Haya ongezeni bidii wafukuzwe wote ili wabadili majukumu yao kwa kutumia taaluma zao badala defensive awe offensive . Tukumbuke tu katika taarifa za Un kule Tanzania inaonyeshwa kuwa na alama ya kijani maana yake Hali ni Shwari kabisa ni tofauti na mataifa mengi Afrika hali ya uhalifu inaoneshwa kwa njano na nyekundu hivyo inanipa picha kuwa Wasimamizi wa Ulinzi na Usalama wapo vizuri sana. Ila kwa Mapolisi kulalamikiwa ni jambo la kawaida sana kwa maana hakuna anayependa kukamatwa na kunyang'anywa uhuru wake pia Kisaikolojia inatuonesha binadamu kwa asili wengi ni wahalifu ila wanaogopa tu mkono wa dola .Inawezekana kabisa wewe ni moja ya Wahalifu unatafuta uhalali wa uhalifu wako ili tu huyo officer afukuzwe kazi .sasa wewe Mtu gani yaani unamfutilia mtu kazini kwake kijitonyama halafu unamfutilia Mtu nyumbani kwake km30 kutoka kazini kwake .Hii inatuonesha wazi mnaugomvi binafsi ambao wala hausihani na kazi yake sasa unatumia Platform hii kuharibu kazi yake na viongozi wake wakitumia huu umbea itashangaza sana