Mkuu hayo maamuzi alifanya baada ya magufuli kuondoka hapa duniani .usijitoe ufahamKuna watu wanakesha usiku na mchana hapa kulinda Legacy feki, hili Taifa hili!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hayo maamuzi alifanya baada ya magufuli kuondoka hapa duniani .usijitoe ufahamKuna watu wanakesha usiku na mchana hapa kulinda Legacy feki, hili Taifa hili!
Unakosa weledi kwenye hoja zako, labda kama wewe ni mtu wa FB na sio JF...umeshawahi kusikia hii quote "No research, no right to speak"Kuna watu wansema tusiseme vibaya kwa sababu ni mwanajeshi. Watanzania tuna kosa sana exposure. Nchi ambazo demokrasia imekoo, hata Rais anashitakiwa ... achilia mbali huyu Meja General wa Mchongo.
Kwanza mwendaze alikuwa anatoa vyeo kikanda.... usikute hata huyu alimpa huo u meja kwa ukanda. Kama kuna upotevu na unadhirifu wa mali za umma, iongewe wazi na isemwe bila woga, hakuna aliye juu ya sheria Hata rais hayupo juu ya sheria seuzi huyo meja gen.
Na haya ni masalia ya mwendazake kunyanganya wananchi ajira na kuwapa wanajeshi... ili baadae angeongeza muda wasiwe na say. Mama safisha kote kwenye wqnajeshi kwenye taasisi za umma. Taasisi za umma ziachiwe raia, mwendazake alitukosea heshima.
Kama tunazungumza mazuri ya JPM , na mabaya yake tuyaseme ; kuna mazuri alifanya na kuna mabaya kama haya ya kupora taasis za umma alifanya. Unamuwekaje mtu kwenye taasisi za umma zenye siasa ndani yake huko akifanya ubadhilifu huwezi kumshitaki kirahisi, na wanajeshi wengi sana ni janja janja kwa kigezo cha uzalendo, na wakifanya makosa wnaasingizia raia ... ni wapigaji sana kama yule jamaa wa takukuru akasingizia watumishi wa kawaida.
isijirudie tena kuweka kanda ya ziwa kwenye urais... hawa watu ni roho mbaya, wabinafsi na ni uncivilized .
Hatukufikia hatua ya kupigana Risasi mchana kweupe Tanzania, hatukufia hatua ya kupotea, yupo wapi Ben saanane.... kijana mdogo kamwagiwa tindikali bila hatia. Isijirudie tena kanda ya ziwa kupewa uongozi wowote wa juu. CCM tunachakujifunza kwa tuliyopitia
Kweli asee Mzee mhidze na hizi tuhuma alizotoa huyu bwana pasi na ushahidi zina mashaka Sana.Niseme tu haujui siasa na fitina za hii nchi. Huyu Mjeshi wanaomjua na kujua maisha yake wanakataa kabisa kuwa ni Mwizi na mbadhilifu .
Sema aliziba upigaji uliozoeleka pale MSD na ujue tu kuwa unapoziba upigaji MSD ni dhahiri utakuwa umegusa kundi kubwa sana la wafanyabiashara nje ya MSD na Wanasiasa, yaani ni Network moja kubwa sana ambayo ikiamua kukutengenezea zengwe ujue HUTACHOMOKAA na hoja za kuaminisha kasoro zako hazitakosekana hata kidogo.
Sio kwamba kwenye taasisi zingine hakuna kasoro za manunuzi au mbadhilifu , tena ukute kuna madudu makubwa sana lakini jiulize ni kwanini HAKUNA SOUND KAMA HIZI ZA MSD.
Shida hii thread haina ushahidi wowote juu ya hizi tuhuma.Kimeumana
Kuna mshikaji wangu workmate wangu alikuwa anamsifia sana. Ngoja nimfowardie hii kitu
Hiki kikundi cha watu kimedhamiria kwa Ari na Shari kuhakikisha wanaua legacy ya JPM,Mtalishwa kila aina ya propaganda. Mhidze kwao kijijini ni lupembe - Njombe. Sasa hata ww kwa muda wako kaulize huko lupembe Kuna kiwanda cha MSD?
Agiza bia nakuja kulipaUnakosa weledi kwenye hoja zako, labda kama wewe ni mtu wa FB na sio JF...umeshawahi kusikia hii quote "No research, no right to speak"
Kwanza, unasema Mhidze ni Meja Jenerali wa mchongo...kwa taarifa yako ni kuwa yeye amepanda vyeo hivyo miaka mingi kabla ya Magufuli kuwa Rais, na ile taasisi ina utaratibu wake. Mhe Rais Magufuli ameingia madarakani huyu akiwa Mkuu wa hospitali ya Kijeshi ya Lugalo. Lakini pia kitaaluma yeye ni daktari bingwa wa binadamu (specialist MD) na kasomea Tanzania na Urusi. Kwa hiyo hoja yako ya mchongo haina mashiko.
Pili, Kuhusu hoja ya vyeo kutolewa kikanda. Nadhani ni vyema uelewe tofauti kati ya cheo na madaraka. Huyu Mhidze cheo chake ni Major General ambacho ni stahili yake aliyopata huko Jeshini kwa sifa alizokuwa nazo, lakini huku MSD alipewa madaraka ya CEO au MD. Tofauti ndogo kama hizi zinapima umakini wa mleta hoja kama kweli ni Great Thinker.
Tatu, kuhusu ukanda, imeelezwa hapa kuwa Mhidze ni mwenyeji wa Mkoa wa Njombe, kwa anayejua jiografia ya Tanzania, kanda hiyo ya Nyanda za Juu, sio ukanda mmoja na ule ukanda wa Ziwa alipotoka Mhe Magufuli. Nakushauri ujifunze kutofautisha hisia na uhalisia.
Nne, hoja yako kuhusu Wanajeshi kuwanyanganya Raia nafasi kwenye Taasisi za Umma nakushauri usome Civil Military Relations in Tanzania by Abillah H. Omari
Nae aliongoza kujenga kwao Hugo mwendaYote haya yamesababishwa na yule Punguwani kuweka Majeshi kwenye Taasisi.
Mwenyezi Mungu apewe sifa na utukufu mileleYote haya yamesababishwa na yule Punguwani kuweka Majeshi kwenye Taasisi.
Amiin AmeenMwenyezi Mungu apewe sifa na utukufu milele
Mhidze mbona sio jina la kitanzania??anyway sijui nilitaka kusema nn
Mzizi wa matatizo ya MSD ni Major General Gabriel Mhidze aliyepekwa pale mwaka 2020 na Hayati Magufuli. Pamoja na kashfa ya matumizi mabaya ya fedha za UVIKO, kuna hizi 3 nazo lazima zifuatiliwe na TAKUKURU;
1. Mmamo August 2021 alilipa USD 1.5 Million kwa Kampuni ya Misri ambayo ni hewa. Hata utaratibu wa zabuni haukufanyika katika kuwapata ma supplier hao. Fedha zimepotea na hazitapatikana
2. Amejenga kiwanda cha MSD cha kutengeneza gloves kijijini kwake kwa thamani ya zaidi Tsh 35 Bilion bila Kufuata sheria ya MSD
-Feasibility study
- Sheria ya Manunuzi
- Hakuna Kibali cha Wizara wala Bodi
Kiwanda kipo kwenye shamba la Familia ambalo MSD imelinunua bila taratibu za zabuni.
Wanaweza wakawakamata vidagaa na kuwapeleka TAKUKURU lakini tatizo limesabanishwa na Major General mwenyewe. Aliwahamishia wizara nyingine wafanyakazi wote waliokuwa wanampinga anapovunja sheria.
Ni wakati sasa JWTZ wakampeleka akakabiliane na Mahakama ya Jeshi (Court Martial)
Njoo huku kijijini masanza simiyu huku uone mwanajeshi mmoja alivyofanya kufuruInamana kiwanda kipo kijijini kwao Lupembe??Embu fafanuwa! Maana kati ya Watanzania waaminifu na wazalendo kama Nyerere huyu ni mmoja wao na isitoshe Wanajeshi wapo kuilinda na kupigania ustawi wa nchi na watu wake. Sijawai sikia kuna Mwanajeshi amekamatwa kwa Ubadilifu ata siku moja.Kumbuka mpaka mkataba unasainiwa ni zaidi ya mwaka kama sio miaka- yeye ni msaini mikataba walio chini yake ndo wanaofaidika na all bad deals jua hilo. Tender Board na watu wa kitengo cha manunuzi wanawaangushia Ma MD majumba mabovu kila kukicha. Kwa huyu Jamaa nakataa kama alikuwa Ntu wa Dilli namfahamu na najua how serious alivyo
we have similar minds but for me I thought of time not bush fire . Yaani in 40+ years by the Almighty God will majizi yote ya bongo yanayojifanya nchi ni mali yao tayari yanaweza kuwa mavumbini ndani ya makaro ya cement huku watoto wetu wakiinjoy life maana yote ni Mazee for now!CcM ni pori la majizi.huwezi kumaliza kwa kukata mti mmoja mmoja. unatakiwa kutia kiberiti moto uwake
Hujaona upigaji alifanya lini?Kuna watu wanakesha usiku na mchana hapa kulinda Legacy feki, hili Taifa hili!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti pori la majiziCcM ni pori la majizi.huwezi kumaliza kwa kukata mti mmoja mmoja. unatakiwa kutia kiberiti moto uwake
Wewe ndio hujasoma vizuri, na aliyemuweka pale nani?Hujaona upigaji alifanya lini?
Tuna bahati Mwenda zake katoka, watu kama wanajeshi wanapshwa kubaki jeshini maana wakionja uraia wakanogewa yanawakuta ya Sudan ambapo hawataki kuachia madaraka.Huyu jamaa hana makosa na kwa kuwa sera za mama ni maridhiano amwachie, KITI cha mama ndicho kilimwingiza sehemu isiyo fani yakeMzizi wa matatizo ya MSD ni Major General Gabriel Mhidze aliyepekwa pale mwaka 2020 na Hayati Magufuli. Pamoja na kashfa ya matumizi mabaya ya fedha za UVIKO, kuna hizi 3 nazo lazima zifuatiliwe na TAKUKURU;
1. Mmamo August 2021 alilipa USD 1.5 Million kwa Kampuni ya Misri ambayo ni hewa. Hata utaratibu wa zabuni haukufanyika katika kuwapata ma supplier hao. Fedha zimepotea na hazitapatikana
2. Amejenga kiwanda cha MSD cha kutengeneza gloves kijijini kwake kwa thamani ya zaidi Tsh 35 Bilion bila Kufuata sheria ya MSD
-Feasibility study
- Sheria ya Manunuzi
- Hakuna Kibali cha Wizara wala Bodi
Kiwanda kipo kwenye shamba la Familia ambalo MSD imelinunua bila taratibu za zabuni.
Wanaweza wakawakamata vidagaa na kuwapeleka TAKUKURU lakini tatizo limesabanishwa na Major General mwenyewe. Aliwahamishia wizara nyingine wafanyakazi wote waliokuwa wanampinga anapovunja sheria.
Ni wakati sasa JWTZ wakampeleka akakabiliane na Mahakama ya Jeshi (Court Martial)