Major General Mhidze aliyekuwa MSD apelekwe kwenye Court Martial

Major General Mhidze aliyekuwa MSD apelekwe kwenye Court Martial

Kwa hiyo mwanajeshi hata akifanya kosa lolote lile lazima apelekwe Court Martial?

Kuhusu huu ufisadi tuwekee na nyaraka namna alivofanya manunuzi bila taratibu za kisheria.
Court martial inaanza ili jeshi limfute kazi ndipo apelekwe mahakama za kiraia
 
Niseme tu haujui siasa na fitina za hii nchi. Huyu Mjeshi wanaomjua na kujua maisha yake wanakataa kabisa kuwa ni Mwizi na mbadhilifu .
Sema aliziba upigaji uliozoeleka pale MSD na ujue tu kuwa unapoziba upigaji MSD ni dhahiri utakuwa umegusa kundi kubwa sana la wafanyabiashara nje ya MSD na Wanasiasa, yaani ni Network moja kubwa sana ambayo ikiamua kukutengenezea zengwe ujue HUTACHOMOKAA na hoja za kuaminisha kasoro zako hazitakosekana hata kidogo.

Sio kwamba kwenye taasisi zingine hakuna kasoro za manunuzi au mbadhilifu , tena ukute kuna madudu makubwa sana lakini jiulize ni kwanini HAKUNA SOUND KAMA HIZI ZA MSD.
Unataka kusema nini kwani?
 
usitufanye wote wajukuu zako hapa unaowapiga domo. Huyo mama ana hali mbaya sana msipokaa sawa hata CCM hapiti
Mbona hujajibu swali langu? Sasa jifikirie unavyobwabwaja kijinga, heri ni nani mie nnaepiga "domo", au wewe unawawaja na kuhororoja bila mpango?

Huna hadhi ya uekewa wa wajukuu zangu.

Ushamjuwa baba'ko siku hizi au ndiypo yaleyale kila mwanamme anaekuja nyumbani kwenu bado unaambiwa na mama'ko "mwamkie baba'ko?
 
🤣🤣
umeanza matusi na kejeli? nikikupaka shombo usikimbize tako kwa Mods kuomba ulinzi
 
Jamii ya watu wabishi, wachawi, wachafu, washirikina, Wala migebuka, wasiopenda amani, ndugu moja na dada Joy anaye ongea ung'eng'e utadhani anagombana na ex wake.
sidhani kama watu wa njombe wana sifa mbaya kama hizi ulizozitaja
 
Mtalishwa kila aina ya propaganda. Mhidze kwao kijijini ni lupembe - Njombe. Sasa hata ww kwa muda wako kaulize huko lupembe Kuna kiwanda cha MSD?
Kuhusu kiwanda cha MSD ni kweli kimejengwa makambako na ni kweli ni eneo linalomilikiwa na yeye mwenyewe sasa kuhusu kutofuata sheria za manunuzi kununua hilo eneo hapo ndo panahitaji uthibitisho
 
Nchi hii kila mtu mpigaji

Hakuna anayetaka abakie kinyonge

Aishie kuambiwa mzarendo kweri kweri

Ova
 
Mzizi wa matatizo ya MSD ni Major General Gabriel Mhidze aliyepekwa pale mwaka 2020 na Hayati Magufuli. Pamoja na kashfa ya matumizi mabaya ya fedha za UVIKO, kuna hizi 3 nazo lazima zifuatiliwe na TAKUKURU;

1. Mmamo August 2021 alilipa USD 1.5 Million kwa Kampuni ya Misri ambayo ni hewa. Hata utaratibu wa zabuni haukufanyika katika kuwapata ma supplier hao. Fedha zimepotea na hazitapatikana

2. Amejenga kiwanda cha MSD cha kutengeneza gloves kijijini kwake kwa thamani ya zaidi Tsh 35 Bilion bila Kufuata sheria ya MSD
  • Sheria ya Manunuzi
  • Hakuna Kibali cha Wizara wala Bodi
-Feasibility study

Kiwanda kipo kwenye shamba la Familia ambalo MSD imelinunua bila taratibu za zabuni.

Wanaweza wakawakamata vidagaa na kuwapeleka TAKUKURU lakini tatizo limesabanishwa na Major General mwenyewe. Aliwahamishia wizara nyingine wafanyakazi wote waliokuwa wanampinga anapovunja sheria.

Ni wakati sasa JWTZ wakampeleka akakabiliane na Mahakama ya Jeshi (Court Martial)
Aibu sana
 
Nafikiri Wanajeshi kwenye nafasi kama hii kuna namna tofauti ya ku deal nao. Lazima ianze kwanza Court Martial, ndipo labda taasisi za kiraia ziendelee
Mali zitaifishwe zipigwe mnada watu wajenge vyumba vya Madarasa maeneo yenye uhitaji!! Lazima atakuwa amejilimbikizia Mali nyingi
 
Kuhusu kiwanda cha MSD ni kweli kimejengwa makambako na ni kweli ni eneo linalomilikiwa na yeye mwenyewe sasa kuhusu kutofuata sheria za manunuzi kununua hilo eneo hapo ndo panahitaji uthibitisho
Kama unathibitisha kama eneo ni lake basi amevunja maadili ya sheria ya manunuzi ya umma. Sheria inakataza mfanyakazi kufanya biashara na mwajiri. Kimsingi hata waiostaafu Hawawezi kufanya biashara na mwajiri wao wa zamani hadi ipite miaka 5.
 
Mzizi wa matatizo ya MSD ni Major General Gabriel Mhidze aliyepekwa pale mwaka 2020 na Hayati Magufuli. Pamoja na kashfa ya matumizi mabaya ya fedha za UVIKO, kuna hizi 3 nazo lazima zifuatiliwe na TAKUKURU;

1. Mmamo August 2021 alilipa USD 1.5 Million kwa Kampuni ya Misri ambayo ni hewa. Hata utaratibu wa zabuni haukufanyika katika kuwapata ma supplier hao. Fedha zimepotea na hazitapatikana

2. Amejenga kiwanda cha MSD cha kutengeneza gloves kijijini kwake kwa thamani ya zaidi Tsh 35 Bilion bila Kufuata sheria ya MSD
Tunaomba ukiri ikiwa ni kuwa unaamini kweli mzizi ni Brig. Jenerali. Mbona inaonesha ulikuwa unafahamu kuna matatizo MSD hata kabla yake?

Ni wakati sasa kuacha kuwasakama watu kama chanzo cha mfumo kufeli hata kama wamefanya jitihada za kuunusuru mfumo huohuo uliowafelisha watu kabla na wao wenyewe. Kulichora jeshi katika sura ya ubadhirifu huitendei haki nchi yako
stuxnet.JPG
 
Tunaomba ukiri ikiwa ni kuwa unaamini kweli mzizi ni Brig. Jenerali. Mbona inaonesha ulikuwa unafahamu kuna matatizo MSD hata kabla yake?

Ni wakati sasa kuacha kuwasakama watu kama chanzo cha mfumo kufeli hata kama wamefanya jitihada za kuunusuru mfumo huohuo uliowafelisha watu kabla na wao wenyewe. Kulichora jeshi katika sura ya ubadhirifu huitendei haki nchi yakoView attachment 2216702
Ni kweli unachosema. Aliyetangulia aliharibu hadi 50%, mjeshi kaipeka hadi 90%.

Sawa na mgonjwa alikuwa na UKIMWI, halafu Mjeshi kumuambukiza kifua kikuu
 
Serikali haiwezi kutupangia nini cha kufanya ila ccm ndiyo itaipangia serikali nini chakufanya-Kinana

Kwahiyo majizi yaibe tu kwakuwa serikali na chama ni vitu viwili tofauti
 
Ni kweli unachosema. Aliyetangulia aliharibu hadi 50%, mjeshi kaipeka hadi 90%.

Sawa na mgonjwa alikuwa na UKIMWI, halafu Mjeshi kumuambukiza kifua kikuu
Dah! umeuaa........ sema nini ongeza ka dozi kidogo kaupositivu maana mbona maisha yatakuwa magumu sasa.

Namna nzuri ya kuleta uchanya ni kuichukulia hali mbaya iliyopo, na kuanza kuangalia mfano ungekuwa wewe katika nafasi ya mamlaka ungefanyaje.

Mfano mimi niliappreciate pale JPM alipohisi kwamba labda tatizo ni uzalendo akaamua suluhisho ni kumuweka mwanajeshi mzalendo.

Mwanajeshi nae kajitahidi sehemu yake lakini labda wazabuni wamemfanyia njama wakajikusanya kumpa bids za juu, na pia labda hayupo vizuri kwenye supply chain au kinamna fulani matakwa binafsi/hatujui. Au ni hujuma ili tusijitegemee kiuzalishaji tubaki kuwa tegemezi!

Ndo sasa Suluhu anamleta mtaalamu wa supply chain. Kwa kuhisi labda aliyepo haya mambo ni changamoto?

Lakini sio ndio kwamba turelax sasa kwamba tumempata supply chain man. MSD inapaswa kuwa na jukumu zaidi ya hilo. Mfano kuongeza uzalishaji wa ndani/viwanda. Nachelea kusema kwamba kama huyu mpya atajikita tu kwenye kuagiza nje tutakuwa tumetatua nusu tu ya tatizo sio lote. Na hatari ya kufanya hivyo ni kubwa maana mwanzo wanasema alifanya kazi na mashirika ya kimarekani, yale ya misaadmisaada ya kuletewa kutumia kufunga mahesabu na kuagiza tena na kutuma ripoti. Sijui kama hatutapoteza, kwamba hatutabaki na ile vision ya kuwa 'uzalishaji minded' as opposed to 'uagizaji minded'. Namuombea aendeleze vyote; viwanda pamoja na kuboresha supply chain. Ila hata akishindwa kimoja afanye tu anachoweza tusonge mbele. Muhimu tupate dawa.
 
Mtalishwa kila aina ya propaganda. Mhidze kwao kijijini ni lupembe - Njombe. Sasa hata ww kwa muda wako kaulize huko lupembe Kuna kiwanda cha MSD?
Watu wanaongea tu et lilikuwa eneo lake watu wamelipwa fidia ndo kiwanda kikaanza kujengwa et kijijini kwa kwao Ni lupembe na si idofi sema Ni wivu tu kuwa kwanini kimejengwa ukanda huu maana mlinganganiana sana
 
Back
Top Bottom