Majunio Wanazingua

Me bado nakula msosi wa mama my friend😃🙈
Binti unaingiza kipato,
unao uwezo wa kujitegemea,
unaamini katika uungu,
upo tayari kusaidia jamii,

basi unakaribishwa FREEMASONRY. ubadilishe maisha yako. 🌹🌹🖤
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Utajua hujui, km unaona kero kakae ghetto na washkaji zako lkn Junior muache km alivyo ndio final say na ukichanganya ni first born!!!! Shemeji kazi unayo.

Nimesahau, kingine ni kwamba namtuma kukuuliza unaondoka lini makusudi, sababu unapenda kula hovyo soda hazipumui kwenye friji!!!!!

Wewe uliona wapi kreti la soda linaisha ndani ya siku 3 na ndani tuko wachache, kakaako mwenyewe anakunywa pombe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Binti unaingiza kipato,
unao uwezo wa kujitegemea,
unaamini katika uungu,
upo tayari kusaidia jamii,

basi unakaribishwa FREEMASONRY. ubadilishe maisha yako. 🌹🌹🖤
hatuna shida na hela kwetu😂😂😂,, no vile tu sheria ya nyumbani kuondoka hadi ndoa 🤣
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaaaaaa!!! Nimecheka jamani
 
Acha upumbavu, yaan mtoto abakwe kisa tabia mbaya?

Yafunzeni tabia njema hayo matoto yenu yaliyokosa adabu kwa wakubwa wao, mitoto ya hivyo ndio chimbuko la maadili mabovu kama ushoga na ukahaba

Haiwezekan mtoto awe kero kwa wageni, kama wakubwa zako walikufunza kwa maadili nawew wafunze maadili msijikute wazungu weusi wakati mnatuharibia kizazi kijacho kutuzalishia mashoga na wasagaji.

Badilikeni, malezi ya kiafrika mtoto lazima ale fimbo za kutosha, Mafundisho ya kutosha kuhusu maisha na tabia njema, huku bakora na adhabu zikienda sambamba pale anapokosea.

Jikute kim kardashian kuwalea watoto kimarekan utakuja kuilaumu jamii miaka ijayo.

Alafu unakuta kuna Limzazi linajivunia eti alipigi fimbo watoto, kwa maajabu gani waliyo nayo, watoto ni lazima wakosee maana hawana ujuzi bado wa mambo hivyo ukiamin hawakosei na huwapi adhabu tutegemee kizazi cha mashoga, wasagaji, waizi, wavuta bangi na kila aina ya tabia chafu.

Pigeni hiyo mitoto yenu yenye tabia chafu kwa jamii.

Mimi mitoto ya hivyo ikinoboa nalitandika vibao na nakushitaki kwa kushindwa kulea mtoto ktk sehemu husika ili uchukuliwe hatua kali za kinidhamu.

Waleeni vyema hao watoto
 
😅😅😅😅😅Daah
 
Kweli kuna watoto wasumbufu sana na chanzo ni wazazi. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
 
Mimi ilikua 2005 Nilienda kutembea tu mara moja kwa ndugu flani hivi alikua na kacheo police walikua wanakata kota Ila za kishua.

Yule mtoto wake si akaanza kunipiga. Bila sababu dogo akawa anapiga piga kinoma, dada yake anamkataza lakini dogo ndio anazidisha

Yule mtoto alilelewa kiujinga Sana, nilibaki najiuliza hawa wazazi wake wanakubali vipi anakua na tabia mbovu vile? Mama yake alikua ni mtu mwenye dharau, majivuno na wa ajabu sana
 
Unajua maisha wewe…embu danga…
 
Fact….Nondo umetema Sana…
 
Wewe mshenzi acha kuita watoto (mitoto) kama huna mbegu peleka hasira zako kwa madaktari na wewe upate wako uache kuweka makasiriko kwa watoto wa wenzio, kenge maji weeee,

Zee zima linaandika insha kukandia watoto wakati wenzio wanahenyeka leba wewe si ulikua unatupa mbegu chooni, punguani mjaa laana ulofeli maisha hadi hasira unawekeza kwa watoto, mijitu kama nyie mnatakiwa kua milembe hamfai kukaa kwenye jamii iliyostaarabika, bedui mkubwa weeeee.

Ptuuuuuu[emoji2961]
 
Unajua maisha wewe…embu danga…
Ungekua unayajua maisha wee mbwa usingekua unadundisha korodani zako kwenye majumba ya watu na kuchungua watoto wa wenzio, zaa wako kwanza, bedui mjaa laana weee
 
Aiseeee, umeandika kitu cha hovyo kwa kweli. Sidhani kama jamaa yupo serious katika hili zaidi ya kutuchangamsha tu. Pia si kweli mambo kama haya yanasababisha ubakaji au ulawiti kwa watoto. Pamoja na mzaha wa muanzisha uzi, ila wazazi wa kileo mnatakiwa kuwalea na kuwafundisha watoto wenu miiko na maadili kwenye malezi na makuzi yao pia namna ya kuishi na watu na wageni wafikapo kwao na sio kuwaacha watoto wawe huru kama vifaranga vya kambare.

Ila samahani, we si ndio yule unayesemaga huku mwanao akikosea unamnyima kumuonesha video za katuni kwenye simu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…