Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja,akaambatane na Hawa majizi wenzake 👇Mzizi wa matatizo ya MSD ni Major General Gabriel Mhidze aliyepekwa pale mwaka 2020 na Hayati Magufuli. Pamoja na kashfa ya matumizi mabaya ya fedha za UVIKO, kuna hizi 3 nazo lazima zifuatiliwe na TAKUKURU;
1. Mmamo August 2021 alilipa USD 1.5 Million kwa Kampuni ya Misri ambayo ni hewa. Hata utaratibu wa zabuni haukufanyika katika kuwapata ma supplier hao. Fedha zimepotea na hazitapatikana
2. Amejenga kiwanda cha MSD cha kutengeneza gloves kijijini kwake kwa thamani ya zaidi Tsh 35 Bilion bila Kufuata sheria ya MSD
-Feasibility study
- Sheria ya Manunuzi
- Hakuna Kibali cha Wizara wala Bodi
Kiwanda kipo kwenye shamba la Familia ambalo MSD imelinunua bila taratibu za zabuni.
Wanaweza wakawakamata vidagaa na kuwapeleka TAKUKURU lakini tatizo limesabanishwa na Major General mwenyewe. Aliwahamishia wizara nyingine wafanyakazi wote waliokuwa wanampinga anapovunja sheria.
Ni wakati sasa JWTZ wakampeleka akakabiliane na Mahakama ya Jeshi (Court Martial)
Legacy ni feki kwa wapumbavuu kama wewe ...sasa kama huyo meja ni mwizi kwanini wasimtumbue na kumfunga jela hapo utagundua wezi ndiyo wanatafuta nafasi ,kwa visingizioKuna watu wanakesha usiku na mchana hapa kulinda Legacy feki, hili Taifa hili!
Kwa hiyo Jiwe alikufa 2020 Msiba ukaja Kutangazwa March 17 2021 ?Magufuli alikufa 2020 wewe unamhusisha na ufisadi wa 2021????
Mzizi wa matatizo ya MSD ni Major General Gabriel Mhidze aliyepekwa pale mwaka 2020 na Hayati Magufuli. Pamoja na kashfa ya matumizi mabaya ya fedha za UVIKO, kuna hizi 3 nazo lazima zifuatiliwe na TAKUKURU;
1. Mmamo August 2021 alilipa USD 1.5 Million kwa Kampuni ya Misri ambayo ni hewa. Hata utaratibu wa zabuni haukufanyika katika kuwapata ma supplier hao. Fedha zimepotea na hazitapatikana
2. Amejenga kiwanda cha MSD cha kutengeneza gloves kijijini kwake kwa thamani ya zaidi Tsh 35 Bilion bila Kufuata sheria ya MSD
-Feasibility study
- Sheria ya Manunuzi
- Hakuna Kibali cha Wizara wala Bodi
Kiwanda kipo kwenye shamba la Familia ambalo MSD imelinunua bila taratibu za zabuni.
Wanaweza wakawakamata vidagaa na kuwapeleka TAKUKURU lakini tatizo limesabanishwa na Major General mwenyewe. Aliwahamishia wizara nyingine wafanyakazi wote waliokuwa wanampinga anapovunja sheria.
Ni wakati sasa JWTZ wakampeleka akakabiliane na Mahakama ya Jeshi (Court Martial)
Mhidze ni majina yenye asili ya nchi flani upande wa afrika masahariki...[emoji23]
Niseme tu haujui siasa na fitina za hii nchi. Huyu Mjeshi wanaomjua na kujua maisha yake wanakataa kabisa kuwa ni Mwizi na mbadhilifu .
Sema aliziba upigaji uliozoeleka pale MSD na ujue tu kuwa unapoziba upigaji MSD ni dhahiri utakuwa umegusa kundi kubwa sana la wafanyabiashara nje ya MSD na Wanasiasa, yaani ni Network moja kubwa sana ambayo ikiamua kukutengenezea zengwe ujue HUTACHOMOKAA na hoja za kuaminisha kasoro zako hazitakosekana hata kidogo.
Sio kwamba kwenye taasisi zingine hakuna kasoro za manunuzi au mbadhilifu , tena ukute kuna madudu makubwa sana lakini jiulize ni kwanini HAKUNA SOUND KAMA HIZI ZA MSD.
Watu wanaongea tu et lilikuwa eneo lake watu wamelipwa fidia ndo kiwanda kikaanza kujengwa et kijijini kwa kwao Ni lupembe na si idofi sema Ni wivu tu kuwa kwanini kimejengwa ukanda huu maana mlinganganiana sana
Tuambie ukweli mkuuYote aliyoeleza hapo ni ya uongo
Huwa nafuatilia sana Comments zako. Kiukweli unaonekana umejawa na HUSUDA, CHUKI NA MAJUNGU. Hakika huko kazini kwako cha moto wanakipata.Ila fanya analysis, utoe mali ghafi pale bandari hadi huko idofi- Makambako. Uzalishe hizo mipira kisha uanze kusafirisha bidhaa kuja Dar na maeneo mengi ; nauliza maamuzi ya kufanya hivi yalikuwa ni ya menejiment au yake binafsi.. kama ni menejment, basi menejment nzima itoke, wametia nchi hasara. Walikosa eneo kibaha au bagamoyo ? Halafu hizi tabia za watu wa kanda ya ziwa ni wabinafsi sana na wanatamani kila kitu kiwe kwao.
Tujifunze kama taifa nchi hii asipewe tena mtu wa ukanda wa ziwa, ni watu wabinafsi na roho mbaya kama nguruwe ni jamii ya uncivilized society na wanaukabila sana. Isijurudie tena nchi hii ikamatwe na huu ukanda wa ziwa.... hawa ni watu wa mwituni na wengi wao sio watanzania
Sisi tunamjadili The former CEO wa MSDtuheshimu sana vyombo vya usalama katika mijadala yetu
Hata hawa CDM hawajapata tu ridhaa ya kuwa watawala, ni wezi tu 😁😁 kama hadi nyaraka za chama kama mihuri /sahihi za viongoz inaibiwa / kughushiwa na kuwekwa kwenye uthibitisho wa covid 19 unafikiri wakipewa nchi wataiba vingapi?Naandika nafuta naandika Nafuta......
CCM hoyeeeeee
Harafu Kuna kenge kwenye jamii yetu Bado wanataka kutuaminisha kwamba ukipeleka vijana jkt wanaenda kujifunza uzalendo!!sasa huyu ni jwtz Tena ofisa wa ngazi za juu kabisa,lakini ni useless,mwizi kama vibaka wengine,Mzizi wa matatizo ya MSD ni Major General Gabriel Mhidze aliyepekwa pale mwaka 2020 na Hayati Magufuli. Pamoja na kashfa ya matumizi mabaya ya fedha za UVIKO, kuna hizi 3 nazo lazima zifuatiliwe na TAKUKURU;
1. Mmamo August 2021 alilipa USD 1.5 Million kwa Kampuni ya Misri ambayo ni hewa. Hata utaratibu wa zabuni haukufanyika katika kuwapata ma supplier hao. Fedha zimepotea na hazitapatikana
2. Amejenga kiwanda cha MSD cha kutengeneza gloves kijijini kwake kwa thamani ya zaidi Tsh 35 Bilion bila Kufuata sheria ya MSD
-Feasibility study
- Sheria ya Manunuzi
- Hakuna Kibali cha Wizara wala Bodi
Kiwanda kipo kwenye shamba la Familia ambalo MSD imelinunua bila taratibu za zabuni.
Wanaweza wakawakamata vidagaa na kuwapeleka TAKUKURU lakini tatizo limesabanishwa na Major General mwenyewe. Aliwahamishia wizara nyingine wafanyakazi wote waliokuwa wanampinga anapovunja sheria.
Ni wakati sasa JWTZ wakampeleka akakabiliane na Mahakama ya Jeshi (Court Martial)
hakuna wakati mbovu tangu tupate uhuru kama toka 2016 - 2021 - Hii miaka tumepoteza Utu, wizi ukazidi Tunu na tukaanza kufanyiana mambo ya hovyo hovyo.Kuna watu wanakesha usiku na mchana hapa kulinda Legacy feki, hili Taifa hili!
Kuna mmoja kabaki anaitwa Frank Nkone mjanjajanja Sana kwa gharama za maisha ya wengineHawa Wote Ummy si kawatumbua jana bungeni
Sisi tunamjadili The former CEO wa MSD
SawaNataka wanasiasa wajiangalie maadili na usafi wao kwanza halafu tuone watamfanya nini huyu mjeda.
SawaNataka wanasiasa wajiangalie maadili na usafi wao kwanza halafu tuone watamfanya nini huyu mjeda.