Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anavuna alichokipanda na alikua anamuona jamaa bwegeWenzako wanatafuta wanaume wanaojenga nyumba kwa majina ya wake zao lakini hawapati, wewe umempata umemgeuza falah...!
Mawazo yangu lakini. Ukitaka urudishe uaminifu toka kwa mumeo, juu ya kuomba msamaha, mpe mumeo hiyo nyumba.Niko kwenye ndoa huu ni mwaka wa 7, katika kipindi chote hicho mambo yalikua mazuri, mume wangu alikuwa akinishirikisha kwa kila kitu na mara nyingi akinunua kitu chake ananunua na cha kwangu. Akinunua kiwanja kimoja, akaandika jina lake, kinachofuata kina majina yangu. Tuna nyumba mbili, ingawa sijachangia chochote, lakini moja akaandika majina yangu na nyingine yake, hata gari letu moja kaniiandika majina yangu. Huwa haniulizi kuhusu pesa yangu, ananiambia hata nisipochangia hajali.
Mwaka jana kuna kitu kilitokea, nilikuwa nanchat na Mama yangu, meseji ikajitokeza juu bila mimi kujua. Mama alikuwa ananiambia kuhusu wapangaji. Kwa maana nilikuwa nimenunua kiwanja kimya kimya bila kumwambia mume wangu na nilishamaliza kujenga na kuweka wapangaji bila kumwambia mume wangu kuwa najenga. Alipoiona aliniuliza, nikamwambia ni wapangaji wa Mama ambao anasimamia.
Hakuuliza tena, nikadhani yameisha kumbe alikuwa ananichunguza. Alifuatilia na kujua nimenunua kiwanja na nimejenga bila kumwambia. Aliponiuliza mwanzo niligoma, lakini alikuwa na ushahidi, kwani alishaongea mpaka na aliyeniuzia. Niliamua kukubali kumwambia ni kweli nina nyumba, nikamuomba msamaha kwa kutomwambia.
Aliniambia kuwa amenisamehe, lakini tangu hapo hanishirikishi tena kwenye kitu chochote. Amefungua biashara nyingine mbili bila kuniambia, kuna nyumba anajenga bila kuniambia, amekaa karibu na ndugu zake. Mwanzo alikuwa hataki kabisa ndugu zake kuwa kwenye biashara, lakini sasa hivi kamleta mdogo wake ndiyo anasimamia biashara zake. Anahudumia kila kitu ndani, lakini shida ni kwamba hanishirikishi tena.
Naumia sana kwani najua nimekosea, lakini inaonekana haniamini tena. Nimeweka nyumba yangu wazi na hata nikipokea kodi namwambia, lakini hataki kusikia, ila namuona kama mtu tofauti sana. Nisaidie nifanye nini nisamehewe na aanze kunishirikisha tena?
Anatuchota tu kumbeNimeona Facebook [emoji849] hii story

Hata hivyo hufai kuaminika kuishi nae mwanamke aina yako ni sawa na kuishi na nyoka ndaniNiko kwenye ndoa huu ni mwaka wa 7, katika kipindi chote hicho mambo yalikua mazuri, mume wangu alikuwa akinishirikisha kwa kila kitu na mara nyingi akinunua kitu chake ananunua na cha kwangu. Akinunua kiwanja kimoja, akaandika jina lake, kinachofuata kina majina yangu. Tuna nyumba mbili, ingawa sijachangia chochote, lakini moja akaandika majina yangu na nyingine yake, hata gari letu moja kaniiandika majina yangu. Huwa haniulizi kuhusu pesa yangu, ananiambia hata nisipochangia hajali.
Mwaka jana kuna kitu kilitokea, nilikuwa nanchat na Mama yangu, meseji ikajitokeza juu bila mimi kujua. Mama alikuwa ananiambia kuhusu wapangaji. Kwa maana nilikuwa nimenunua kiwanja kimya kimya bila kumwambia mume wangu na nilishamaliza kujenga na kuweka wapangaji bila kumwambia mume wangu kuwa najenga. Alipoiona aliniuliza, nikamwambia ni wapangaji wa Mama ambao anasimamia.
Hakuuliza tena, nikadhani yameisha kumbe alikuwa ananichunguza. Alifuatilia na kujua nimenunua kiwanja na nimejenga bila kumwambia. Aliponiuliza mwanzo niligoma, lakini alikuwa na ushahidi, kwani alishaongea mpaka na aliyeniuzia. Niliamua kukubali kumwambia ni kweli nina nyumba, nikamuomba msamaha kwa kutomwambia.
Aliniambia kuwa amenisamehe, lakini tangu hapo hanishirikishi tena kwenye kitu chochote. Amefungua biashara nyingine mbili bila kuniambia, kuna nyumba anajenga bila kuniambia, amekaa karibu na ndugu zake. Mwanzo alikuwa hataki kabisa ndugu zake kuwa kwenye biashara, lakini sasa hivi kamleta mdogo wake ndiyo anasimamia biashara zake. Anahudumia kila kitu ndani, lakini shida ni kwamba hanishirikishi tena.
Naumia sana kwani najua nimekosea, lakini inaonekana haniamini tena. Nimeweka nyumba yangu wazi na hata nikipokea kodi namwambia, lakini hataki kusikia, ila namuona kama mtu tofauti sana. Nisaidie nifanye nini nisamehewe na aanze kunishirikisha tena?
Nisaidie nifanye nini nisamehewe na aanze kunishirikisha tena?
Asipokuelewa aendelee kuugulia poleMawazo yangu lakini. Ukitaka urudishe uaminifu toka kwa mumeo, juu ya kuomba msamaha, mpe mumeo hiyo nyumba.
Ubinafsi umekuponzaNiko kwenye ndoa huu ni mwaka wa 7, katika kipindi chote hicho mambo yalikua mazuri, mume wangu alikuwa akinishirikisha kwa kila kitu na mara nyingi akinunua kitu chake ananunua na cha kwangu. Akinunua kiwanja kimoja, akaandika jina lake, kinachofuata kina majina yangu. Tuna nyumba mbili, ingawa sijachangia chochote, lakini moja akaandika majina yangu na nyingine yake, hata gari letu moja kaniiandika majina yangu. Huwa haniulizi kuhusu pesa yangu, ananiambia hata nisipochangia hajali.
Mwaka jana kuna kitu kilitokea, nilikuwa nanchat na Mama yangu, meseji ikajitokeza juu bila mimi kujua. Mama alikuwa ananiambia kuhusu wapangaji. Kwa maana nilikuwa nimenunua kiwanja kimya kimya bila kumwambia mume wangu na nilishamaliza kujenga na kuweka wapangaji bila kumwambia mume wangu kuwa najenga. Alipoiona aliniuliza, nikamwambia ni wapangaji wa Mama ambao anasimamia.
Hakuuliza tena, nikadhani yameisha kumbe alikuwa ananichunguza. Alifuatilia na kujua nimenunua kiwanja na nimejenga bila kumwambia. Aliponiuliza mwanzo niligoma, lakini alikuwa na ushahidi, kwani alishaongea mpaka na aliyeniuzia. Niliamua kukubali kumwambia ni kweli nina nyumba, nikamuomba msamaha kwa kutomwambia.
Aliniambia kuwa amenisamehe, lakini tangu hapo hanishirikishi tena kwenye kitu chochote. Amefungua biashara nyingine mbili bila kuniambia, kuna nyumba anajenga bila kuniambia, amekaa karibu na ndugu zake. Mwanzo alikuwa hataki kabisa ndugu zake kuwa kwenye biashara, lakini sasa hivi kamleta mdogo wake ndiyo anasimamia biashara zake. Anahudumia kila kitu ndani, lakini shida ni kwamba hanishirikishi tena.
Naumia sana kwani najua nimekosea, lakini inaonekana haniamini tena. Nimeweka nyumba yangu wazi na hata nikipokea kodi namwambia, lakini hataki kusikia, ila namuona kama mtu tofauti sana. Nisaidie nifanye nini nisamehewe na aanze kunishirikisha tena?
Binti ataiacha nyumba ya baba yake na mama yake nae ataambana na mumewe tena watakuwa mwili mmoja. Hili ni agano la asili usipotoka kwenu huwez kuwa na ndoa imara. Wewe bado unachukua ushauri wa mama yako na huyo jamaa ndani yake haamini tena kama ni kimoja umemdanganya. Anahisi unajipanga muachane, umefanya kosa kubwa mno. Ushauri wangu nenda kabadilishe hiyo hati ya nyumba andika jina lake na muite mbele ya viongoz wa dini umuombe msamaha na umakbidhi hati na umwambie unavyoumia.Niko kwenye ndoa huu ni mwaka wa 7, katika kipindi chote hicho mambo yalikua mazuri, mume wangu alikuwa akinishirikisha kwa kila kitu na mara nyingi akinunua kitu chake ananunua na cha kwangu. Akinunua kiwanja kimoja, akaandika jina lake, kinachofuata kina majina yangu. Tuna nyumba mbili, ingawa sijachangia chochote, lakini moja akaandika majina yangu na nyingine yake, hata gari letu moja kaniiandika majina yangu. Huwa haniulizi kuhusu pesa yangu, ananiambia hata nisipochangia hajali.