Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Aibu kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Court martial inaanza ili jeshi limfute kazi ndipo apelekwe mahakama za kiraiaKwa hiyo mwanajeshi hata akifanya kosa lolote lile lazima apelekwe Court Martial?
Kuhusu huu ufisadi tuwekee na nyaraka namna alivofanya manunuzi bila taratibu za kisheria.
Unataka kusema nini kwani?Niseme tu haujui siasa na fitina za hii nchi. Huyu Mjeshi wanaomjua na kujua maisha yake wanakataa kabisa kuwa ni Mwizi na mbadhilifu .
Sema aliziba upigaji uliozoeleka pale MSD na ujue tu kuwa unapoziba upigaji MSD ni dhahiri utakuwa umegusa kundi kubwa sana la wafanyabiashara nje ya MSD na Wanasiasa, yaani ni Network moja kubwa sana ambayo ikiamua kukutengenezea zengwe ujue HUTACHOMOKAA na hoja za kuaminisha kasoro zako hazitakosekana hata kidogo.
Sio kwamba kwenye taasisi zingine hakuna kasoro za manunuzi au mbadhilifu , tena ukute kuna madudu makubwa sana lakini jiulize ni kwanini HAKUNA SOUND KAMA HIZI ZA MSD.
Mbona hujajibu swali langu? Sasa jifikirie unavyobwabwaja kijinga, heri ni nani mie nnaepiga "domo", au wewe unawawaja na kuhororoja bila mpango?usitufanye wote wajukuu zako hapa unaowapiga domo. Huyo mama ana hali mbaya sana msipokaa sawa hata CCM hapiti
🤣🤣Mbona hujajibu swali langu? Sasa jifikirie unavyobwabwaja kijinga, heri ni nani mie nnaepiga "domo", au wewe unawawaja na kuhororoja bila mpango?
Huna hadhi ya uekewa wa wajukuu zangu.
Ushamjuwa baba'ko siku hizi au ndiypo yaleyale kila mwanamme anaekuja nyumbani kwenu bado unaambiwa na mama'ko "mwamkie baba'ko?
sidhani kama watu wa njombe wana sifa mbaya kama hizi ulizozitajaJamii ya watu wabishi, wachawi, wachafu, washirikina, Wala migebuka, wasiopenda amani, ndugu moja na dada Joy anaye ongea ung'eng'e utadhani anagombana na ex wake.
Kuhusu kiwanda cha MSD ni kweli kimejengwa makambako na ni kweli ni eneo linalomilikiwa na yeye mwenyewe sasa kuhusu kutofuata sheria za manunuzi kununua hilo eneo hapo ndo panahitaji uthibitishoMtalishwa kila aina ya propaganda. Mhidze kwao kijijini ni lupembe - Njombe. Sasa hata ww kwa muda wako kaulize huko lupembe Kuna kiwanda cha MSD?
kijiji cha idofi,karibu na mji wa makambako,wilaya ya wanging'ombeHicho kiwanda kajenga wapi Kijiji kipi wilaya ipi
Aibu sanaMzizi wa matatizo ya MSD ni Major General Gabriel Mhidze aliyepekwa pale mwaka 2020 na Hayati Magufuli. Pamoja na kashfa ya matumizi mabaya ya fedha za UVIKO, kuna hizi 3 nazo lazima zifuatiliwe na TAKUKURU;
1. Mmamo August 2021 alilipa USD 1.5 Million kwa Kampuni ya Misri ambayo ni hewa. Hata utaratibu wa zabuni haukufanyika katika kuwapata ma supplier hao. Fedha zimepotea na hazitapatikana
2. Amejenga kiwanda cha MSD cha kutengeneza gloves kijijini kwake kwa thamani ya zaidi Tsh 35 Bilion bila Kufuata sheria ya MSD
-Feasibility study
- Sheria ya Manunuzi
- Hakuna Kibali cha Wizara wala Bodi
Kiwanda kipo kwenye shamba la Familia ambalo MSD imelinunua bila taratibu za zabuni.
Wanaweza wakawakamata vidagaa na kuwapeleka TAKUKURU lakini tatizo limesabanishwa na Major General mwenyewe. Aliwahamishia wizara nyingine wafanyakazi wote waliokuwa wanampinga anapovunja sheria.
Ni wakati sasa JWTZ wakampeleka akakabiliane na Mahakama ya Jeshi (Court Martial)
Mali zitaifishwe zipigwe mnada watu wajenge vyumba vya Madarasa maeneo yenye uhitaji!! Lazima atakuwa amejilimbikizia Mali nyingiNafikiri Wanajeshi kwenye nafasi kama hii kuna namna tofauti ya ku deal nao. Lazima ianze kwanza Court Martial, ndipo labda taasisi za kiraia ziendelee
Kama unathibitisha kama eneo ni lake basi amevunja maadili ya sheria ya manunuzi ya umma. Sheria inakataza mfanyakazi kufanya biashara na mwajiri. Kimsingi hata waiostaafu Hawawezi kufanya biashara na mwajiri wao wa zamani hadi ipite miaka 5.Kuhusu kiwanda cha MSD ni kweli kimejengwa makambako na ni kweli ni eneo linalomilikiwa na yeye mwenyewe sasa kuhusu kutofuata sheria za manunuzi kununua hilo eneo hapo ndo panahitaji uthibitisho
magufuli alikufa 2021 acha kutetea ufisadi wake kipumbavu mjinga mkubwa weweMagufuli alikufa 2020 wewe unamhusisha na ufisadi wa 2021????
Kwani mwanajeshi anafutwa kazi na court martial?Court martial inaanza ili jeshi limfute kazi ndipo apelekwe mahakama za kiraia
Tunaomba ukiri ikiwa ni kuwa unaamini kweli mzizi ni Brig. Jenerali. Mbona inaonesha ulikuwa unafahamu kuna matatizo MSD hata kabla yake?Mzizi wa matatizo ya MSD ni Major General Gabriel Mhidze aliyepekwa pale mwaka 2020 na Hayati Magufuli. Pamoja na kashfa ya matumizi mabaya ya fedha za UVIKO, kuna hizi 3 nazo lazima zifuatiliwe na TAKUKURU;
1. Mmamo August 2021 alilipa USD 1.5 Million kwa Kampuni ya Misri ambayo ni hewa. Hata utaratibu wa zabuni haukufanyika katika kuwapata ma supplier hao. Fedha zimepotea na hazitapatikana
2. Amejenga kiwanda cha MSD cha kutengeneza gloves kijijini kwake kwa thamani ya zaidi Tsh 35 Bilion bila Kufuata sheria ya MSD
Ni kweli unachosema. Aliyetangulia aliharibu hadi 50%, mjeshi kaipeka hadi 90%.Tunaomba ukiri ikiwa ni kuwa unaamini kweli mzizi ni Brig. Jenerali. Mbona inaonesha ulikuwa unafahamu kuna matatizo MSD hata kabla yake?
Ni wakati sasa kuacha kuwasakama watu kama chanzo cha mfumo kufeli hata kama wamefanya jitihada za kuunusuru mfumo huohuo uliowafelisha watu kabla na wao wenyewe. Kulichora jeshi katika sura ya ubadhirifu huitendei haki nchi yakoView attachment 2216702
Dah! umeuaa........ sema nini ongeza ka dozi kidogo kaupositivu maana mbona maisha yatakuwa magumu sasa.Ni kweli unachosema. Aliyetangulia aliharibu hadi 50%, mjeshi kaipeka hadi 90%.
Sawa na mgonjwa alikuwa na UKIMWI, halafu Mjeshi kumuambukiza kifua kikuu
Watu wanaongea tu et lilikuwa eneo lake watu wamelipwa fidia ndo kiwanda kikaanza kujengwa et kijijini kwa kwao Ni lupembe na si idofi sema Ni wivu tu kuwa kwanini kimejengwa ukanda huu maana mlinganganiana sanaMtalishwa kila aina ya propaganda. Mhidze kwao kijijini ni lupembe - Njombe. Sasa hata ww kwa muda wako kaulize huko lupembe Kuna kiwanda cha MSD?