Tumbiliwaulaya
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 280
- 435
Haya maswali ya kijinga ndio huwa yananiudhi mimi,kanda ya nini sasa?Major General Mbuge ni kutoka kanda gani ?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya maswali ya kijinga ndio huwa yananiudhi mimi,kanda ya nini sasa?Major General Mbuge ni kutoka kanda gani ?.
Ni lini raisi alimvua hio nyotaAchana na hio picha ya zamani...jamaa kaondolewa nyota moja kwaio sio major general tena ...ameshuka na kuwa brigadier general
Uongo mwingine uache,, dodoma na merelani ndo project zilizompa vyeo mbuge, na kama hujui the guy is brilliant engineer the army have, alitoka kuwa mkuu wa jkt ruvu, akaenda kusimamia ukuta merelani akanda cheo,, akapewa project ya dodoma akapanda vyeo,,for tangu operation merelani amekuwa akijihusisha zaid na ujenzi na sio uongozi,Nani anakumbuka upandaji wa vyeo kwa huyu Major General Charles Mbuge!!....Paul Makonda analijua sana hili jambo
Huyu jamaa alizingua sana akiwa Mkuu wa JKT alikuwa anawachukia sana Makamanda waliokwenda shule na alipenda sana kuwaweka vibaraka wake kwenye nafasi mbalimbali JKT, professionalism kwa huyu Kamanda ilikuwa zeero kabisa!!
Kuna jamaa alimchukia sana kisa hakuenda kumpongeza alivyopandishwa cheo na mwendazake. Akaamua kumtupa Kigoma and then wakati wenzake wanapandishwa vyeo mwezi wa 2 kuwa Ma-Major jjna la huyo jamaa akalinyofoa makusudi tu kwa sababu ya chuki zake binafsi . Kwahiyo wenzake wamekuwa Ma-Major yeye bado ni Captain. Huyu jamaa yuko kambi ya Mtabila Kigoma na ni Msomi mzuri tu.
Acha karma imle!!!
Fafanua mkuu wa jkt unamainisha nn?jkt tanzania au kambi ya jkt?Habari wanabodi? naomba kupata uelewa kidogo, kwa nafasi kama ya Major General Mbuge kutoka kuwa Mkuu wa JKT na kwenda kuwa RC je hapo kapanda cheo ama kashuka? naomba uelewa wa kina juu ya hili tafadhali.
Hongera kwake kwa uteuzi!!
Mbuge nadhani anaenda songea Kama ndivyo huko hakuna majangiri Bali kuna kundi IS liko pale msumbiji akapambane nalo.Huyu ndio alihujumu ajira za vijana 800 wa JKt na kuwaita waasi, acha karma imtafune akapambane na majangiri mipakani huko.
Ndo maanake hiyo ni political posts tu haina maana yoyote kwa mfumo wa kijeshi.Duuh, yaani CDF ana salute kwa DC? nlkua sijui hii, kwahyo unataka kusema CDF General Mabeyo sasa ata-salute kwa RC Major General Mbuge? mmh
DefinitelyCheo cha Mkuu wa JKT ni nafasi ya kiuongozi wa kitafa na huwa moja tu wakati Mkuu wa Mkoa ni cheo cha watu zaidi ya mmoja katika taifa. Kwa mtazamo huu naweza kusema huyu mwamba ameporomoka cheo.
kuna walakini mkubwa katika suala la kuwapigia salute wana siasa,huwa wanapenda sana kwa sababu za kujikweza lakini huwa hakuna uhalisia,hebu chukulia mkuu wa majashi ni nani halafu tulinganisheDuuh, yaani CDF ana salute kwa DC? nlkua sijui hii, kwahyo unataka kusema CDF General Mabeyo sasa ata-salute kwa RC Major General Mbuge? mmh
Hivi Brigedia na Major General nani mkubwa?Hajapanda cheo wala hajashuka cheo ni mabadiliko ya kimajukumu tuu angekuwa amekuwa Brigedier ningesema ameshuka
Hapa nilipo mimi, ukiniambia nichague kati ya vitu viwili, ukuu wa taasisi kubwa au uwaziri, nitachagua kuwa Mkuu wa Taasisi, wakati taasisi zote ziko chini ya mawizara. Autonomy ni muhimu zaidi kwanguKimajukumu kijeshi kashushwa. Huyu alikuwa ni mkuu wa JKT nchi nzima na sasa hivi anaenda kuwa Mkuu wa Mkoa tuu.
Nashukuru kwa ufafanuzi kakaDemotion hiyo
hujamuelewa mchangiaji, kamaanisha CDF huwa ana-salute kwa DC maana yake CDF anakua mdogo kwa Dc ndo maana nmeshangaa na kuuliza ina maana sasa CDF ata-salute kwa RCs akiwemo huyu Major General? duuhKijeshi ni kuwa wewe mdogo unaanza kumsalimu kwa kupiga salute na yeye mkubwa analazimika kupokea salamu yako kwa kupiga salute.
Sasa inapokuja wewe raia unamsalimu mkuu wa jeshi ambaye amevalia kijeshi anajibu salamu yako kwa kupiga salute. Kwa hiyo ni kawaida kwa mwanajeshi kujibu salamu kwa kupiga salute na hasa katika mazingira rasmi.
Major General Mbuge sio Civil Servant ndugu yangu, hujui hilo?Watanzania bana
Ukiwa civil servant utapewa kaZi yoyote
asante kakaObviously Jenerali kapigwa parking.
Kateremka, hilo halina ubishi.
Tetesi ni kwamba utendaji wake una walakin.
Miradi mingi waliyosukumiziwa na JPM iko below standard.
hapa nmekuelewa vzr kaka, shukraniMbona ni Jambo la kwaida mwanajeshi au askari wa cheo chchte anapokutana na mwanasiasa yyte ambae nafasi yake ni ya uteuzi wa raisi anamsalimia kijeshi Yani salute, hio haina maan yule ni mkubwa wake kiprotocal
hili nalo nenoKama Mbuge kawa mkuu wa mkoa na mkuu wa mkoa ni mteule wa Rais ,swali je atapigiwa saluti na CDF?
Naomba majibu
Charles Mbuge ni Major General, usipotoshe nduguKinachonishangaza kila mchangiaji kwenye hii mada anamjadili Charles Mbuge kama Major General wakati ukweli ni kwamba cheo chake alichonacho hadi dakika hii ni Brigadier General na wala siyo Major General.
shukrani ndugu, udadavuzi muruakuna walakini mkubwa katika suala la kuwapigia salute wana siasa,huwa wanapenda sana kwa sababu za kujikweza lakini huwa hakuna uhalisia,hebu chukulia mkuu wa majashi ni nani halafu tulinganishe
MKUU WA MAJESHI:- CDF
Majukumu ya Msingi ya JWTZ
• Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
• Ulinzi wa Mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
• Kufanya Mafunzo na Mazoezi ili kujiweka tayari Kivita wakati wote.
• Kufundisha umma shughuli za Ulinzi wa Taifa.
• Kushirikiana na Mamlaka za Kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoaji wakati wa maafa.
• Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
• Kushiriki katika shughuli za Ulinzi wa Amani Kimataifa.
Dhima ya JWTZ
Kulinda nchi na kutetea maslahi ya Taifa la Tanzania, kutoa msaada kwa Mamlaka za kiraia na kuwezesha kufikiwa kwa malengo ya Kitaifa na Kimataifa.
The TPDF is a unified force consisting of the Army or infantry brigades, Air Force, Navy, and National Service. The army does not operate in its command, but consists of infantry brigades directly under the command of the Chief of Defense Forces (CDF).
Higher Defense Organization
The Commander in Chief (C in C)
The Constitution of the United Republic of Tanzania, empowers the President of the United Republic of Tanzania to be the Commander of the Armed Forces. As the Commander in Chief he is empowered to declare war and commit the Defense Forces or part of it to active operations in or outside Tanzania.
The National Defense and Security Council (NDSC)
The NDSC is the highest decision-making authority in defense and security matters. It formulates defense and security strategies to meet the objectives of national defense. It comprises the President of the United Republic, the President of the Revolutionary Government of Zanzibar, ministers responsible for defense and security, and the chiefs of the defense and security organs.
The Ministry of Defense
The Tanzanian Ministry of Defense is designed to support Tanzania’s foreign policy and security policy objectives. It guides the contributions of the Defense Forces to meet defense and security goals, and shapes their structure and capabilities. The Ministry of Defense has the responsibility to ensure consistency in training and maintaining the Armed Forces in accordance with the defense doctrine.
The Defense Forces Committee (DFC)
According to the National Defense Act of 1966, the DFC is a committee at the Ministry of Defense level responsible for policy review and formulation on all matters relating to the administration and running of the TPDF. It consists of the Minister of Defense, the Chief of Defense Forces, the Permanent Secretary, the Chief of Personnel, and any other officer who may be appointed by the Minister of Defense.
SEHEMU YA KWANZA: KUHUSU MKUU WA MKOA
- Ni sehemu ya Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
- Ofisi za Mkuu wa Mkoa zitakuwa kwenye Makao Makuu ya Mkoa husika
- Mkuu wa Mkoa atawajibika chini ya Waziri wa TAMISEMI
2. DHIMA YA KAZI HII
Kuhakikisha kuwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii yanapatikana kutokana na huduma bora za ushauri na uratibu ambazo zinajenga mazingira bora kwa Serikali za Mitaa na wadau kutoa huduma inayotarajiwa.
3. MAJUKUMU NA KAZI ZA MKUU WA MKOA
- Kuhakikisha uwepo wa Haki na Sheria kk mkoa
- Kuongoza na kusimamia operesheni za Maafa na Kufariji
- Kama Mwenyekiti wa Kamati ya Ushauri ya Mkoa(RCC), Mkuu wa Mkoa atawajibika kufanya jitihada za kuhakikisha kutimizwa kwa sera za serikali juu ya Mkoa husika.
- Kufanya yale yote yatakayosaidia kuimarisha ulinzi na usalama wa mkoa kwa ushirikiano na serikali za mitaa.
4. ELIMU
Mkuu wa Mkoa itampasa awe na Elimu Ngazi ya Shahada(Degree) au inayoshabihiana na hiyo kutoka kwenye Taasisi ya Elimu inayotambulika.
5. UELEWA
Mkuu wa Mkoa atapaswa awe ni mwenye ufahamu kuhusu Utawala wa Sheria, Utawala bora, Kanuni za Haki Asilia (Natural Justice), Sera na taratibu zake, Uongozi na Utawala pamoja na masuala yote ya msingi ktk utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo.
6. UJUZI
Kimsingi Mkuu wa Mkoa anapaswa kuwa na stadi zote za uongozi;
Ujuzi wa kujenga umoja, ujuzi wa kutatua changamoto, ujuzi wa kutoa ushauri nasaha, ujuzi wa maridhiano, ujuzi wa kuhimili msongo/mihemuko, sambamba na ujuzi kuhusu mahusiano ya umma na uwezo wa kuzungumza vizuri mbele za watu.
7. SIFA BINAFSI
Aonyeshe uwezo wa kutunza siri, kufanya maamuzi yenye tija, kufanya kazi pasipo mashinikizo, uelewa kuhusu mwenendo wa siasa na tamaduni za jamii, awe na heshima, mbunifu, mtenda haki, bila kusahau kuheshimu miiko ya kazi.
8. UZOEFU
Ni lazima Mkuu wa Mkoa awe ni mtu mwenye uzoefu kuhusu masuala ya utawala/siasa usiopungua Miaka 10.
9. MSHAHARA
Mkuu wa Mkoa atalipwa kiwango cha mshahara kwa taratibu zilizoainishwa na Ofisi ya Utumishi (kwa sasa salary scale yake ni LSS(P) 4).
TOFAUTI ILIYOPO ni kubwa mno ni mbingu na ardhi sababu inayo daiwa kuwa wakuu wa mikoa ni wawakilishi wa raisi katika maeneo yao sawa lakini kiutawala na majukumu wako chini ya idara zingine za serikali.
Mkuu wa mkoa = mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa
Mkuu wa majeshi= mjumbe wa baraza la usalama la taifa ambalo ni
Rais wa JMT na SMZ mawazili wa ulinzi na wakuu wa vyombo vya usalama.
Mkisema wilaya hapo ndio nachanganya oil na maji kabisa.
major genHivi Brigedia na Major General nani mkubwa?