Asilimia kubwa ya majambazi, wauaji na wahalifu wapo ndani ya Jeshi la Polisi kuliko hawa tunaohangaika nao mitaaniHuyu askari anafahamika kama Majura yupo kota za ffu mombasa karibia na shule ya msingi.Nae alikuepo kwenye kikosi kinachovamia bar na bunduki kutafuta mabinti wanaojiuza. Huyu askari hua yuko chakari (kalewa) mda mwingi wa kazi na hata boss wake wa mabatini anajua na hajawahi kumchukulia hatua yoyote
View attachment 2829095
Ilitakiwa iwe ufisadi na wizi wa mali za ummaPombe
Wanawake
Hivi ndo vitu huwa vinashusha heshima ya MTU Kwa haraka Sana.
Ndo hivyo mkuuIlitakiwa iwe ufisadi na wizi wa mali za umma
Nadhani alimaanisha;Alafu kuna mpumbavu mmoja ameanzisha kiuzi chake eti "uhai wa ccm ndio usalama wa Tanzania" shenzi kabisa 😡😡 alafu watu wenyewe wa ccm ndio kama huyo mpuuzi 😡😡
Wana miaka 60+ wanatawala lakini nchi inazidi kusinyaa Kila kunapokucha, au huo uimara ni kuendelea kuipeleka nchi kwenye ufukara wa kutupwa🤔🤔 yani Kila anaekatiza mbele ya hao watawala wa ccm anaambiwa saidia baba saidia mama, siwaelewi hizo kauli zenuNadhani alimaanisha;
" Bila CCM imara, Nchi itayumba"
J.K.Nyerere
Policcm hoi !
Unaweza kukuta pia ni member mwenzetu humu huyo akishapewa buku 7 anakuja kusifia CCM na kusema Samia anaupiga mwingi akitoka hapo anaenda kupiga spirit zake hizo.
Mungu anakusudio lake kwako ndio maana picha hazifunguki kwenye hiyo thread.Hivi ili picha ziwe zinafunguka jf inatakiwa ufanyaje maana kwangu huwa ni maelezo TU picha hakuna kuona napata wakati mgumu sana hasa nikitembelea thread ya "warembo dunia nzima"
"Katika nchi za Afrika hakuna Serikali, bali kuna magenge ya watu walioshika silaha na kupora rasilimali za nchi ili kujinufaisha wao wenyewe binafsi pamoja na vibaraka wao."Wana miaka 60+ wanatawala lakini nchi inazidi kusinyaa Kila kunapokucha, au huo uimara ni kuendelea kuipeleka nchi kwenye ufukara wa kutupwa🤔🤔 yani Kila anaekatiza mbele ya hao watawala wa ccm anaambiwa saidia baba saidia mama, siwaelewi hizo kauli zenu
Hawa jamaa wa Doria mabatini wanaotembea na Land Cruiser PT 78** ni wakatili sana, wanakusanya maokoto kuanzia La Chaz, kitambaa Cheupe, SEbuleni..etc, yani wanakusanya kama vile TRA.Huyu Askari anafahamika kama Majura yupo Kota za FFU Mombasa karibia na shule ya msingi.
Nae alikuepo kwenye kikosi kinachovamia bar na bunduki kutafuta mabinti wanaojiuza.
Huyu Askari huwa yuko chakari (kalewa) muda mwingi wa kazi na hata boss wake wa Mabatini anajua na hajawahi kumchukulia hatua yoyote
View attachment 2829095
Hawa jamaa wa Doria mabatini wanaotembea na Land Cruiser PT 78** ni wakatili sana, wanakusanya maokoto kuanzia La Chaz, kitambaa Cheupe, SEbuleni..etc, yani wanakusanya kama vile TRA.
Hili watu wamepiga kelele mpaka basi..ooh mara download upya app ,ooh updates,ooh simu unayotumia yaani sababu chungu3 nzima....yaani kuna threads na picha hazifunguki kabisa...Hivi ili picha ziwe zinafunguka jf inatakiwa ufanyaje maana kwangu huwa ni maelezo TU picha hakuna kuona napata wakati mgumu sana hasa nikitembelea thread ya "warembo dunia nzima"
Atakuwa mwashambwa huyoAlafu kuna mpumbavu mmoja ameanzisha kiuzi chake eti "uhai wa ccm ndio usalama wa Tanzania" shenzi kabisa [emoji35][emoji35] alafu watu wenyewe wa ccm ndio kama huyo mpuuzi [emoji35][emoji35]
Mkuu, Maxence Melo, tunakuomba sana ulifanyie kazi suala hili la picha kushindwa kufunguka kwa watumiaji wa JF nami nikiwa miongoni mwao!Hivi ili picha ziwe zinafunguka jf inatakiwa ufanyaje maana kwangu huwa ni maelezo TU picha hakuna kuona napata wakati mgumu sana hasa nikitembelea thread ya "warembo dunia nzima"
Na wale wanaotumia noah na ile corolla waleni wahalifu tuHawa jamaa wa Doria mabatini wanaotembea na Land Cruiser PT 78** ni wakatili sana, wanakusanya maokoto kuanzia La Chaz, kitambaa Cheupe, SEbuleni..etc, yani wanakusanya kama vile TRA.
Ngoja siku silaha hizo waje wageuziane wenyewe kwa wenyewePolisi wengi huwa wamelewa na wamebeba silaha za moto