kimajukumu is far a million than Mkuu wa JKT. Anzia hapo... Mwakilishi wa Rais Mkoa wenye watu zaidi milioni 3+ M/kiti wa Baraza la usalama la mkoa... Kuomba fedha kwa mkurugenzi ni formality sawa na wewe uwe boss wa taasisi then uombe fedha kwa watu wa finance.

Malizia hapa gari yake inapeperusha bendera ya nchi muda wote mpaka tu Rais anapokuwa mgeni wa mkoa husika.
 
Back
Top Bottom