Majura, Askari wa Kituo cha Mabatini-Kijitonyama anayefanya kazi akiwa amelewa

Majura, Askari wa Kituo cha Mabatini-Kijitonyama anayefanya kazi akiwa amelewa

Huyu askari anafahamika kama Majura yupo kota za ffu mombasa karibia na shule ya msingi.Nae alikuepo kwenye kikosi kinachovamia bar na bunduki kutafuta mabinti wanaojiuza. Huyu askari hua yuko chakari (kalewa) mda mwingi wa kazi na hata boss wake wa mabatini anajua na hajawahi kumchukulia hatua yoyote
View attachment 2829095
Asilimia kubwa ya majambazi, wauaji na wahalifu wapo ndani ya Jeshi la Polisi kuliko hawa tunaohangaika nao mitaani
 
Alafu kuna mpumbavu mmoja ameanzisha kiuzi chake eti "uhai wa ccm ndio usalama wa Tanzania" shenzi kabisa 😡😡 alafu watu wenyewe wa ccm ndio kama huyo mpuuzi 😡😡
Nadhani alimaanisha;
" Bila CCM imara, Nchi itayumba"
J.K.Nyerere
 
Miaka ya 1990 alikuwepo askari mmoja hapo mabatini naye alikuwa mlevi kupindukia akiwa kazini, alijulikana kwa jina la Kanali alikuwa mzaliwa wa Mkoa wa Mara. Kuna wakati alinunua baiskeli akilewa baiskeli anailaza kitandani yeye analala chini. Huyu mwamba alikosakosa kunipiga risasi akiwa bwaxi. Hicho kituo kina laana ya kuwa na askari vyapombe.
 
Nadhani alimaanisha;
" Bila CCM imara, Nchi itayumba"
J.K.Nyerere
Wana miaka 60+ wanatawala lakini nchi inazidi kusinyaa Kila kunapokucha, au huo uimara ni kuendelea kuipeleka nchi kwenye ufukara wa kutupwa🤔🤔 yani Kila anaekatiza mbele ya hao watawala wa ccm anaambiwa saidia baba saidia mama, siwaelewi hizo kauli zenu
 
Policcm hoi !

Unaweza kukuta pia ni member mwenzetu humu huyo akishapewa buku 7 anakuja kusifia CCM na kusema Samia anaupiga mwingi akitoka hapo anaenda kupiga spirit zake hizo.

Unaweza kukuta huyu nae ni mpinzani, stress za kutamani mabadiliko na mazingira ya kazi yake zinamfanya awe hivyo alivyo.

In psychology, projection ni hali ya kukimbilia kuwalaumu wengine kwa vitabia vyao vibaya kila panapotokezea negatives.

Kumbuka kuna mwenyekiti wa chama kimoja cha upinzani ambae kimsingi kazi yake ni siasa na hupanda majukwaani kufanya siasa akiwa chakarii...

Kisaikolojia tabia hii (ya projection) ikikua hugeuka na kuitwa deflection, ambapo mtu huwalaumu wengine hata kwa makosa yake mwenyewe, kama mwenza anapomlaumu mwenza wake kwamba si muaminifu kwa sababu tu yeye mwenyewe ni mzinzi.

Samahani nimewaza tu.
 
Hivi ili picha ziwe zinafunguka jf inatakiwa ufanyaje maana kwangu huwa ni maelezo TU picha hakuna kuona napata wakati mgumu sana hasa nikitembelea thread ya "warembo dunia nzima"
Mungu anakusudio lake kwako ndio maana picha hazifunguki kwenye hiyo thread.
 
Wana miaka 60+ wanatawala lakini nchi inazidi kusinyaa Kila kunapokucha, au huo uimara ni kuendelea kuipeleka nchi kwenye ufukara wa kutupwa🤔🤔 yani Kila anaekatiza mbele ya hao watawala wa ccm anaambiwa saidia baba saidia mama, siwaelewi hizo kauli zenu
"Katika nchi za Afrika hakuna Serikali, bali kuna magenge ya watu walioshika silaha na kupora rasilimali za nchi ili kujinufaisha wao wenyewe binafsi pamoja na vibaraka wao."
Jonas Savimbi.
 
Huyu Askari anafahamika kama Majura yupo Kota za FFU Mombasa karibia na shule ya msingi.

Nae alikuepo kwenye kikosi kinachovamia bar na bunduki kutafuta mabinti wanaojiuza.

Huyu Askari huwa yuko chakari (kalewa) muda mwingi wa kazi na hata boss wake wa Mabatini anajua na hajawahi kumchukulia hatua yoyote

View attachment 2829095
Hawa jamaa wa Doria mabatini wanaotembea na Land Cruiser PT 78** ni wakatili sana, wanakusanya maokoto kuanzia La Chaz, kitambaa Cheupe, SEbuleni..etc, yani wanakusanya kama vile TRA.
 
Hawa jamaa wa Doria mabatini wanaotembea na Land Cruiser PT 78** ni wakatili sana, wanakusanya maokoto kuanzia La Chaz, kitambaa Cheupe, SEbuleni..etc, yani wanakusanya kama vile TRA.

Tatizo ni IGP kwani ana uhakika kutoka jikoni kuwa yeye Ni Alfa na Omega hivyo haangalii ustawi wa jamii
 
Hivi ili picha ziwe zinafunguka jf inatakiwa ufanyaje maana kwangu huwa ni maelezo TU picha hakuna kuona napata wakati mgumu sana hasa nikitembelea thread ya "warembo dunia nzima"
Hili watu wamepiga kelele mpaka basi..ooh mara download upya app ,ooh updates,ooh simu unayotumia yaani sababu chungu3 nzima....yaani kuna threads na picha hazifunguki kabisa...
 
Hivi ili picha ziwe zinafunguka jf inatakiwa ufanyaje maana kwangu huwa ni maelezo TU picha hakuna kuona napata wakati mgumu sana hasa nikitembelea thread ya "warembo dunia nzima"
Mkuu, Maxence Melo, tunakuomba sana ulifanyie kazi suala hili la picha kushindwa kufunguka kwa watumiaji wa JF nami nikiwa miongoni mwao!

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Hawa jamaa wa Doria mabatini wanaotembea na Land Cruiser PT 78** ni wakatili sana, wanakusanya maokoto kuanzia La Chaz, kitambaa Cheupe, SEbuleni..etc, yani wanakusanya kama vile TRA.
Na wale wanaotumia noah na ile corolla waleni wahalifu tu
Polisi wanalea sana ujinga na kwa wanayofanya wanazidi kuwafanya watu kuwa sugu

Ova
 
Back
Top Bottom