Elisante Yona
Senior Member
- Oct 6, 2009
- 131
- 24
1. Polisi Tanzania (PT) ni chombo cha Muungano wa Tanzania kilichoundwa ili kuhakikisha usalama wa rai na mali zao, kudumisha Amani na utulivu katika jamii.
2. Kuzuia, kubaini, na kupambana na uhalifu,
Ni chombo cha Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, kilichopewa mamlaka na wajibu wa kuajiri na kuwapangia askari polisi vituo vya kazi, na kuratibu masuala yote ya amani na utulivu ndani ya nchi.
Aina za Askari Polisi
1. Askari Polisi wa Magereza
2. Askari Polisi wa usalama barabarani
3. Askari polisi wa kulinda usalama wa rai na mali zao
4. Askari polisi wa kutuliza ghasia - FFU