MAJUTO: Nimejenga kimya kimya Mume wangu kajua hanishirikishi tena mambo yake

Wanawake walio wengi huwa na tamaa ya kuwa na vya kwao, ambapo mimi sina shida na hiyo shida iliyopo ni namna wanavyotekeleza hili maana automatically inawaexpose kuwa si waaminifu mfano mdogo tu kwenye pension funds/bank account/kazini ni kawaida sana kukuta mke kajaza ndugu zake kuwa ndo warithi pindi chochote kikitokea lakini huwezi kukuta kakajaza mume, ila kawaida sana kumkuta mume kajaza mke na watoto wake!

Halafu wanawake huwa wanaamini mume ni wa kufa tu muda wowote, na wao ni wa kuishi muda mrefu so bora awa na vyake mapema so vya mume vyake na vya kwake vya kwake ubinafsi wa hali ya juu sana huu!!!

Wanawake ni wabinafsi tokea kwa Adam, Eva alimuona nyoka wa maana kiasi cha kumdharau Mungu na mumewe!
Very selfish creatures. They justwana get rid of us men in their lives sema ndio hivyo hawawezi maana pesa zipo kwetu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kubali matokeo tu!
Kama ulijenga bila kumshirikisha huenda unaweza hata kumcheat kwa mwanamme mwingine.
 
Sio wachagga tu... ubinafsi ni kaliba ya mtu tu amini hivyo
Ni kweli ila hili la kujenga kimya kimya nishalishuhudia kwa wanawake wengi wa kichaga sijui huogopa nini, kwani mme akijua unajenga kuna shida gani.
 
Niko kwenye ndoa huu ni mwaka wa 7, katika kipindi chote hicho mambo yalikua mazuri, mume wangu alikuwa akinishirikisha kwa kila kitu na mara nyingi akinunua kitu chake ananunua na cha kwangu. Akinunua kiwanja kimoja, akaandika jina lake, kinachofuata kina majina yangu. Tuna nyumba mbili, ingawa sijachangia chochote, lakini moja akaandika majina yangu na nyingine yake, hata gari letu moja kaniiandika majina yangu. Huwa haniulizi kuhusu pesa yangu, ananiambia hata nisipochangia hajali.

Mwaka jana kuna kitu kilitokea, nilikuwa nanchat na Mama yangu, meseji ikajitokeza juu bila mimi kujua. Mama alikuwa ananiambia kuhusu wapangaji. Kwa maana nilikuwa nimenunua kiwanja kimya kimya bila kumwambia mume wangu na nilishamaliza kujenga na kuweka wapangaji bila kumwambia mume wangu kuwa najenga. Alipoiona aliniuliza, nikamwambia ni wapangaji wa Mama ambao anasimamia.

Hakuuliza tena, nikadhani yameisha kumbe alikuwa ananichunguza. Alifuatilia na kujua nimenunua kiwanja na nimejenga bila kumwambia. Aliponiuliza mwanzo niligoma, lakini alikuwa na ushahidi, kwani alishaongea mpaka na aliyeniuzia. Niliamua kukubali kumwambia ni kweli nina nyumba, nikamuomba msamaha kwa kutomwambia.

Aliniambia kuwa amenisamehe, lakini tangu hapo hanishirikishi tena kwenye kitu chochote. Amefungua biashara nyingine mbili bila kuniambia, kuna nyumba anajenga bila kuniambia, amekaa karibu na ndugu zake. Mwanzo alikuwa hataki kabisa ndugu zake kuwa kwenye biashara, lakini sasa hivi kamleta mdogo wake ndiyo anasimamia biashara zake. Anahudumia kila kitu ndani, lakini shida ni kwamba hanishirikishi tena.

Naumia sana kwani najua nimekosea, lakini inaonekana haniamini tena. Nimeweka nyumba yangu wazi na hata nikipokea kodi namwambia, lakini hataki kusikia, ila namuona kama mtu tofauti sana. Nisaidie nifanye nini nisamehewe na aanze kunishirikisha tena?
Hadi umekamilisha nyumba na kuweka wapangaji kimyakimya, manake Huna nia njema nae, kama imani, umeipoteza... hivyo ndo basi tena!
 
Mnaanzaga hivihivi mwisho wa siku utataka kumuua mumeo ili urithi na nyumba zingine zote
 
Niko kwenye ndoa huu ni mwaka wa 7, katika kipindi chote hicho mambo yalikua mazuri, mume wangu alikuwa akinishirikisha kwa kila kitu na mara nyingi akinunua kitu chake ananunua na cha kwangu. Akinunua kiwanja kimoja, akaandika jina lake, kinachofuata kina majina yangu. Tuna nyumba mbili, ingawa sijachangia chochote, lakini moja akaandika majina yangu na nyingine yake, hata gari letu moja kaniiandika majina yangu. Huwa haniulizi kuhusu pesa yangu, ananiambia hata nisipochangia hajali.

Mwaka jana kuna kitu kilitokea, nilikuwa nanchat na Mama yangu, meseji ikajitokeza juu bila mimi kujua. Mama alikuwa ananiambia kuhusu wapangaji. Kwa maana nilikuwa nimenunua kiwanja kimya kimya bila kumwambia mume wangu na nilishamaliza kujenga na kuweka wapangaji bila kumwambia mume wangu kuwa najenga. Alipoiona aliniuliza, nikamwambia ni wapangaji wa Mama ambao anasimamia.

Hakuuliza tena, nikadhani yameisha kumbe alikuwa ananichunguza. Alifuatilia na kujua nimenunua kiwanja na nimejenga bila kumwambia. Aliponiuliza mwanzo niligoma, lakini alikuwa na ushahidi, kwani alishaongea mpaka na aliyeniuzia. Niliamua kukubali kumwambia ni kweli nina nyumba, nikamuomba msamaha kwa kutomwambia.

Aliniambia kuwa amenisamehe, lakini tangu hapo hanishirikishi tena kwenye kitu chochote. Amefungua biashara nyingine mbili bila kuniambia, kuna nyumba anajenga bila kuniambia, amekaa karibu na ndugu zake. Mwanzo alikuwa hataki kabisa ndugu zake kuwa kwenye biashara, lakini sasa hivi kamleta mdogo wake ndiyo anasimamia biashara zake. Anahudumia kila kitu ndani, lakini shida ni kwamba hanishirikishi tena.

Naumia sana kwani najua nimekosea, lakini inaonekana haniamini tena. Nimeweka nyumba yangu wazi na hata nikipokea kodi namwambia, lakini hataki kusikia, ila namuona kama mtu tofauti sana. Nisaidie nifanye nini nisamehewe na aanze kunishirikisha tena?
Ulikuwa unahitaji nn katika maisha yako kabla ya uamuzi wa kujenga?
 
Umemfundisha mwenyewe, alikuchukulia kama mke, rafiki yake lakini wewe ukamuona bwege amekuwa kuwa kama wewe
 
Hehehehehe!Niko ndoani najionea mwenyewe asili ya mwanamke.jenga nyumba nyingine mamaaa😃
 
Yani wanawake akikuta.mtu mpole lazima alete matatizo.kukuamini itachukua mda .
 
Ongeza umakini kwenye uchunguzi atakua ameshapata na mwanamke mwingine wamezaa na mtoto na huyo mwanamke ndo anaependwa na familia ya mme wako
 
Wenzako wanatafuta wanaume wanaojenga nyumba kwa majina ya wake zao lakini hawapati, wewe umempata umemgeuza falah...!
Nilisema mimi Tatizo mwanamke ukimzingatia sana anakuona fala yan hueleweki kichaa Yan wanawake sijui wapoje wanapenda watu machakaramu
 
Wanawake wengi mko hivyo (wabinafsi, wachoyo n.k), unachopata ndicho unachostahili.
Mume wako ana wema kama wangu ila yeye amenizidi ujinga kwa kukuandika kwenye mali usizochangia.
 
Shukuru kwakuwa hakushirikilishi! Huyo ni muungwana Sana amegundua anaishi na mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo! Me ningekuondoa kabisaaaa kwenye ramani ya Dunia
Acha uuaji....siyo deal
 
Nilisema mimi Tatizo mwanamke ukimzingatia sana anakuona fala yan hueleweki kichaa Yan wanawake sijui wapoje wanapenda watu machakaramu
Sio kweli! Mwanaume anachezea wanawake akichoka ndio anatulia anajifanya good man lazima uisome namba karma ipo
 
Back
Top Bottom