Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Nadhani wewe unaongelea prestige zaidi ya authority.Kuwasiliana na raisi moja kwa moja sio ukubwa....Yani uanze kufananisha mkuu wa jeshi la JKT nchi nzima na RC wa mkoa ur joking
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani wewe unaongelea prestige zaidi ya authority.Kuwasiliana na raisi moja kwa moja sio ukubwa....Yani uanze kufananisha mkuu wa jeshi la JKT nchi nzima na RC wa mkoa ur joking
The point here is “direct communication”, sidhani kama ulinielewa.mpishi wa rais anawasiliana na raisi kuhusu chumvi na mafuta kuzidi,si kitu kingine.
wewe ndiye unayeongea pumba kabisa kwani unashindwa kutofutisha kati ya authority, prestige na utumishi. Mpishi wa Ikulu au dereva wa rais hana authority ya kufanya maamuzi ya kiserikali eti kwa vile tu anawasiliana na rais moja kwa moja. Maamuzi ya mkuu wa JKT yako chini ya CDF kabla ya kufika kwa rais wakati maamuzi ya Mkuu wa Mkoa yako moja kwa chini ya raisi.Pointless. Kwahiyo mpishi wa ikulu naye kama anawasiliana moja kwa moja na rais ndiyo tuseme yuko juu kuliko wote?
Wewe Huna maana. Utakuwa msukuma tu. Na ndiyo sababu kubwa ya upofu wako kwa mwendazake! Umekuwa pointless mpaka inasikitisha. Bora ufiche upumbavu wako. Ume “refer” “direct communication” kama vile ndiyo “superiority” Huna maana.wewe ndiye unayeongea pumba kabisa kwani unashindwa kutofutisha kati ya authority, prestige na utumishi. Mpishi wa Ikulu au dereva wa rais hana authority ya kufanya maamuzi ya kiserikali eti kwa vile tu anawasiliana na rais moja kwa moja. Maamuzi ya mkuu wa JKT yako chini ya CDF kabla ya kufika kwa rais wakati maamuzi ya Mkuu wa Mkoa yako moja kwa chini ya raisi.
The point here is “direct communication”, sidhani kama ulinielewa.
Umeona “context” kutokana na hoja yake na mimi kumjibu au unakurupuka tu?
Direct communication does not necessarily implicate superiority.
Kama wewe ndiye Kichuguu, jipange tena, coz I ain’t got no time to waste fosho.hata mimi nimekujibu hivyo kwa kulinganisha na mfano wako,ili urejee kwenye hoja iliyopo.
kama mkuu wa jkt angepata wasaa wa kuzungumza na rais leo,basi ingekuwa kuhusu kupewa majengo mengine ya kusomba tofali,maana ndio dili lililopo kati yao,mengine yote taratibu zingemtaka awasiliane na mnadhimu kwenda kwa cdf nk.
leo ni RC au rais wa mkoa,anaongea na rais kuhusu taasisi zote mkoani kwake,changamoto,fulsa,usalama na hata nguvu ya mkoa husika,hawekewi mipaka kwa lolote.na tamthmini ya ripoti yake inawezatoa muongozo kwa nchi nzima.
wengine mnaona kashusha,kumbe landa anakwenda kuchukua uzoefu aachiwe jeshi.
najaribu kuunganisha tukio na makasiriko yako sielewi.Kama wewe ndiye Kichuguu, jipange tena, coz I ain’t got no time to waste fosho.
Mm siongelei prestige...Hyo authority RC anaweza akawa nayo ndani ya mkoa wake lakini Hana aouthority juu ya makambi yakijeshi yalio ndani ya mkoa wake not to talk of mkuu wa hicho chombo kitaifaNadhani wewe unaongelea prestige zaidi ya authority.
Pamoja na povu lote, ni kwamba kama hujui organization chart ya serikali ni kuwa mkuu wa JKT yuko chini ya CDF ambaye ndiye anayewasiliana na raisi wakati mwingine kupitia kwa waziri wa ulinzi. Halafu wakuu wa mikoa pamoja na mawaziri wako chini ya rais moja kwa moja.Wewe Huna maana. Utakuwa msukuma tu. Na ndiyo sababu kubwa ya upofu wako kwa mwendazake! Umekuwa pointless mpaka inasikitisha. Bora ufiche upumbavu wako. Ume “refer” “direct communication” kama vile ndiyo “superiority” Huna maana.
UNA ELIMU GANI MKUU?Kuwasiliana na raisi moja kwa moja sio ukubwa....Yani uanze kufananisha mkuu wa jeshi la JKT nchi nzima na RC wa mkoa ur joking
Kwa hiyo unataka kusema kati ya naibu waziri na mkuu wa mkoa nani ana authority zaidi, kwani naibu waziri anasimamiama mambo yote ya wizara yake kwenye mikoa yote.Mm siongelei prestige...Hyo authority RC anaweza akawa nayo ndani ya mkoa wake lakini Hana aouthority juu ya makambi yakijeshi yalio ndani ya mkoa wake not to talk of mkuu wa hicho chombo kitaifa
Kiprotocal naibu waziri ni superior kwa RCKwa hiyo unataka kusema kati ya naibu waziri na mkuu wa mkoa nani ana authority zaidi, kwani naibu waziri anasimamiama mambo yote ya wizara yake kwenye mikoa yote.
Askari wengi ni waliofeli mashuleni hata arguments zao ni za kijinga mno. Sasa wewe kuwa mkuu wa JKT ndio useme cheo kikubwa kuliko mkuu wa Mkoa? KIKATIBA MKUU WA MKOA NI MKUBWA SANA, ANAKUWA LEVEL MOJA NA WAZIRI. HATA MAJUKUMU YAKE NI MULTTASK. UKIWA MKUU WA JKT WW UNADILI NA ISHU HIZO TU, ILA UKIWA MKUU WA MKOA KAZI ZOTE ZINAKUWA CHINI YAKO, USALAMA WA RAIA, NCHI, UCHUMI, AFYA, ELIMU, MIUNDOMBINU NK. Jkt ni KITU KIDOGO MNO KWENYE ISHU ZA KIUTALAWA.Kuwasiliana na raisi moja kwa moja sio ukubwa....Yani uanze kufananisha mkuu wa jeshi la JKT nchi nzima na RC wa mkoa ur joking
Salute Ni salamu tu.Duuh, yaani CDF ana salute kwa DC? nlkua sijui hii, kwahyo unataka kusema CDF General Mabeyo sasa ata-salute kwa RC Major General Mbuge? mmh
Kuna mambo raisi anampa direction moja kwa moja mkuu wa JKT ndo maan hata JPM alimkabidhi mbuge project mbalimbali na mbuge alimkabidhi hizo project raisi mwenyew na sio CDF...raisi uweza wasiliana na mtu yyte ambae uyeuI wake umetoka moja kwa moja kwa raisi....ndo maan mkuu wa JKT hateuliwi na CDF Bali na raisi mwenyew....ni sawa tu na RC na DC...DC yupo chini ya RC kimkoa ila raisi akitaka kujua mambo ya wilaya husika huweza wasiliana na mkuu wa wilaya hiyo moja kwa mojaPamoja na povu lote, ni kwamba kama hujui organization chart ya serikali ni kuwa mkuu wa JKT yuko chini ya CDF ambaye ndiye anayewasiliana na raisi wakati mwingine kupitia kwa waziri wa ulinzi. Halafu wakuu wa mikoa pamoja na mawaziri wako chini ya rais moja kwa moja.
Ni kukuelewesha tu kuhusu iorganization chart ya serikali. Dr. Lawrence Gama alivyotolewa kutoka ukuu wa JKT na kupewa madaraka mengine hakuwa demoted. Post yako imekaa kikabila na yenye chuki sana lakini haibadilishi ukweli. Kuna wakati Major General Mayunga alikuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjarp, na Majaor General Marwa alikuwa mkuu wa mkoa nadhani Singida (nimeshasahau) ila elewa kuwa hawakuwa demoted wale.
Kwaio wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kwakuwa wanadili na Jambo moja tu ambayo ni yakiusalama tu hivo RC yupo juu kiprotocalAskari wengi ni waliofeli mashuleni hata arguments zao ni za kijinga mno. Sasa wewe kuwa mkuu wa JKT ndio useme cheo kikubwa kuliko mkuu wa Mkoa? KIKATIBA MKUU WA MKOA NI MKUBWA SANA, ANAKUWA LEVEL MOJA NA WAZIRI. HATA MAJUKUMU YAKE NI MULTTASK. UKIWA MKUU WA JKT WW UNADILI NA ISHU HIZO TU, ILA UKIWA MKUU WA MKOA KAZI ZOTE ZINAKUWA CHINI YAKO, USALAMA WA RAIA, NCHI, UCHUMI, AFYA, ELIMU, MIUNDOMBINU NK. Jkt ni KITU KIDOGO MNO KWENYE ISHU ZA KIUTALAWA.
Inaelekea una chuki sana na Askari........ CNS na RC mbona ni vitu viwili tofaut kabisa.Askari wengi ni waliofeli mashuleni hata arguments zao ni za kijinga mno. Sasa wewe kuwa mkuu wa JKT ndio useme cheo kikubwa kuliko mkuu wa Mkoa? KIKATIBA MKUU WA MKOA NI MKUBWA SANA, ANAKUWA LEVEL MOJA NA WAZIRI. HATA MAJUKUMU YAKE NI MULTTASK. UKIWA MKUU WA JKT WW UNADILI NA ISHU HIZO TU, ILA UKIWA MKUU WA MKOA KAZI ZOTE ZINAKUWA CHINI YAKO, USALAMA WA RAIA, NCHI, UCHUMI, AFYA, ELIMU, MIUNDOMBINU NK. Jkt ni KITU KIDOGO MNO KWENYE ISHU ZA KIUTALAWA.
Salute ni salamu kama salamu nyingine tu.Mkuu wako wa majeshi mabeyo huwa anampigia salute DC Jokate mwegelo
Ah wapi,sio kweli.Mkuu wako wa majeshi mabeyo huwa anampigia salute DC Jokate mwegelo