igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,597
- 3,373
Hiyo DR haina serial number?Wamechana baadhi ya pages itakuwa maana walijua wanakuja kuaibika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo DR haina serial number?Wamechana baadhi ya pages itakuwa maana walijua wanakuja kuaibika
Sitegemei la maana kutoka kwa jaji wa michongo.
hamna kitu mkuu,Kwa hatua iliyokwishafikiwa hana njia isipokuwa kuitosa MBELEKO aliyokuwa anawabebea wabumbaji wa kesi.
Tena katili haswahamna kitu mkuu,
jaji wa michongo ametumwa kumsitiri mama katili.
haya mashetani yaona aibu kubwa sn mbele za MUNGUMungu yuko na Mbowe. Ngoja nipige magoti kwanz nisali usiku huu. Mungu mwema atasikia maombi na kilio cha watumishi wake
Wewe uonavyo mpaka sasa katika hiyo kesi kuna shahidi kaelezea ugaidi ?hivi haki unayoitegemea ndugu hapani kama ipi maana naona kama una jibu tayari kuwa akiamua hivi tu hajatenda haki na akiamuahivi katenda haki?
Unawajaza watu matumaini kwa habari za uongo- mda utasema natamani tu hutahamisha milingoti ya goli wala kusema uamuzi umetolewa na jaji wa michongoKesho Inshallah, mawakili wasomi watawasilisha majumuisho yao mbele ya Jaji Tiganga.
Msingi wa kinyang'anyiro bila shaka utakuwa katika uhalali wa Detention Registers (DR). Moja kutokea Central Police Dar na nyingine kutokea kituo cha Polisi Tazara.
DR ya Central iliwasilishwa na D/C Msemwa aliyedai kuwa akilitumikia jeshi la polisi kutokea Central katika kipindi hicho. Ya Tazara, ikiwasilishwa na mkuu wa sasa kituoni hapo.
Hata hivyo shahidi wa utetezi Lembrus Mchome anadai D/C Msema hakuwahi kuwa central polisi kipindi hicho bali alikuwa Oysterbay polisi. Kwamba yeye akiwa mahabusu D/C Msemwa, askari H4323 alimhudumia mara kwa mara Oysterbay Polisi.
Ya Lembrus Mchome yanaweza kuwa na nafuu kwani ni madogo!
Funga kazi ni ya komando Mhina. Mhina anadai kuwa Tazara na baadaye kupelekwa mahakamani kutokea hapo.
Alikuwapo Tazara Polisi mahabusu 23/9/2020 - 25/9/2020 lakini hayumo popote kwenye DR ya Tazara:
View attachment 2035235
View attachment 2035236
Wasaa wa Jaji kuithibitishia dunia kuwa mahakama ni huru na yenye hukumu za haki kwa mara nyingine unajongea.