MAJUTO: Nimejenga kimya kimya Mume wangu kajua hanishirikishi tena mambo yake

Niko kwenye ndoa huu ni mwaka wa 7, katika kipindi chote hicho mambo yalikua mazuri, mume wangu alikuwa akinishirikisha kwa kila kitu na mara nyingi akinunua kitu chake ananunua na cha kwangu. Akinunua kiwanja kimoja, akaandika jina lake, kinachofuata kina majina yangu. Tuna nyumba mbili, ingawa sijachangia chochote, lakini moja akaandika majina yangu na nyingine yake, hata gari letu moja kaniiandika majina yangu. Huwa haniulizi kuhusu pesa yangu, ananiambia hata nisipochangia hajali.

Mwaka jana kuna kitu kilitokea, nilikuwa nanchat na Mama yangu, meseji ikajitokeza juu bila mimi kujua. Mama alikuwa ananiambia kuhusu wapangaji. Kwa maana nilikuwa nimenunua kiwanja kimya kimya bila kumwambia mume wangu na nilishamaliza kujenga na kuweka wapangaji bila kumwambia mume wangu kuwa najenga. Alipoiona aliniuliza, nikamwambia ni wapangaji wa Mama ambao anasimamia.

Hakuuliza tena, nikadhani yameisha kumbe alikuwa ananichunguza. Alifuatilia na kujua nimenunua kiwanja na nimejenga bila kumwambia. Aliponiuliza mwanzo niligoma, lakini alikuwa na ushahidi, kwani alishaongea mpaka na aliyeniuzia. Niliamua kukubali kumwambia ni kweli nina nyumba, nikamuomba msamaha kwa kutomwambia.

Aliniambia kuwa amenisamehe, lakini tangu hapo hanishirikishi tena kwenye kitu chochote. Amefungua biashara nyingine mbili bila kuniambia, kuna nyumba anajenga bila kuniambia, amekaa karibu na ndugu zake. Mwanzo alikuwa hataki kabisa ndugu zake kuwa kwenye biashara, lakini sasa hivi kamleta mdogo wake ndiyo anasimamia biashara zake. Anahudumia kila kitu ndani, lakini shida ni kwamba hanishirikishi tena.

Naumia sana kwani najua nimekosea, lakini inaonekana haniamini tena. Nimeweka nyumba yangu wazi na hata nikipokea kodi namwambia, lakini hataki kusikia, ila namuona kama mtu tofauti sana. Nisaidie nifanye nini nisamehewe na aanze kunishirikisha tena?
Wewe kweli ni mtu tofauti na ulitambue hilo. Baada ya kuona mumeo anafanya makubwa kuliko uliyoyafanya wewe ndio unajishtukia na kuumia? Assume wewe ndio ungekuwa mwanaume alafu mke ndio anafanya hiko ulichokifanya ungechukua hatua gani?
Mnapooneshwa kuwa "We are together in ups n down" wenyewe mnaanza kujipeleka pembeni kosa unapata vijisenti viwili vitatu. Kiufupi nampongeza huyo mumeo kwamaana ameshaona kuwa hufanyi mambo kwaajili ya familia bali unafanya mambo yako kwa ndugu zako na mama yako, bora naye amechagua njia ya kuwainua ndugu zake.
Mwanamke huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe....
 
Huyu ndio mwanaume isitoshe amepata na kitoto kizuri pembeni anatuliza moyo.. dada maisha ni timing hapo ameku win before navyovuta Picha ya Bigman najiona mimi hapo ni kurudiana na ndugu na isitoshe ningekua mm hizo Nyumba alizoandika jina lako ningechukulia na Mkopo..! Tena wanaume usimnunulie mke gari kwa jina lake au nyumba,, biashara ni big mistake kufanya hivyo
 
Niko kwenye ndoa huu ni mwaka wa 7, katika kipindi chote hicho mambo yalikua mazuri, mume wangu alikuwa akinishirikisha kwa kila kitu na mara nyingi akinunua kitu chake ananunua na cha kwangu. Akinunua kiwanja kimoja, akaandika jina lake, kinachofuata kina majina yangu. Tuna nyumba mbili, ingawa sijachangia chochote, lakini moja akaandika majina yangu na nyingine yake, hata gari letu moja kaniiandika majina yangu. Huwa haniulizi kuhusu pesa yangu, ananiambia hata nisipochangia hajali.

Mwaka jana kuna kitu kilitokea, nilikuwa nanchat na Mama yangu, meseji ikajitokeza juu bila mimi kujua. Mama alikuwa ananiambia kuhusu wapangaji. Kwa maana nilikuwa nimenunua kiwanja kimya kimya bila kumwambia mume wangu na nilishamaliza kujenga na kuweka wapangaji bila kumwambia mume wangu kuwa najenga. Alipoiona aliniuliza, nikamwambia ni wapangaji wa Mama ambao anasimamia.

Hakuuliza tena, nikadhani yameisha kumbe alikuwa ananichunguza. Alifuatilia na kujua nimenunua kiwanja na nimejenga bila kumwambia. Aliponiuliza mwanzo niligoma, lakini alikuwa na ushahidi, kwani alishaongea mpaka na aliyeniuzia. Niliamua kukubali kumwambia ni kweli nina nyumba, nikamuomba msamaha kwa kutomwambia.

Aliniambia kuwa amenisamehe, lakini tangu hapo hanishirikishi tena kwenye kitu chochote. Amefungua biashara nyingine mbili bila kuniambia, kuna nyumba anajenga bila kuniambia, amekaa karibu na ndugu zake. Mwanzo alikuwa hataki kabisa ndugu zake kuwa kwenye biashara, lakini sasa hivi kamleta mdogo wake ndiyo anasimamia biashara zake. Anahudumia kila kitu ndani, lakini shida ni kwamba hanishirikishi tena.

Naumia sana kwani najua nimekosea, lakini inaonekana haniamini tena. Nimeweka nyumba yangu wazi na hata nikipokea kodi namwambia, lakini hataki kusikia, ila namuona kama mtu tofauti sana. Nisaidie nifanye nini uh! we ni kiumbe hatari sana

Niko kwenye ndoa huu ni mwaka wa 7, katika kipindi chote hicho mambo yalikua mazuri, mume wangu alikuwa akinishirikisha kwa kila kitu na mara nyingi akinunua kitu chake ananunua na cha kwangu. Akinunua kiwanja kimoja, akaandika jina lake, kinachofuata kina majina yangu. Tuna nyumba mbili, ingawa sijachangia chochote, lakini moja akaandika majina yangu na nyingine yake, hata gari letu moja kaniiandika majina yangu. Huwa haniulizi kuhusu pesa yangu, ananiambia hata nisipochangia hajali.

Mwaka jana kuna kitu kilitokea, nilikuwa nanchat na Mama yangu, meseji ikajitokeza juu bila mimi kujua. Mama alikuwa ananiambia kuhusu wapangaji. Kwa maana nilikuwa nimenunua kiwanja kimya kimya bila kumwambia mume wangu na nilishamaliza kujenga na kuweka wapangaji bila kumwambia mume wangu kuwa najenga. Alipoiona aliniuliza, nikamwambia ni wapangaji wa Mama ambao anasimamia.

Hakuuliza tena, nikadhani yameisha kumbe alikuwa ananichunguza. Alifuatilia na kujua nimenunua kiwanja na nimejenga bila kumwambia. Aliponiuliza mwanzo niligoma, lakini alikuwa na ushahidi, kwani alishaongea mpaka na aliyeniuzia. Niliamua kukubali kumwambia ni kweli nina nyumba, nikamuomba msamaha kwa kutomwambia.

Aliniambia kuwa amenisamehe, lakini tangu hapo hanishirikishi tena kwenye kitu chochote. Amefungua biashara nyingine mbili bila kuniambia, kuna nyumba anajenga bila kuniambia, amekaa karibu na ndugu zake. Mwanzo alikuwa hataki kabisa ndugu zake kuwa kwenye biashara, lakini sasa hivi kamleta mdogo wake ndiyo anasimamia biashara zake. Anahudumia kila kitu ndani, lakini shida ni kwamba hanishirikishi tena.

Naumia sana kwani najua nimekosea, lakini inaonekana haniamini tena. Nimeweka nyumba yangu wazi na hata nikipokea kodi namwambia, lakini hataki kusikia, ila namuona kama mtu tofauti sana. Nisaidie nifanye nini nisamehewe na aanze kunishirikisha tena?
Chambilecho wahenga na Wahenguliwa! chake ni chenu, chako ni chako japo kuwa siyo Dodoma! Kwaheri mwanakunenda! uendako wasalimie!!! Kataa ndoa hoyeeee!!
 
Siyo rahisi kuaminika tena kwa mumeo kumbuka aliwekeza uaminifu wake kwako kwa 100% lakini wewe kumbe ulikuwa ukimuwazia tofauti dah kweli moyo wa mtu kichaka!

Cha msingi endelea kuwa muaminifu kwenye ndoa yako, fanya majukum yako ya kuwa mke sasa kama ataamua kukushirikisha tena kama zamani shukuru Mungu kama atabaki kama alivyo sasa pia shukuru Mungu. Tunza ndoa yako kumbuka tayari ushakosea hivyo kwa ndugu zake wewe tayari una doa. Mtegemee Mungu katika hili soma kitabu cha Esta kwenye biblia (Esta 4 Mstari 11, hapa utasoma kuwa Esta anasema kuwa mimi sikuitwa niingie kwa mfalme yapata siku thelathini. yaani alimkosea muwewe na mumewe yaani mfalme Ahasuero akawa hayupo tena karibu naye, sasa utasoma Esta 4:16 uone alichofanya Esta ila kwa kifupi alifunga na kuomba then sura ya 5 na kuendelea soma utaona matokeo ya kufunga kwake yalikuwa nini) uone alichofanya pindi alipomkosea mume wake Ahasuero.
Kingine hili lisikuumize na usijistress sana katika kutaka kumfanya arudi kama zamani maana hapa soon utaenda kwa waganga au kwa wachungaji na manabii matapeli bure umkosee Mungu na shukuru ndoa bado ipo.

Nakumbuka wakati nipo mdogo mwanamke mmoja mtaani kwetu alifanya kama ulivyofanya wewe, na mumewe naye alipojua na yeye akanunua kiwanja tena pembeni ya kiwanja cha mke siku mke yupo site na mafundi wanajenga mume akajifanya anapita tu kwenye eneo ambalo mwanamke anajenga akamkuta mkewe, mke alishangaa sana maana alijua ni siri yake. Mume akajifanya wala hajashangaa. Baadae mke akaja kujua mumewe naye kanunua kiwanja cha pembeni yake akajifanya kumaind na kumfokea mume.
Wiki hiyohiyo ndo ilivunjika na mume kiroho safi akaondoka walipokuwa wakiishi akaenda kuanzisha mji wake tokea hapa mwanamke frustation zilianza akawa kuna muda barabarani anaongea peke yake!! kibaya zaidi maana alibakia na watoto akawalisha sumu mbaya kwamba baba yao ndo kivuruge kibaya zaidi na watoto nao wakawa wakimdharau baba yao na kumuona mama ndo wa maana. dah nawakumbuka wale watoto Jack na...hawakumaliza hata form 4 waliishia kupata ujauzito na kuacha kuendelea na masomo mbaya sana....
 
Mwanamke mpumbavu sanaa, mchoyo na punguwani ..Tena huyo mme wako nae ni bwege kuendelea kufuga takataka kama wewe..Mimi ningekupa kitombo cha mwagano then nakufukuza kama choko mzee!
Hakuna ya haja yote hayo. Alichofanya jamaa ni fimbo mbaya sana kwa mwanamke. Hataishi kwa amani na neno nakupenda sana mke wangu, my Darlingna, bebe na mengineyo yanakufa rasmi atayasikia kwa mbaali. Jamaa anaona anaishi na upanga
 
Dah! uaminifu ni uzi mwembamba sana na nikama bikira ikivunjwa hairudi kamwe.

N.B:Kuku wako unamlenga na jiwe ya kazi gani.
Wanawake walio wengi huwa na tamaa ya kuwa na vya kwao, ambapo mimi sina shida na hiyo shida iliyopo ni namna wanavyotekeleza hili maana automatically inawaexpose kuwa si waaminifu mfano mdogo tu kwenye pension funds/bank account/kazini ni kawaida sana kukuta mke kajaza ndugu zake kuwa ndo warithi pindi chochote kikitokea lakini huwezi kukuta kakajaza mume, ila kawaida sana kumkuta mume kajaza mke na watoto wake!

Halafu wanawake huwa wanaamini mume ni wa kufa tu muda wowote, na wao ni wa kuishi muda mrefu so bora awa na vyake mapema so vya mume vyake na vya kwake vya kwake ubinafsi wa hali ya juu sana huu!!!

Wanawake ni wabinafsi tokea kwa Adam, Eva alimuona nyoka wa maana kiasi cha kumdharau Mungu na mumewe!
 
Hakuna ya haja yote hayo. Alichofanya jamaa ni fimbo mbaya sana kwa mwanamke. Hataishi kwa amani na neno nakupenda sana mke wangu, my Darlingna, bebe na mengineyo yanakufa rasmi atayasikia kwa mbaali. Jamaa anaona anaishi na upanga
Huyu bibie alikosea sana alipoulizwa yeye akaamua kukataa, sasa hii ilimfanya mume apoteze muda kuanza kufuatilia na hii ilikuwa mbaya sana! na nafikiri hii ndo ilimfanya jamaa apoteze imani kabisaaaa na bibie! Maana assume una mtoto kakosea then unamuuliza kwa nia nzuri tu ya kutaka yaishe lakini mtoto anakataa then wewe uanze uchunguzi wako halafu ugundue kuwa kosa alilokataa kuwa hakufanya kumbe alifanya utajisikiaje!
 
Back
Top Bottom