MAJUTO: Nimejenga kimya kimya Mume wangu kajua hanishirikishi tena mambo yake

Mawazo yangu lakini. Ukitaka urudishe uaminifu toka kwa mumeo, juu ya kuomba msamaha, mpe mumeo hiyo nyumba.
 
Hata hivyo hufai kuaminika kuishi nae mwanamke aina yako ni sawa na kuishi na nyoka ndani
 
Ubinafsi umekuponza
 
Binti ataiacha nyumba ya baba yake na mama yake nae ataambana na mumewe tena watakuwa mwili mmoja. Hili ni agano la asili usipotoka kwenu huwez kuwa na ndoa imara. Wewe bado unachukua ushauri wa mama yako na huyo jamaa ndani yake haamini tena kama ni kimoja umemdanganya. Anahisi unajipanga muachane, umefanya kosa kubwa mno. Ushauri wangu nenda kabadilishe hiyo hati ya nyumba andika jina lake na muite mbele ya viongoz wa dini umuombe msamaha na umakbidhi hati na umwambie unavyoumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…